Sasa kama Mwamposa anatamba na kudai ana Nguvu za Kiroho kwanini hiyo Mimba ya huyo Dada hakuiombea tu ili iyeyuke Kimiujiza kama ambavyo anadai huwa anawaponya Watu Kimiujiza hata Wagonjwa wa UKIMWI na wale wenye Shida na Magonjwa mbalimbali?
Only Nuts kama
LIKUD na Wenzake ndiyo watamuamini huyo Womanizer, Mshirikina na Tapeli Mwenzao.
Dhambi huwa haijifichi, lazima ikuumbue, hata angeomba na kuomba Kama mtoto inabidi azaliwe angezaliwa tu. Mtoto Hana hatia, dhambi ya baba na Mama yake haimuhusu, labda uovu atabeba.
Uzinzi unawatafuna wengi sana madhabahuni, Mungu atusaidie. Dhambi Imekomaa tayari imezaa na mauti juu,
Huwa nasema dhambi zote unaweza tubu ukajiona mwepesi, uzinz jamn unakumaliza had usimame tena, Neema ya Mungu na kumsaka Mungu kwa nguvu zaidi unahitaji
hakuna haja ya kumtetea mtumishi, acha Mungu wake amtetee, Mungu anatabia ya kukutetea mwenyew hana msaidizi.
miungu Sasa itatafuta na usaidizi wa binadamu Kama kule kwa Gideon,( kitabu Cha waamuzi )
Kama Ni mtumishi wa Mungu aliye hai Mungu wake atamtetea, na Kama sio itaonekana,
Watu watafute Mungu binafsi na sio Mungu wa mtumishi, mwisho wa siku unajikuta unamuona mtumishi Kama mganga wako,akisemwa unalipuka na hasira juu. Lakini ukimjua Mungu, macho yako yataona tu hii madhabahu sawa hii sio sawa, akisemwa au hajasemwa haikistui cz unajua Mungu yupi unaye mwabudu
Mungu atuepushe na mabaya