Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
- Thread starter
-
- #121
Kama ndo hivyo basi huyo amezidiwa Kwa kiwango kikubwa na binadamu ambao wanatambua utu wa mtuMungu amehalalisha na kubariki biashara ya utumwa kwenye vitabu vyake.
Ukisoma Bibilia kwa mfano, kuna amri ya kushika sabato inazuia mtu kufanya kazi, lakini amri hiyo imeenda mbali na kufafanua kuwa hata punda wako, wala mtumwa wako hatakiwi kufanya kazi.
Kwa hiyo Mungu anautambua utumwa na anaona ni sawa.
Haya mafundisho ya kijinga sana ila wa afrika bado tupo usingizini tunakimbizana na tamaduni za watu aaah kisa kuona ufalme wa mbinguniUkombozi wa Mwafri
kanUkombozi wa Mwafrika utakuwa kamili tu Waafrika watakapoondoka na ujinga waliokaririshwa kupitia biblia na msahafu na ambapo FIKRA zao zitajielekeza kuelewa wazi kuwa BIBLIA na MSAHAFU na hasa biblia ni hadithi zilizotungwa ili kuwapumbzaz WAFIA DINI na kuwatawala kirahisi baada ya kuwaondoa kwenye reli.
Nakubaliana na wewe kuhusu dhana ya Mungu, kama umebahatika kusoma historia ya binadamu tangu alipokuwa primitive binadamu alifanya innovation kadhaa miongoni mwa innovation kubwa ni kugundua dhana ya kufikirika ya MunguTatizo la uovu - The problem of Evil.
Ninashaka kwamba hakuna mtu anayejua lolote kuhusiana na "Mungu" pengine huenda tukawa tunajadili kitu ambacho ni cha kufikirika.
Hivyo kabla hujapinga au kuhukumu kuhusiana na istilahi "Mungu" ni vyema ukaanza na ufafanuzi wa kina kwanza kuhusu dhana "Mungu" ili tuweze kujua Ni nini? Ni nani?
Dhana ya Kufikirika ya Mungu 👍🏾Nakubaliana na wewe kuhusu dhana ya Mungu, kama umebahatika kusoma historia ya binadamu tangu alipokuwa primitive binadamu alifanya innovation kadhaa miongoni mwa innovation kubwa ni kugundua dhana ya kufikirika ya Mungu
Ni kweli.Kama ndo hivyo basi huyo amezidiwa Kwa kiwango kikubwa na binadamu ambao wanatambua utu wa mtu
Chekesha umati tu mkuu, halijakukuta TUKIO badoNakwambia hivi huyo Mungu kama yupo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo, Maana hajielewi kabisa.
Nichekeshe umati kwani hapa tunajuana?Chekesha umati tu mkuu, halijakukuta TUKIO bado
Aya SAWA mkuu 💪 💪 💪 💪Nichekeshe umati kwani hapa tunajuana?
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Mbona alitumika kupitia kanisa na uislamu? Mnashindwa kuelewa kuwa Allah na jehova si wa waafrika?Habari wana JF
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari Kwa kina unapata ukakasi kuhusu madai yao kuhusu Mungu huyo.
Katika historia ya maisha ya mwanadamu hapa duniani hakuna nyakati ngumu alizopitia kama nyakati za biashara ya utumwa, biashara ya utumwa iliwagusa na kuwamiza zile jamii ambazo ni dhaifu zisizo weza kujitetea hivyo tegemeo lao kubwa lilikuwa ni Mungu mkuu.Bahati mbaya Mungu hakuja kuwatetea na kuwapigania.
Kama Mungu yupo kila mahali, ni mjuzi wa kila jambo na muweza wa mambo yote Kwanini alijificha na hakuja kuwapigania wanadamu wake...Tuna ambiwa Mungu aliandaa mipango ya kuwatoa wana wa Israel utumwani misri na akawatumia viongozi ili kufanilisha misheni hiyo 🥺 kwanini hakufanya hivyo Kwa jamii zingine wakati wanachukuliwa watumwa haswa Afrika?
Mungu ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini wakati huo inaumiza sana 😭
sababu waafrika babu zetu walimpendelea zaidi shetani na kumuabuduTukisema Mungu aliwapendelea zaidi Wazungu, swali likuja why ?
Tajiri ana uwezo wa kulisha Mtaa mzima au kufanya Mtaa anapoishi pasiwepo masikini hata mmoja ila bado katika Mtaa anapoishi Kuna masikini.Tajiri hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Unamfananishaje na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Kanuni muhimu ya kufananisha ni kufananisha vinavyofananishika.
Mbona wewe unafananisha visivyofananishika?
Tajiri hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.Tajiri ana uwezo wa kulisha Mtaa mzima au kufanya Mtaa anapoishi pasiwepo masikini hata mmoja ila bado katika Mtaa anapoishi Kuna masikini.
Mungu ni muweza wa kila kitu kuleta dhiki na kuruhu uovu na hali tofauti tofauti kunathibitisha uweza wake juu ya kila kitu na mamlaka yake ya kufanya anavyotaka. Na pia ni mjuzi wa yote mwenye hekima.
Mimi Muislamu Sifa ya Mungu mwenye upendo wote sijawahi kuiona mahali katika kusoma kwangu , kwa hiyo naomba unithibitishie aliposema yeye ni mwenye upendo wote , hapo zingatie neno 'wote' liwepo.
Utumwa umehalalishwa we huoni kati ya mali anazotajwa mtu kuwa nazo kwenye biblia mojawapo ni idadi ya watumwa.Habari wana JF
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake.
Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari Kwa kina unapata ukakasi kuhusu madai yao kuhusu Mungu huyo.
Katika historia ya maisha ya mwanadamu hapa duniani hakuna nyakati ngumu alizopitia kama nyakati za biashara ya utumwa, biashara ya utumwa iliwagusa na kuwamiza zile jamii ambazo ni dhaifu zisizo weza kujitetea hivyo tegemeo lao kubwa lilikuwa ni Mungu mkuu.Bahati mbaya Mungu hakuja kuwatetea na kuwapigania.
Kama Mungu yupo kila mahali, ni mjuzi wa kila jambo na muweza wa mambo yote Kwanini alijificha na hakuja kuwapigania wanadamu wake...Tuna ambiwa Mungu aliandaa mipango ya kuwatoa wana wa Israel utumwani misri na akawatumia viongozi ili kufanilisha misheni hiyo 🥺 kwanini hakufanya hivyo Kwa jamii zingine wakati wanachukuliwa watumwa haswa Afrika?
Mungu ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini wakati huo inaumiza sana 😭
First things first. The bible is not holy.Maswali kama haya huwezi kuuliza kama ni msomaji na muelewa wa Biblia nje ya tafsiri za watu. Ni maelezo mengi sana yanahitajika hapa mpaka uelewe, but read the holy bible.
Yaani, unataka mauaji yakome wakati kunawatu wajinga bado wapo kama wewe ambao wanaamini kukombolewa kwa watu ni illusion ilhali wewe mwenyewe una -free willing, unaamua leo ule nini, umsaidie nani umuache nani nk. Hayo yote yanahashiria uwepo wa Mungu.anawakomboa watu ni illusion kaka...tunataka tuone mauaji yana komaa pale DRC na wakimbizi wanarudi makwao, tunataka tuone vita vinakomaa pale Ukraine na maisha yanarudi kwenye hali ya kawaida na kwanini ajikite kwenye pretty issues badala ya majanga makubwa makubwa
Inafikirisha sana.Habari wana JF