Ni kitabu gani kwenye agano jipya ambapo Yesu alisema mwanaume awe na mke mmoja?Kipindi Cha agano la kale kulikua hakuna ukomo wa kuwa na wanawake ni tofauti na agano jipya ambaye YESU alisema mwanaume awe na mke mmoja hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyokua mshabiki
Tatizo lako ni nini hasa?Sishangai kuona ana Waumini Hopeless na Nuts kama Wewe na Wenzako Kiduchu hapa.
Ujuha wako tu.Tatizo lako ni nini hasa?
sina cha kukujibu mkuu...Acha Uwongo Wewe hajawahi. Haya na huyo Mwanamke Mkalimani wake aliyenae pia alishawahi Kuwaelezea hapo Madhabahuni Kwenu / Kwake? Acha Unafiki na Ujuha tafadhali.
Wafia din ni wale wanaojilipua hapo somalia na uarabuniWe jamaa ni mfia dini
Unapumbazwa sana
Amka kwenye huo usingizi uliolala
Uislamu gani unafundisha hivyo?Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.
Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?
Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"
Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.
Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.
Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )
Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.
Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.
Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.
Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.
Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli
Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.
Mifano Ni Mingi mno.
Rest in peace DK Mwele Malecela.
Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote
Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Uzi wa kipuuz hata huwez maliza kusomaMange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February

We si muislam kama unavyodai!!Dah kumbe ishu yenyewe ya kitoto namna HII basi nikafikiria bonge la ishu.
Kwa vyovyote vile haiwezi kufikia ishu ya Nabii Ibrahimu baba wa Imani ambae alizaa Na dada yake walie share baba mmoja ila mama mbalimbali ( MWANZO 20:12) au ( Nabii?) Lutu Alie zaa Na binti zake wawili WA kuwazaa mwenyewe.
Huyo keshakuwa brain washed, Sasa Dr Mwele alimkosea Nini huyo mwamposa hadi Mungu wake amuue ili mange asimlipue mwamposa?Mtoa mada ulichoandika hakina uhalisia wowote.Mungu amuadhibu Mange kwa kumuua Dr Malecela?mbona hairelate chochote.
Kwahiyo mwamposa kamtupia jini Dr Mwele afe ili mange asimlipue?U have got a very little understanding about spiritual intelligence and how it is operating
Ni hivi spiritual intelligence ina work out through deception and distraction .
Mfano NIMEKUJA KWAKO KUMCHUMBIA BINTI YAKO UKAPOKEA MAHARI YANGU. WAKATI NAFANYA UTARATIBU WA VIKAO VYA HARUSI AKATOKEA MUOAJI MWINGINE MWENYE PESA NYINGI KULIKO MIMI AKAKUAHIDI PESA NYINGI NA ZAWADI NYINGI.
SO UKAAMUA KUMUOZESHA BINTI YAKO MIMI MKANIRUSHA. NIKIMPIGIA SIMU BINTI YAKO HAONYESHI USHIRIKIANO NIKIKUPIGIA WEWE UNAJIBU " ONGEA KWANZA NA MWENZAKO MUELEWANE"
SO NIKASTUKIA MCHEZO WAKO.
SPIRITUAL INTELLIGENCE HAINITAKI NIMROGE BINTI YAKO WALA WEWE WALA HUYO MUOAJI MPYA KWANZA.
INANITAKA NIMROGE MTU MWINGINE KABISA KATIKA FAMILY YAKO LAKINI ANA DEEP BLOOD CONNECTION WITH YOU.
MFANO UNA BINTI YAKO MWINGINE ANAISHI MBEYA AU BADO ANASOMA YUPO KIDATO CHA TANO MKOANI HUKO ANASOMA BOARDING AMBAE WALA HAUSIKI KWA CHOCHOTE NA UHUNI MLIONIFANYIA.
SIKU MOJA KABLA YA HUYU MUOAJI MPYA KULETA MAHARI AU ALFAJIRI YA KUAMKIA SIKU YA KULETA MAHARI MIMI NAMTUPIA JINI HUYO BINTI YAKO WA SEKONDARI ANAKUFA.
SHUGHULI YA MAHARI INAKUFA KWANZA KWA MUDA.
WAKATI WA MSIBA WA BINTI YAKO HUYO UNAWEZA KUUTUMIA KUTAFAKARI UPYA KUHUSU UAMUZI WAKO WA KUNIDHULUMU MIMI.
UNAWEZA KUBADILI UAMUZI WAKO NA KUMWAMBIA BINTI YAKO AJIRUDI KWANGU MIPANGO IENDELEE KAMA KAWA.
KIFO CHA BINTI YAKO KITATUMIKA KAMA SHULE YA KUKUFUNDISHA KILE ULICHO KUWA UMEKISAHAU AU KILE AMBACHO HUKUFUNDISHWA NA WAZAZI WAKO KWAMBA DUNIANI UNAPITA NA KIFO KINAWEZA KUKUFUATA BILA KUTARAJIA.
Kumbe mifano ipo, ngoja tuone siku muumini akizaa na mke wa mwamposa tuone kama utasema ni issue ndogo tuu.Dah kumbe ishu yenyewe ya kitoto namna HII basi nikafikiria bonge la ishu.
Kwa vyovyote vile haiwezi kufikia ishu ya Nabii Ibrahimu baba wa Imani ambae alizaa Na dada yake walie share baba mmoja ila mama mbalimbali ( MWANZO 20:12) au ( Nabii?) Lutu Alie zaa Na binti zake wawili WA kuwazaa mwenyewe.
Umetoka kapa. Kama ungekuwa mwanafunzi unafanya mtihani ningekupa zero plus a See Me NoticeKwahiyo mwamposa kamtupia jini Dr Mwele afe ili mange asimlipue?
Kwani mange ana undugu wa damu na Mwele?
Hayo majini yenu ndo Mungu kawapa muyatumie kuuwa watu?
Una mkana Mchungaji wako hadharani. Umeyajuaje yote hayo ya sadaka ya kujimaliza kama huwa huendi kusali kwake au ulikuwa unaenda kusali kwake au huwa unafuatilia mahubiri yake Kwa njia ya redio ama television.Huyo keshakuwa brain washed, Sasa Dr Mwele alimkosea Nini huyo mwamposa hadi Mungu wake amuue ili mange asimlipue mwamposa?
Kuna majitu ya hovyo Sana acha aendelee kutoa hiyo sadaka ya kujimaliza na atembee kwa miguu kurudi kwake halafu mwamposa apande V8 kurudi kwake na marundo ya hela.
We si muislam kama unavyodai!!
Ungekuwa muislamu usingethubutu kuwakashiefu nabii luutu kwamba wamezini