Imeandikwa Mungu ni bwana wa vita.... Hanaga MBA MBA MBA... Ukijichanganya anakuwashia moto Hadi uitike abee... Leo hii watu wanazungumzia eti vita ya kwanza na ya pili ya Dunia... Ambazo kwa pamoja hazikumaliza hata robo ya watu wa Dunia hii...anawakomboa watu ni illusion kaka...tunataka tuone mauaji yana komaa pale DRC na wakimbizi wanarudi makwao, tunataka tuone vita vinakomaa pale Ukraine na maisha yanarudi kwenye hali ya kawaida na kwanini ajikite kwenye pretty issues badala ya majanga makubwa makubwa
Lakini vipi Ile vita ya Gharika iliyowabakiza watu nane TU?
Achana na hiyo... Kuna mikoa miwili ya Sodoma na Gomora kilichoipata.... Unaambiwa iliungua mpaka ardhi ikatitia kushuka chini ya usawa wa bahari... Na Leo ndipo palipo na Ile bahari iliyokufa (dead sea...)
Kwa hiyo bwana Pure Sapiens na Kiranga mambo ya Mungu ni Hard siyo soft kama mnavyodai eti hata mambo ya kijinga jinga akutekelezee.
Before God either you die or live. Ukiishi au ukifa wewe, yeye Hana Hasaraaaa