Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na huyo alieleta mada chonganishi,ila mimi nakuusia wewe,,MAMBO YA MUNGU NI MAPANA SANA,NA NJIA ZAKE HAKUNA AWEZAYE KUZIJUA,HUFANYA LOLOTE LIMPENDEZALO,KWA YEYOTE AMTAKAYE NA HAKUNA CHA KUMZUIA...kumbuka hili siku zote...Sijaelewa hapa...
Yaani Mungu anajibu maombi ya mtu mwengine kwa kifo cha mtu mwengine..!!
Yaani wewe baba ako akafanye Majanga yake huko halafu Mungu aje kukuua wewe?
Huyo Mugu wako anaefanya hivi HAPANA KWA KWELI.
Mi Mungu wangu HAWEZI kuniua Mimi kwa YASIYONIHUSU aisee hata kama katenda ndugu yangu..!!!
#YNWA
Kwahiyo ndio anakuhukumu wewe kwa kosa la wazazi wako?achana na huyo alieleta mada chonganishi,ila mimi nakuusia wewe,,MAMBO YA MUNGU NI MAPANA SANA,NA NJIA ZAKE HAKUNA AWEZAYE KUZIJUA,HUFANYA LOLOTE LIMPENDEZALO,KWA YEYOTE AMTAKAYE NA HAKUNA CHA KUMZUIA...kumbuka hili siku zote...
Narudia Tena, Huyo Mungu wako nomaaa...!!!U have got a very little understanding about spiritual intelligence and how it is operating
Ni hivi spiritual intelligence ina work out through deception and distraction .
Mfano NIMEKUJA KWAKO KUMCHUMBIA BINTI YAKO UKAPOKEA MAHARI YANGU. WAKATI NAFANYA UTARATIBU WA VIKAO VYA HARUSI AKATOKEA MUOAJI MWINGINE MWENYE PESA NYINGI KULIKO MIMI AKAKUAHIDI PESA NYINGI NA ZAWADI NYINGI.
SO UKAAMUA KUMUOZESHA BINTI YAKO MIMI MKANIRUSHA. NIKIMPIGIA SIMU BINTI YAKO HAONYESHI USHIRIKIANO NIKIKUPIGIA WEWE UNAJIBU " ONGEA KWANZA NA MWENZAKO MUELEWANE"
SO NIKASTUKIA MCHEZO WAKO.
SPIRITUAL INTELLIGENCE HAINITAKI NIMROGE BINTI YAKO WALA WEWE WALA HUYO MUOAJI MPYA KWANZA.
INANITAKA NIMROGE MTU MWINGINE KABISA KATIKA FAMILY YAKO LAKINI ANA DEEP BLOOD CONNECTION WITH YOU.
MFANO UNA BINTI YAKO MWINGINE ANAISHI MBEYA AU BADO ANASOMA YUPO KIDATO CHA TANO MKOANI HUKO ANASOMA BOARDING AMBAE WALA HAUSIKI KWA CHOCHOTE NA UHUNI MLIONIFANYIA.
SIKU MOJA KABLA YA HUYU MUOAJI MPYA KULETA MAHARI AU ALFAJIRI YA KUAMKIA SIKU YA KULETA MAHARI MIMI NAMTUPIA JINI HUYO BINTI YAKO WA SEKONDARI ANAKUFA.
SHUGHULI YA MAHARI INAKUFA KWANZA KWA MUDA.
WAKATI WA MSIBA WA BINTI YAKO HUYO UNAWEZA KUUTUMIA KUTAFAKARI UPYA KUHUSU UAMUZI WAKO WA KUNIDHULUMU MIMI.
UNAWEZA KUBADILI UAMUZI WAKO NA KUMWAMBIA BINTI YAKO AJIRUDI KWANGU MIPANGO IENDELEE KAMA KAWA.
KIFO CHA BINTI YAKO KITATUMIKA KAMA SHULE YA KUKUFUNDISHA KILE ULICHO KUWA UMEKISAHAU AU KILE AMBACHO HUKUFUNDISHWA NA WAZAZI WAKO KWAMBA DUNIANI UNAPITA NA KIFO KINAWEZA KUKUFUATA BILA KUTARAJIA.
Mungu hanaga mambo ya ajabuUshauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Dk mwele alikua na kansa acha fitnaMange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.
Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?
Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.
Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"
Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.
Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.
Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )
Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.
Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.
Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.
Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.
Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli
Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.
Mifano Ni Mingi mno.
Rest in peace DK Mwele Malecela.
Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote
Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Nyie mchocheeni tu huyo mange atapotea vibaya sana mwambieni apost halafu mpeni mda kidogo mtakuja kuzungunza hapa hapaMsiba ukiisha atapost. Hivyo bomu la Mwamposa lipo pale pale. Labda Mange mwenyewe afe.
Nani tena huyo mfanyakazi please niambieMwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
Jina lake sikulishika lakini yuko Accounts Department.Nani tena huyo mfanyakazi please niambie
Wewe mbona unatoka mishipa mingi kumponda mtu ambaye humjui usione sifa kuna unachekwa kwa dharau sana jitafakari kama humkubari kaa kimya mi sisali kwa mwamposa ila sipo kama wewe unayetoa povu kwa vitu visivyokuhusuWenye Akili Kubwa wakiwasihi kuwa msimuamini huyo Womanizer, Mshirikina na Tapeli wa Tanganyika Packers Kawe si huwa hamuwaamini? Acheni awatumieni kutokana na Vichwa vya wengi wenu kujaa Utomvu.
Nakumbuka those times nikawa naendaga kwake akiwa vatican pale mara 2. Sikurudi tena. Moyo wangu ulikataa kabisaaa. Makanisa ambayo hayana faida katika jamii. Kupokea sadaka za kupanda mbegu tu kwa nabii wakagongee mademu zao na waimba kwaya wa kanisani. Hakuna shule wanajenga, hispitali wala takataka gani. Na mademu wadangaji hawafanyagi makosa. Wanajilengesha na kuzaa nao wanufaike sadakanzetu. Kuna malaya mmoja alikua anakiuzia nje amefungua massage parlour ndo wananyooshana sasa hv na mtoto juu. .Yaani nikikumbuka Gwajima eti mkono wa baunsa. Na wafuasi wake wakaamini. Huyu Mwamposa nae tapeli tu. Acha awalie book book zao.
Hahajajq yaaan. Hawa manabii ni kibokook.Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
He's a Womanizer, Sorcerer and Spiritual Con Man.Utumishi wa mwamposa una maswali mengi. Yule ni fake Pastor tu
Akishuka kwenye gari watu wanapiga magoti.Hahajajq yaaan. Hawa manabii ni kibokook.
Watu ndo wanawanyenyekea balaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kumbe ishu yenyewe ni mambo ya kitoto kitoto kama hayo dah wajameni Sasa mwanaume kuzaa Na mwanamke Nini cha ajabu hapo?Mbona site zingine zimesha sema , amezaa mtoto na mwanamke , muumini wake.
Mwamposa acha Kutisha Watu na huna Nguvu hiyo Wala Ubavu huo. Anza na Ndugu zako hasa Dada yako wa Gongo la Mboto na aliyekuwa Mfanyakazi wako sasa anaishi Bunju kisha maliza na Mmoja wa Watendaji wako hapo Kanisani unayemuamini na Kumpenda mno kwa Kuvuja kwa Siri zako za Ndani na Upuuzi wako sawa?Nyie mchocheeni tu huyo mange atapotea vibaya sana mwambieni apost halafu mpeni mda kidogo mtakuja kuzungunza hapa hapa