Mungu wa kweli hahitaji haya tunayoaminishwa



Ndio maana nikasema Nyoka ni kiumbe wa Mungu, hayo mengine ya shetani ni fasihi tuu
 


Wewe Umenielewa. Jamaa wanadhani mimi nawakandia viongozi wa dini. Mimi si mkandii mtu yeyote isipokuwa mtu afanyaye ulaghai.
 
Sasa kwanini huwa tunasema tusichanganye siasa na dini au serikali haina dini?
Kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha kati ya dini na siasa(utawala)

Dini=Siasa(utawala)

Mungu=Raisi

Kitabu kitakatifu=katiba

waumini=wananchi

Mahubiri=kunadi sera

katika hali kama hii na nyengine nyingi yenye ufanano si ajabu vitu hivi vikaingiliana kwa kuwa vyote vinadai aina fulani ya control
Na wakati mwengine tunasema chama fulani(cha siasa) kina udini?
Ni rahisi kwa vyama vya siasa kutafuta uvutano wa namna hiyo

Mifumo yetu ya utawala imetoka na miundo mama ya kidini hivyo usishangae muingiliano

Na kwa kuwa upande wa dini unanguvu ya wajitoa wakubwa na usikivu mwingi si ajabu joker yeyote wa siasa kuwatumia

NB: ni maoni yangu
 
Kipi sio kweli? Hebu leta vielelezo basi ili tujue ni kipi sio cha kweli kimetungwa tu na viongozi wa dini.

Swali la kizushi nikuulize, je Yesu aliwahi kutoa sadaka au zaka?
 
Bado sijakupata kabisa mkuu.
 
Mimi ni mfuasi wa Mungu na si mfuasi wa Mtu
Mafundisho unayoyajua wewe leo kuhusu Mungu yalikuwa yakifundishwa na watu(mitume) ambao walikuwa na wafuasi na hao wafuasi walieneza hayo mafundisho.
 
hii style ya kutafsiri mistari ya biblia huwa inaniacha hoi



Mkuu, naomba utoe tafsiri sanifu ya haya maneno:-

"And the lord sent fiery serpents among the people , and they bit the people ,and much people died"
 
Ndio maana nikauliza kama tunafuata mafundisho yake au maisha yake tu? Maana maisha ya Yesu ni kwamba hakuoa.


Tunafuata Mafundisho na maisha yake, yeye mwenyewe anasema tujifunze kutoka kwake.
Hata hivyo Yesu na manabii wengine wote walikuja kufafanua sheria za Musa
 
Mkuu, naomba utoe tafsiri sanifu ya haya maneno:-

"And the lord sent fiery serpents among the people , and they bit the people ,and much people died"


Alafu hapo hapo tujiulize kwa nini fimbo ya musa igeuke nyoka na si kiumbe mwingine. Je hii isingefafanua kuwa Musa alitumia shetani. Jibu ni hapana kwani Nyoka ni kiumbe kama viumbe wengine ila kilichotumika ni fasihi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…