Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Nasubiri yule mkuu anaecomment
' ngoja waje wakupe muongozo'
Aje atupe muongozo
' ngoja waje wakupe muongozo'
Aje atupe muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii anabariki utoaji mimba. Eeh tuokoe tunaangamiaMwamposa alipopewa habari ya kijacho kuwa kiko njiani, alimpa bidada milioni 2 akakichoropoe. Dada alitumia ile hela kulea tumbo na sasa hivi anafaidi mema ya kanisa.
Labda kama huelewi maana ya mama wa kambo au wa hiari, yes wana uhusiano, and mange kwa kiasi amelelewa na DR Mwele pia Dr mwele alikua na uhusiano na baba yake Mange, pia Dr Mwele amesimama kama mama ake Mange baada ya biological mother wa mange kufariki na kwenye mambo Mengi amesimama kama mama yake, kuanzia wedding alisimama kama mama, na mambo mengine mengi husimama na kujirepresent kama mama ake Mange. So ni mama yake japo hajamzaaTena hata sio mama wa kambo..huyo ni mama tu mange alijiweka kwake....hawana uhusiano wa karibu hata....yani haaaaataaaaaaaaa.........
Mange tu na hashuo zake mama.mama
Kwa hiyo unaiamini mtumishi wa Mungu hafi?Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.
Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?
Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"
Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.
Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.
Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )
Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.
Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.
Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.
Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.
Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli
Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.
Mifano Ni Mingi mno.
Rest in peace DK Mwele Malecela.
Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote
Mwenyezi Mungu awatie nguvu
U have got a very little understanding about spiritual intelligence and how it is operatingSijaelewa hapa...
Yaani Mungu anajibu maombi ya mtu mwengine kwa kifo cha mtu mwengine..!!
Yaani wewe baba ako akafanye Majanga yake huko halafu Mungu aje kukuua wewe?
Huyo Mugu wako anaefanya hivi HAPANA KWA KWELI.
Mi Mungu wangu HAWEZI kuniua Mimi kwa YASIYONIHUSU aisee hata kama katenda ndugu yangu..!!!
#YNWA
Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
Mama Mwamposa alitambulishwa siku moja tu madhabahuni tena baada ya waumini kuanza kunong’ona you wapi mama Mchungaji, kwani mke wa Mchungaji huwa kiongozi wa Women Forum kanisani.Dah kumbe ishu yenyewe ya kitoto namna HII basi nikafikiria bonge la ishu.
Kwa vyovyote vile haiwezi kufikia ishu ya Nabii Ibrahimu baba wa Imani ambae alizaa Na dada yake walie share baba mmoja ila mama mbalimbali ( MWANZO 20:12) au ( Nabii?) Lutu Alie zaa Na binti zake wawili WA kuwazaa mwenyewe.
Kifo ni kifo tu,huwezi kuthibitisha kama Mange asingeongea,huyo Dokta mwere asingekufa,hizi ni imani tu,Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.
Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?
Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"
Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.
Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.
Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )
Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.
Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.
Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.
Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.
Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli
Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.
Mifano Ni Mingi mno.
Rest in peace DK Mwele Malecela.
Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote
Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
😂😂😂😂Mbunge
Hawa mitume na manabii uchwara ni genge la wahuni kadhaa linalotesa binadamu wasio na akili timamu.Moja...huyo pastor miyamba alikuwa anahubiri b4 hujamuona kwenye movie...nilisoma nae jitegemee so naelewa nnachokizungumza
Pili...kusema eti kuwa nabii hawez kudanganya kwa miaka 3 ni uongo mtupu,hiyo theory umeitoa wapi?tuanze na hilo
Tatu..ktk bible Imeelezwa tutawajua kwa matendo yao,na si kila aitae bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni
Nne...mm nna ushahidi kutoka kwa mwanadada aliekuwa anaimba kwaya kwenye kanisa la jamaa mmoja anaejiita MTUME NA NABII namna alivyokuwa akitakwa kimapenzi na mtumishi huyo wa Mungu
Hawa watu washajua kizaz hiki kinapendaaa miujiza ndo maana kila mara wana kipindi cha TESTIMONY
Kumwamini mtu ambae sijui katokea wapi..huo utume na nabii kaupataje pataje hapana aisee
Kuna Watu ni Wapumbavu kweli hapa duniani. Kwahiyo unataka Kutuaminisha kwa Upumbavu unaokusumbua kuwa kama Mange asingetoa hiyo Ahadi huyo Dk. Mwele asingekufa leo na angekufa Siku nyingine?Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.
Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?
Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"
Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.
Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.
Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )
Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.
Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.
Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.
Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.
Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli
Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.
Mifano Ni Mingi mno.
Rest in peace DK Mwele Malecela.
Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote
Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Akiwemo LIKUDHawa mitume na manabii uchwara ni genge la wahuni kadhaa linalotesa binadamu wasio na akili timamu.