Tajiri ana uwezo wa kulisha Mtaa mzima au kufanya Mtaa anapoishi pasiwepo masikini hata mmoja ila bado katika Mtaa anapoishi Kuna masikini.
Mungu ni muweza wa kila kitu kuleta dhiki na kuruhu uovu na hali tofauti tofauti kunathibitisha uweza wake juu ya kila kitu na mamlaka yake ya kufanya anavyotaka. Na pia ni mjuzi wa yote mwenye hekima.
Mimi Muislamu Sifa ya Mungu mwenye upendo wote sijawahi kuiona mahali katika kusoma kwangu , kwa hiyo naomba unithibitishie aliposema yeye ni mwenye upendo wote , hapo zingatie neno 'wote' liwepo.
Tajiri hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Mpaka hapo ushafeli.
Wewe hata Uislamu wako mwenyewe huujui.
Soma hapa.
"In Islam, God (Allah) is described as loving and merciful, with names like "Al-Wadud" (the Affectionate) and "Al-Rahman" (the Most Compassionate) and "Al-Rahim" (the Most Merciful) reflecting this attribute. The Quran emphasizes God's love for all creation, providing for everyone, even those who do not believe in Him.
Here's a more detailed explanation:
God's Names and Attributes:
Al-Wadud: This name, meaning "the Affectionate" or "the Most Loving," highlights God's inherent love and affection for his creation.
Al-Rahman and Al-Rahim: These names, meaning "the Most Compassionate" and "the Most Merciful," respectively, underscore God's mercy and care for all beings.
God's Mercy: The Quran emphasizes that God's mercy encompasses all creation, providing for everyone, even those who do not believe in Him."