MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mmepona kuwa Wapumbavu zaidi au?Jamani wenzenu tunapona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepona kuwa Wapumbavu zaidi au?Jamani wenzenu tunapona
Kumbe JamiiForums kuna Member aitwae Gentamycene? Sisi tunayemjua ni Yule anayejiita GENTAMYCINE ambaye hata Mimi Mightier ninamkubali mno tu.🤣🤣🤣🤣🤣 Wewe ni Gentamycene wa mchongo
Kuwa Umeshamzalia Watoto wengi au?Uzushi
sizani kama aliwahi kupinga, ila alisha wahi elezea katika madhabau yake...Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
uhusiano ulikuwepo na sababu alikuwa anapokea dushe toka kwa mmoja wa wana familia...Tena hata sio mama wa kambo..huyo ni mama tu mange alijiweka kwake....hawana uhusiano wa karibu hata....yani haaaaataaaaaaaaa.........
Mange tu na hashuo zake mama.mama
Hata Nabii Daudi alizaa na nje ya ndoa na mke wa mtu wa Huria na akamuua mumewe achukue mkewe. Na Bwana Yesu akazaliwa ktk ukoo huo huo wa mke wa mtu aliyezaa naye. Mwanaume kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja siyo kashfa manabii wengi walizaa na wanawake zaidi ya mmoja na vitabu vyao tunavikubali. Kashfa angekuwa SHOGA au BASHA au MCHAWI hiyo ndiyo kashfa.Mwamposa ameshalipuliwa na Original East. Amezaa na mfanyakazi wa Wasafi na mama kichanga ndiye mnufaika wa fungu la kumi.
Mwamposa ameingia Ubia na Kampuni ya Maji ya Canadian cha Kushangaza sasa Yeye kule kila Chupa anauziwa Tsh 350 ila anakuja Kuwauzia Majuha na Wendawazimu wa Imani pale Tanganyika Packers Kawe Tsh 1,000 na bado tu inanunua.upuuzi mtupu , yani hawa manabii wa uongo wanashida sana ,jitu tapeeeli linauzia wenzie mafuta ya alizeti na maji ya canadian bado wanaliamini tu, njaa mbaya sana jameni
Acha Uwongo Wewe hajawahi. Haya na huyo Mwanamke Mkalimani wake aliyenae pia alishawahi Kuwaelezea hapo Madhabahuni Kwenu / Kwake? Acha Unafiki na Ujuha tafadhali.sizani kama aliwahi kupinga, ila alisha wahi elezea katika madhabau yake...
Ndo wekeni siyo bla bla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] takataka kabisaaaa.... eti madhabahu ya mwampoo. Hawa manabii wenu uchafu wao ungekua unawekwa hadharani tungekimbiana.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unahalalisha Uhuni na Umalaya kwa reference ya Daudi wa katika Biblia? Kuna Watu ni Fools na nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tubakie wenye Akili tu.Hata Nabii Daudi alizaa na nje ya ndoa na mke wa mtu wa Huria na akamuua mumewe achukue mkewe. Na Bwana Yesu akazaliwa ktk ukoo huo huo wa mke wa mtu aliyezaa naye. Mwanaume kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja siyo kashfa manabii wengi walizaa na wanawake zaidi ya mmoja na vitabu vyao tunavikubali. Kashfa angekuwa SHOGA au BASHA au MCHAWI hiyo ndiyo kashfa.
Hata maji ya hills pia yapo pale ,by the way mbona wengine wanaenda na maji yaoupuuzi mtupu , yani hawa manabii wa uongo wanashida sana ,jitu tapeeeli linauzia wenzie mafuta ya alizeti na maji ya canadian bado wanaliamini tu, njaa mbaya sana jameni
Usizin ni moja ya amri katika zile kumiUr still a learner
Kile kipindi Cha kina daudi ni kipindi kingine tofauti na sisi tunachoishiKwahiyo unahalalisha Uhuni na Umalaya kwa reference ya Daudi wa katika Biblia? Kuna Watu ni Fools na nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tubakie wenye Akili tu.
Kile kipindi Cha kina daudi ni kipindi kingine tofauti na sisi tunachoishiKwahiyo unahalalisha Uhuni na Umalaya kwa reference ya Daudi wa katika Biblia? Kuna Watu ni Fools na nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka tu nanyi ili mpungue duniani na tubakie wenye Akili tu.
Hata Nabii Daudi alizaa na nje ya ndoa na mke wa mtu wa Huria na akamuua mumewe achukue mkewe. Na Bwana Yesu akazaliwa ktk ukoo huo huo wa mke wa mtu aliyezaa naye. Mwanaume kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja siyo kashfa manabii wengi walizaa na wanawake zaidi ya mmoja na vitabu vyao tunavikubali. Kashfa angekuwa SHOGA au BASHA au MCHAWI hiyo ndiyo kashfa.
Wewe ndo mshika miguu akitoka anakubandua na weweSasa anambandua huyo Mkalimani wake.