Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Itawafikia tuMuhimu waisome hii machawa na makunguni wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itawafikia tuMuhimu waisome hii machawa na makunguni wa CCM
ilani ipi sasa ya Chadema,Huoni kama ccm inatekeleza Ilani ya Chadema?
Hakuna mpango ambao ccm hawajakopi kutoka Chadema
Makonda ndiye kasema hivyo.Hahahaha....mzee unauhakika au umesikia tu?
Lissu au LossKwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani.
Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi yetu.
Lakini baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na serikali wamekuwa wakitaka kudanganya umma kwamba wapinzani ndio wabaya na wanapinga kila kitu pale wanaposhindwa kujibu hoja zao.
Mh Tundu Lissu amekuwa Target in the list licha ya Mwanasiasa huyu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na aliyekuwa Rais wa Tanganyika Law Society kujikita kwenye mambo mtambuka, magumu na mazito yanayohitaji fikra pevu. Wapinzani wake wakimtuhumu kuwa anatukana serikali.
Sasa hatimaye kama waswahili wanavyosema Muda ni Mwalimu, sasa muda umeongea.
Wamegundua kuwa Tundu Lissu si mbabaishaji bali wenyewe kwa wenyewe wanageukana.
Hoja nyingine ni kuwa viongozi badala ya kujikita na kuweka nguvu nyingi kupambana na mambo ambayo sisi wananchi tunayaita UDAKU ni bora kujikita kuwatafuta watu wanaoiba mali na fedha za serikali, wanaopora maliasili za Taifa na kutumia ofisi za umma kwa masalahi binafsi.
Maswala ya upotevu wa fedha nyingi za Taifa ndani ya chama na serikali wameyafumbia macho na hatujajawahi kuona kiongozi yeyote wa juu wa chama au serikali akitishia kuwataja Mafisadi na wanyonyaji hawa.
Sasa leo kuwataja watukanaji wa mitandaoni ina tija gani kwa Wananchi wanaohangaika na changamoto mbali mbali kama kukosekana kwa misingi ya haki na utawala bora, Njaa, kupanda bei za bidhaa, mafuta kuadimika, umeme wa kusuasua na ubovu wa miundombinu ya Barabara na majitaka?
Mungu wa Tundu Lissu ni Mungu aliye hai. Na Mwenye nguvu.
Vp ccm yenye dola mmefanya nn?huyo kibaraka awe target ya nani acha upotoshaji kamanda [emoji205]
yaan inafahamika kabisa huyo ni puppet halafu mnababaika nae tena, wanini sasa, khaa[emoji205]
lakini umeendelea kupotosha zaidi,
ati kazi ya upinzani humu nchini imekua ni kukosoa, kushauri, kupendekeza mipango mbadala na kutoa majibu ya changamoto mbalimbali [emoji1787]
ingekua ni hivyo si tungeuipiku Singapore kimaendeleo [emoji205]
hii ya kulalamikia, kugoma, kuzira, kususa, maandramano, ghadhabu, mihemko na matusi hua ni nani anafanya [emoji205]
without fear of contradictions, Tz ingekua zaidi Singapore kimaendeleo, kama tu, pangelikuapo na united, vibrant, visionary, committed and focused opposition [emoji205]
Lakini hii tuliyonayo sidhani kama ni opposition, maybe it is something else [emoji205]
ndio maana nilijiuliza huyu kajuliaYaani mali za umma waibe ccm na rushwa watoe wao maendeleo yaletwe na Vibrant opposition??
Shame on you.
Yaani mali za umma waibe ccm na rushwa watoe wao maendeleo yaletwe na Vibrant opposition??
Shame on you.
Ulinzi, Amani, Utulivu, Uhuru, Haki, Usawa, Uwazi na mambo kadha wa kadha unayoyainjoy muda huu, na yale mengine ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ni baadhi tu ya matunda ya mipango na kazi nzuri sana, zinazofanywa na serikali ya CCM, chini ya kiongozi shupavu, mahiri, madhubuti na mwenye maono mbali, nia na dhamira ya kweli, ya kuwaletea maendeleo waTanzania wato, RAIS, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan 🐒Vp ccm yenye dola mmefanya nn?
Wewe kama mbunge au kazi yako ni kusinzia na kupiga meza makofi bungeni?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unaandika tu ili uonekanendio maana nilijiuliza huyu kajulia
ndio maana nilijiuliza sana kajulia wap kazi za upinzani huyu, kumbe umeandikiwa uzi 🤣
nilitaka nishangae aise, yaan wew mwenyewe kabisa upotoshe halafu, tena wewe mwenyewe uweze kudefend upotoshaji wako 🤣
isingewezekana hata kidogo 🐒
hata na hivyo,
aliekuandikia at least ana kaufahamu kidogo juu ya kazi na majukumu...
lakin nadhani hajui vizuri maana na umuhimu wa upinzani kwenye kuchochea maendeleo 🐒
Tz kuna upinzani jina tu, tena ni dhaifu na taabani sana, na zaidi sana ni kibogoyo 🤣
Tundu LissuLissu au Loss
nionekane au kujulikana kwa nani tena mimi mtumishi mnyonge wa wanainchi, nisie stahili chochote mbele ya yeyote yule 🐒Unaandika tu ili uonekane
Lissu wa kuporomosha matusiKwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani.
Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi yetu.
Lakini baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na serikali wamekuwa wakitaka kudanganya umma kwamba wapinzani ndio wabaya na wanapinga kila kitu pale wanaposhindwa kujibu hoja zao.
Mh Tundu Lissu amekuwa Target in the list licha ya Mwanasiasa huyu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na aliyekuwa Rais wa Tanganyika Law Society kujikita kwenye mambo mtambuka, magumu na mazito yanayohitaji fikra pevu. Wapinzani wake wakimtuhumu kuwa anatukana serikali.
Sasa hatimaye kama waswahili wanavyosema Muda ni Mwalimu, sasa muda umeongea.
Wamegundua kuwa Tundu Lissu si mbabaishaji bali wenyewe kwa wenyewe wanageukana.
Hoja nyingine ni kuwa viongozi badala ya kujikita na kuweka nguvu nyingi kupambana na mambo ambayo sisi wananchi tunayaita UDAKU ni bora kujikita kuwatafuta watu wanaoiba mali na fedha za serikali, wanaopora maliasili za Taifa na kutumia ofisi za umma kwa masalahi binafsi.
Maswala ya upotevu wa fedha nyingi za Taifa ndani ya chama na serikali wameyafumbia macho na hatujajawahi kuona kiongozi yeyote wa juu wa chama au serikali akitishia kuwataja Mafisadi na wanyonyaji hawa.
Sasa leo kuwataja watukanaji wa mitandaoni ina tija gani kwa Wananchi wanaohangaika na changamoto mbali mbali kama kukosekana kwa misingi ya haki na utawala bora, Njaa, kupanda bei za bidhaa, mafuta kuadimika, umeme wa kusuasua na ubovu wa miundombinu ya Barabara na majitaka?
Mungu wa Tundu Lissu ni Mungu aliye hai. Na Mwenye nguvu.
Nimeangalia mikutano ya KM Katavi na Rukwa nakubaliana na maneno yako. Wananchi wamekata tamaa na hiki Chama.Hakuna utaalam hapo......wananchi wako bize na maisha yao. Hawajali mambo ya ccm.
Kaulize mtaani nani anajua hizo habari?
Yeee baaa!!Kwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani.
Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi yetu.
Lakini baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na serikali wamekuwa wakitaka kudanganya umma kwamba wapinzani ndio wabaya na wanapinga kila kitu pale wanaposhindwa kujibu hoja zao.
Mh Tundu Lissu amekuwa Target in the list licha ya Mwanasiasa huyu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na aliyekuwa Rais wa Tanganyika Law Society kujikita kwenye mambo mtambuka, magumu na mazito yanayohitaji fikra pevu. Wapinzani wake wakimtuhumu kuwa anatukana serikali.
Sasa hatimaye kama waswahili wanavyosema Muda ni Mwalimu, sasa muda umeongea.
Wamegundua kuwa Tundu Lissu si mbabaishaji bali wenyewe kwa wenyewe wanageukana.
Hoja nyingine ni kuwa viongozi badala ya kujikita na kuweka nguvu nyingi kupambana na mambo ambayo sisi wananchi tunayaita UDAKU ni bora kujikita kuwatafuta watu wanaoiba mali na fedha za serikali, wanaopora maliasili za Taifa na kutumia ofisi za umma kwa masalahi binafsi.
Maswala ya upotevu wa fedha nyingi za Taifa ndani ya chama na serikali wameyafumbia macho na hatujajawahi kuona kiongozi yeyote wa juu wa chama au serikali akitishia kuwataja Mafisadi na wanyonyaji hawa.
Sasa leo kuwataja watukanaji wa mitandaoni ina tija gani kwa Wananchi wanaohangaika na changamoto mbali mbali kama kukosekana kwa misingi ya haki na utawala bora, Njaa, kupanda bei za bidhaa, mafuta kuadimika, umeme wa kusuasua na ubovu wa miundombinu ya Barabara na majitaka?
Mungu wa Tundu Lissu ni Mungu aliye hai. Na Mwenye nguvu.
Mkuu video ya 1.30 sec MB 20??Yeee baaa!!
100 perfectM'beba maono huchaguliwa kiasili na Mwenyezi Mungu. M'beba maoni huchaguliwa kwa kura halali na watu . Mwizi wa kura hajabeba chochote,yupo yupo tu na hajui anaongoza nini . Lissu ni M'beba maono.
Kweli kabisa.....labda waanze kumlipa tena DiamondNimeangalia mikutano ya KM Katavi na Rukwa nakubaliana na maneno yako. Wananchi wamekata tamaa na hiki Chama.
Lisu ni waziri?
Umesahau kumshukuru mwenyekiti wa chama pianionekane au kujulikana kwa nani tena mimi mtumishi mnyonge wa wanainchi, nisie stahili chochote mbele ya yeyote yule 🐒
haya mambo ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, Na Mungu ni wetu sote, kwake kila moja ajipeleke mwenyewe 🐒
Muhimu zaidi ni kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na Afya na ile nafasi ametupatia kujadiliana hapa 🐒Umesahau kumshukuru mwenyekiti wa chama pia