Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

The onion has many layers,de 'levis!

"Makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,2030 kuwa the next magu" Uzi wa magamba matatu!

Kwenye Uzi magamba anamuita makonda kama "Brother"

Sasa basi Tumia akili nae anakoleza mei 22 ,2025 "Brother haya ndio mambo yatakayokupasa siku zijazo"
Anamtaja mhusika kuwa "Brother" lakini!!?

Kwanini Magamba matatu anamuita makonda brother na kumhusisha kuwa the next magu 2030!!? halafu Tena Tumia akili nae anamuita Brother asiejulikana kwamba anakuja kufanya reforms!!?

Sasa basi kijasusi ni kwamba baada ya mtego wa mauaji ya October 29 na Tanzania kufungulia mashtaka ICC plus wahisani wakuu wa enzi na enzi kutupa kisogo kwenye misaada ya maendeleo!!kukwepa mbinyo huo na kurudisha Imani kwa wahisani coz hatuwezi bila wao,Basi ikulu inapaswa kusafishwa upya wapatikane wapya ambao wanaweza walau kufanya compromise machoni pa wafadhili na wananchi!!!
MAWAZO HURU SASA HAYA,WALA SUO UKWELI WA MAMBO:-

1.Anapigwa namba mbili kimedani ,sio kwamba ana kosa!hapana kwaajili ya neema machoni pa wahisani halafu anateuliwa brother "kinda boy" kuwa namba mbili!!!!!!(ndio maana kateuliwa kuwa kamatu kuu ya chama).

2.Baada ya namba mbili kuteuliwa then namba Moja anajiuzulu akiamini madaraka yatakua mikononi salama au atalazimishwa kujiuzulu kimedani (sitaki kuhalalisha jambo hapa,elewa hivyo hivyo !) ,Then namba mbili mpya anakua namba moja,happy anaweza teua mzanzibari mwingine kuwa namba mbili!Mwendo unakua mpera mpera Tena kama enzi za magu vile Hadi 2030 kabla hajagombea tena!!

NB:-

Wakati akiwa katibu mwenezi Koda aliwahi SEMA"lazima tujenge utamaduni wa kuheshimiana ,kwasababu huwezi Juan kesho naweza kuwa nani,tuheshimiane"!

Sentence hizo zinapigia mstari andiko la magamba matatu na la Tumia akili!!


Mimi mwenzenu Kato,nawaza na kuwazua Wala sio mjuvi wa mambo haya !!

KAZI na utu,hebu tusonge mbele!!

Mungu ibariki Tanzania!

NAENDELEA KUWAZA NA KUWAZUA!

MWENZENU KATO,SIJAJUA KAMA BROTHER NDIO ATAKUA NAMBA MBILI!NAONA TAYARI NAMBA MBILI KASHAJIUZULU!

KAZI NA UTU,TUNASONGA MBELE!!

LABDA ISDORY MPANGO ANAWEZA KURUDI KINYUME NYUME PIA HADI KUWA KING MASTER WA REFORMS!NA HIYO PIA NI OPTION!HANA MAKUU !!

"DR. MPANGO NDIO MPANGO MZIMA"BY PASCAL MAYALA!!
 
Vipi kwani Samia anataka kupita na Makamu wake?
 
Unajua tumia akili ni nani kwanza ? Jk huyo anawachora na huyo Makonda ni team mtandao alimsandia sana Membe kipindi cha Magu tulieni
 
Unajua tumia akili ni nani kwanza ? Jk huyo anawachora na huyo Makonda ni team mtandao alimsandia sana Membe kipindi cha Magu tulieni
Ina maana jk ndio ana nondo zote hizo!!?
Ukisoma thread ya :kitabu kilichoandikwa Kisha kikaachwa,kitamalizika kwa hesabu hii;
Zile nondo sio mchezo

Kuna jamaa aliwahi andika eti .magamba matatu, ni konda boy mwenyewe!!!
Nilishangaa sana!
 
Hahaha sio JK wala, Ni mtu mwingine tofauti.
Nilitaka kushangaa Mimi!!

Yale mashairi sio ya kawaida!

Bora comrade wa newala mkuchika aliamua kustaafu na wenye hekima waliamua kufuata nyayo zake!!
Ukigoma kustaafu ili kuwaachia vijana ni lazima utastaafishwa kimedani kama nionavyo!!

Wakongwe wajiandae kustaafishwa tu kama wameng'ang'ania mjengoni!!!
 
Mhhh
 

Wanazani Philip Mangula, Pinda, Majaliwa, Mpango ni wajinga kujikalia pembeni?

Power strugle itafanya wengi wapzike kabla ya Wakati wao.
 
Post kama hizi ni za "wabobezi na wajuvi wa mambo" hata wale wapiga ndulu wa muda wote kama kina Msambwanda wanakaa pembeni

Yote kwa yote, hivi kwanini huyo msaidizi wa dereva anatajwa tajwa sana kukalia kiti kikubwa? Ana nini cha ziada hadi aonekane anafaa kutosha kwenye hicho kiti?
 
Jamaa akiongea hua naona Kuna matumaini na hii country
 
🙏🏿🧎🏿‍♂️
 
mmmh ngoj tuone watu mnacheza draft hatari
 
Waache WAUANE

Oktoba 29 walishirikiana kuua maelfu ya Watanzania.

Waache wanyweshane shubiri waliyoiandaa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…