MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Do you really expect that certified dimwit LIKUD to understand you Chief?siyo kweli! kufa kwenyewe hakupangwi na mtu ni Mungu tu mwenye swichi ya kifo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do you really expect that certified dimwit LIKUD to understand you Chief?siyo kweli! kufa kwenyewe hakupangwi na mtu ni Mungu tu mwenye swichi ya kifo.
umetoka kapa mkuu.Kuna Watu ni Wapumbavu kweli hapa duniani. Kwahiyo unataka Kutuaminisha kwa Upumbavu unaokusumbua kuwa kama Mange asingetoa hiyo Ahadi huyo Dk. Mwele asingekufa leo na angekufa Siku nyingine?
au unataka na Sisi wengine tunaomjua vyema huyo Tapeli Wenu wa Kiimani tuseme yale ya ndani msiyoyajua ambayo nina uhakika hata huyo Mange wenu hayajui?
Sijui kwanini Covid-19 haikuondoka na Wapuuzi kama Wewe ( Nyie )
reymage bila ya wewe mshikaji wangu, mie hapa mjini siku hizi nakuwa mweupe kama karatasi za rim.Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
Ukiangalia tu mtiririko wa Content yako hupati shida kujua kuwa LIKUD atakuwa ametoroka katika Moja ya Wodi za Hospitali za Wagonjwa wa Akili Milembe Dodoma au Lutindi Tanga.Mtoa mada ulichoandika hakina uhalisia wowote.Mungu amuadhibu Mange kwa kumuua Dr Malecela?mbona hairelate chochote.
Na Joka kubwa alilonalo Watu wa Maliasili wana taarifa nalo? LIKUD unataka tufunguke na mengineyo ujue kuwa huyo Tapeli wa Kiroho kuna Watu wanamjua ndani nje, ila wameamua tu Kunyamaza aendelee Kutajirika kutokana na Upumbavu wa wengi wenu mnayemuona Mungu Mtu hapa duniani?Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
Na Joka kubwa alilonalo Watu wa Maliasili wana taarifa nalo? LIKUD unataka tufunguke na mengineyo ujue kuwa huyo Tapeli wa Kiroho kuna Watu wanamjua ndani nje, ila wameamua tu Kunyamaza aendelee Kutajirika kutokana na Upumbavu wa wengi wenu mnayemuona Mungu Mtu hapa duniani?
Sasa kama Mwamposa anatamba na kudai ana Nguvu za Kiroho kwanini hiyo Mimba ya huyo Dada hakuiombea tu ili iyeyuke Kimiujiza kama ambavyo anadai huwa anawaponya Watu Kimiujiza hata Wagonjwa wa UKIMWI na wale wenye Shida na Magonjwa mbalimbali?Mwamposa alipopewa habari ya kijacho kuwa kiko njiani, alimpa bidada milioni 2 akakichoropoe. Dada alitumia ile hela kulea tumbo na sasa hivi anafaidi mema ya kanisa.
Ukiangalia tu mtiririko wa Content yako hupati shida kujua kuwa LIKUD atakuwa ametoroka katika Moja ya Wodi za Hospitali za Wagonjwa wa Akili Milembe Dodoma au Lutindi Tanga.
Unaweza kuthibitisha amempa mimba mtu?Sasa kama Mwamposa anatamba na kudai ana Nguvu za Kiroho kwanini hiyo Mimba ya huyo Dada hakuiombea tu ili iyeyuke Kimiujiza kama ambavyo anadai huwa anawaponya Watu Kimiujiza hata Wagonjwa wa UKIMWI na wale wenye Shida na Magonjwa mbalimbali?
Only Nuts kama LIKUD na Wenzake ndiyo watamuamini huyo Womanizer, Mshirikina na Tapeli Mwenzao.
Acha Kutisha Watu Wewe Imbecile huyo Mtume wenu ( wako ) hana lolote na hawana lolote ila nyie msiojielewa ndiyo mnawaogopa na Kuwakuza Kipuuzi hivi.Hakuna cha mtumishi wa Mungu wala nini, hayo matapel huwa na tabia za kuwatishia na kuwaharibia wale wanaowachallenge kwenye hizo kazi zao za uwizi kupitia dini.
Kumbuka hata diamond alipomkwaza gwajiboy ni nini kilitokea?
Hawa watu huwa wanajua kukuharibia kabla hujawaaribia wewe.
Inshort huyo mange kimavi atafute sehem nyingne ya kuwachezea watu, na sio ktk dini ambako ni tofaut na siasa, watu wengi wa dini wana nguvu za siri za kuweza kukuharibu within the minutes.
Anyway natamani waumbuane iwe furaha yetu sisi wapenda mastory hapa town[emoji23][emoji23]View attachment 2115258
Huna Akili.umetoka kapa mkuu.
Ile aliyokupa Wewe vipi Umeshaichoropoa au bado?Unaweza kuthibitisha amempa mimba mtu?
Wenye Akili Kubwa wakiwasihi kuwa msimuamini huyo Womanizer, Mshirikina na Tapeli wa Tanganyika Packers Kawe si huwa hamuwaamini? Acheni awatumieni kutokana na Vichwa vya wengi wenu kujaa Utomvu.Nabii anabariki utoaji mimba. Eeh tuokoe tunaangamia
Absolutely Rubbish....!!!U have got a very little understanding about spiritual intelligence and how it is operating
Ni hivi spiritual intelligence ina work out through deception and distraction .
Mfano NIMEKUJA KWAKO KUMCHUMBIA BINTI YAKO UKAPOKEA MAHARI YANGU. WAKATI NAFANYA UTARATIBU WA VIKAO VYA HARUSI AKATOKEA MUOAJI MWINGINE MWENYE PESA NYINGI KULIKO MIMI AKAKUAHIDI PESA NYINGI NA ZAWADI NYINGI.
SO UKAAMUA KUMUOZESHA BINTI YAKO MIMI MKANIRUSHA. NIKIMPIGIA SIMU BINTI YAKO HAONYESHI USHIRIKIANO NIKIKUPIGIA WEWE UNAJIBU " ONGEA KWANZA NA MWENZAKO MUELEWANE"
SO NIKASTUKIA MCHEZO WAKO.
SPIRITUAL INTELLIGENCE HAINITAKI NIMROGE BINTI YAKO WALA WEWE WALA HUYO MUOAJI MPYA KWANZA.
INANITAKA NIMROGE MTU MWINGINE KABISA KATIKA FAMILY YAKO LAKINI ANA DEEP BLOOD CONNECTION WITH YOU.
MFANO UNA BINTI YAKO MWINGINE ANAISHI MBEYA AU BADO ANASOMA YUPO KIDATO CHA TANO MKOANI HUKO ANASOMA BOARDING AMBAE WALA HAUSIKI KWA CHOCHOTE NA UHUNI MLIONIFANYIA.
SIKU MOJA KABLA YA HUYU MUOAJI MPYA KULETA MAHARI AU ALFAJIRI YA KUAMKIA SIKU YA KULETA MAHARI MIMI NAMTUPIA JINI HUYO BINTI YAKO WA SEKONDARI ANAKUFA.
SHUGHULI YA MAHARI INAKUFA KWANZA KWA MUDA.
WAKATI WA MSIBA WA BINTI YAKO HUYO UNAWEZA KUUTUMIA KUTAFAKARI UPYA KUHUSU UAMUZI WAKO WA KUNIDHULUMU MIMI.
UNAWEZA KUBADILI UAMUZI WAKO NA KUMWAMBIA BINTI YAKO AJIRUDI KWANGU MIPANGO IENDELEE KAMA KAWA.
KIFO CHA BINTI YAKO KITATUMIKA KAMA SHULE YA KUKUFUNDISHA KILE ULICHO KUWA UMEKISAHAU AU KILE AMBACHO HUKUFUNDISHWA NA WAZAZI WAKO KWAMBA DUNIANI UNAPITA NA KIFO KINAWEZA KUKUFUATA BILA KUTARAJIA.