Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

Huoni kama ccm inatekeleza Ilani ya Chadema?

Hakuna mpango ambao ccm hawajakopi kutoka Chadema
ilani ipi sasa ya Chadema,
ya kulalamikia, kuzira, kususa, kuhemka au kutukana au maandramano na kulamba asali πŸ’
 
Lissu au Loss
 
Vp ccm yenye dola mmefanya nn?
Wewe kama mbunge au kazi yako ni kusinzia na kupiga meza makofi bungeni?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mali za umma waibe ccm na rushwa watoe wao maendeleo yaletwe na Vibrant opposition??
Shame on you.
ndio maana nilijiuliza huyu kajulia
Yaani mali za umma waibe ccm na rushwa watoe wao maendeleo yaletwe na Vibrant opposition??
Shame on you.

ndio maana nilijiuliza sana kajulia wap kazi za upinzani huyu, kumbe umeandikiwa uzi 🀣

nilitaka nishangae aise, yaan wew mwenyewe kabisa upotoshe halafu, tena wewe mwenyewe uweze kudefend upotoshaji wako 🀣
isingewezekana hata kidogo πŸ’

hata na hivyo,
aliekuandikia at least ana kaufahamu kidogo juu ya kazi na majukumu...

lakin nadhani hajui vizuri maana na umuhimu wa upinzani kwenye kuchochea maendeleo πŸ’

Tz kuna upinzani jina tu, tena ni dhaifu na taabani sana, na zaidi sana ni kibogoyo 🀣
 
Vp ccm yenye dola mmefanya nn?
Wewe kama mbunge au kazi yako ni kusinzia na kupiga meza makofi bungeni?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulinzi, Amani, Utulivu, Uhuru, Haki, Usawa, Uwazi na mambo kadha wa kadha unayoyainjoy muda huu, na yale mengine ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ni baadhi tu ya matunda ya mipango na kazi nzuri sana, zinazofanywa na serikali ya CCM, chini ya kiongozi shupavu, mahiri, madhubuti na mwenye maono mbali, nia na dhamira ya kweli, ya kuwaletea maendeleo waTanzania wato, RAIS, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Unaandika tu ili uonekane
 
Unaandika tu ili uonekane
nionekane au kujulikana kwa nani tena mimi mtumishi mnyonge wa wanainchi, nisie stahili chochote mbele ya yeyote yule πŸ’

haya mambo ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, Na Mungu ni wetu sote, kwake kila moja ajipeleke mwenyewe πŸ’
 
Lissu wa kuporomosha matusi

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna utaalam hapo......wananchi wako bize na maisha yao. Hawajali mambo ya ccm.

Kaulize mtaani nani anajua hizo habari?
Nimeangalia mikutano ya KM Katavi na Rukwa nakubaliana na maneno yako. Wananchi wamekata tamaa na hiki Chama.
 
M'beba maono huchaguliwa kiasili na Mwenyezi Mungu. M'beba maoni huchaguliwa kwa kura halali na watu . Mwizi wa kura hajabeba chochote,yupo yupo tu na hajui anaongoza nini . Lissu ni M'beba maono.
 
Yeee baaa!!
 
Attachments

  • 5690265-e186b42ffa3b249424a42edde5dc95ce.mp4
    25.6 MB
M'beba maono huchaguliwa kiasili na Mwenyezi Mungu. M'beba maoni huchaguliwa kwa kura halali na watu . Mwizi wa kura hajabeba chochote,yupo yupo tu na hajui anaongoza nini . Lissu ni M'beba maono.
100 perfect
 
nionekane au kujulikana kwa nani tena mimi mtumishi mnyonge wa wanainchi, nisie stahili chochote mbele ya yeyote yule πŸ’

haya mambo ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, Na Mungu ni wetu sote, kwake kila moja ajipeleke mwenyewe πŸ’
Umesahau kumshukuru mwenyekiti wa chama pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…