Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

Mwamposa alipopewa habari ya kijacho kuwa kiko njiani, alimpa bidada milioni 2 akakichoropoe. Dada alitumia ile hela kulea tumbo na sasa hivi anafaidi mema ya kanisa.
Nabii anabariki utoaji mimba. Eeh tuokoe tunaangamia
 
Tena hata sio mama wa kambo..huyo ni mama tu mange alijiweka kwake....hawana uhusiano wa karibu hata....yani haaaaataaaaaaaaa.........
Mange tu na hashuo zake mama.mama
Labda kama huelewi maana ya mama wa kambo au wa hiari, yes wana uhusiano, and mange kwa kiasi amelelewa na DR Mwele pia Dr mwele alikua na uhusiano na baba yake Mange, pia Dr Mwele amesimama kama mama ake Mange baada ya biological mother wa mange kufariki na kwenye mambo Mengi amesimama kama mama yake, kuanzia wedding alisimama kama mama, na mambo mengine mengi husimama na kujirepresent kama mama ake Mange. So ni mama yake japo hajamzaa

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unaiamini mtumishi wa Mungu hafi?
 
U have got a very little understanding about spiritual intelligence and how it is operating

Ni hivi spiritual intelligence ina work out through deception and distraction .

Mfano NIMEKUJA KWAKO KUMCHUMBIA BINTI YAKO UKAPOKEA MAHARI YANGU. WAKATI NAFANYA UTARATIBU WA VIKAO VYA HARUSI AKATOKEA MUOAJI MWINGINE MWENYE PESA NYINGI KULIKO MIMI AKAKUAHIDI PESA NYINGI NA ZAWADI NYINGI.

SO UKAAMUA KUMUOZESHA BINTI YAKO MIMI MKANIRUSHA. NIKIMPIGIA SIMU BINTI YAKO HAONYESHI USHIRIKIANO NIKIKUPIGIA WEWE UNAJIBU " ONGEA KWANZA NA MWENZAKO MUELEWANE"

SO NIKASTUKIA MCHEZO WAKO.

SPIRITUAL INTELLIGENCE HAINITAKI NIMROGE BINTI YAKO WALA WEWE WALA HUYO MUOAJI MPYA KWANZA.

INANITAKA NIMROGE MTU MWINGINE KABISA KATIKA FAMILY YAKO LAKINI ANA DEEP BLOOD CONNECTION WITH YOU.

MFANO UNA BINTI YAKO MWINGINE ANAISHI MBEYA AU BADO ANASOMA YUPO KIDATO CHA TANO MKOANI HUKO ANASOMA BOARDING AMBAE WALA HAUSIKI KWA CHOCHOTE NA UHUNI MLIONIFANYIA.

SIKU MOJA KABLA YA HUYU MUOAJI MPYA KULETA MAHARI AU ALFAJIRI YA KUAMKIA SIKU YA KULETA MAHARI MIMI NAMTUPIA JINI HUYO BINTI YAKO WA SEKONDARI ANAKUFA.

SHUGHULI YA MAHARI INAKUFA KWANZA KWA MUDA.

WAKATI WA MSIBA WA BINTI YAKO HUYO UNAWEZA KUUTUMIA KUTAFAKARI UPYA KUHUSU UAMUZI WAKO WA KUNIDHULUMU MIMI.

UNAWEZA KUBADILI UAMUZI WAKO NA KUMWAMBIA BINTI YAKO AJIRUDI KWANGU MIPANGO IENDELEE KAMA KAWA.

KIFO CHA BINTI YAKO KITATUMIKA KAMA SHULE YA KUKUFUNDISHA KILE ULICHO KUWA UMEKISAHAU AU KILE AMBACHO HUKUFUNDISHWA NA WAZAZI WAKO KWAMBA DUNIANI UNAPITA NA KIFO KINAWEZA KUKUFUATA BILA KUTARAJIA.
 
Dah kumbe ishu yenyewe ya kitoto namna HII basi nikafikiria bonge la ishu.
Kwa vyovyote vile haiwezi kufikia ishu ya Nabii Ibrahimu baba wa Imani ambae alizaa Na dada yake walie share baba mmoja ila mama mbalimbali ( MWANZO 20:12) au ( Nabii?) Lutu Alie zaa Na binti zake wawili WA kuwazaa mwenyewe.
Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
 
Mama Mwamposa alitambulishwa siku moja tu madhabahuni tena baada ya waumini kuanza kunong’ona you wapi mama Mchungaji, kwani mke wa Mchungaji huwa kiongozi wa Women Forum kanisani.
 
labda angekufa mange mwnyewe kidogo ndo tungestuka... mbali na hapo niseme mwapoposa ni mjanja mjanja tu
Majibu ya hoja yako yamejibiwa kupitia komenti namba 25
 
Kifo ni kifo tu,huwezi kuthibitisha kama Mange asingeongea,huyo Dokta mwere asingekufa,hizi ni imani tu,
 
Hawa mitume na manabii uchwara ni genge la wahuni kadhaa linalotesa binadamu wasio na akili timamu.
 
Kuna Watu ni Wapumbavu kweli hapa duniani. Kwahiyo unataka Kutuaminisha kwa Upumbavu unaokusumbua kuwa kama Mange asingetoa hiyo Ahadi huyo Dk. Mwele asingekufa leo na angekufa Siku nyingine?

au unataka na Sisi wengine tunaomjua vyema huyo Tapeli Wenu wa Kiimani tuseme yale ya ndani msiyoyajua ambayo nina uhakika hata huyo Mange wenu hayajui?

Sijui kwanini Covid-19 haikuondoka na Wapuuzi kama Wewe ( Nyie )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…