Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February

Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.

Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.

Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?

Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.

Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"

Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.

Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.

Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )

Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.

Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.

Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.

Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.

Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli

Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.

Mifano Ni Mingi mno.

Rest in peace DK Mwele Malecela.

Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote

Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Yan maelezo yako ni takataka ,so upuuz Zaid uliposema ww n muislamu ,wewe sio muislam ,msimamo wa uislam unaamin hakuna nabii baada ya Muhammad na anaeamin Ivo sio muislamu
 
Nakazia
 
Tena hata sio mama wa kambo..huyo ni mama tu mange alijiweka kwake....hawana uhusiano wa karibu hata....yani haaaaataaaaaaaaa.........
Mange tu na hashuo zake mama.mama
Mange na mwele malecela wanashare mama.
Mama yake Mange alizaa na Malecela ndio hao akina Mwele Kisha akapigwa chini. Mama akaenda kuolewa Kwa Kimambi akazaa akina Mange.

Mange kumuita mwele mama ni sawa kwasabb Mwele kamlea ingawa huko zamani (marehem hasemwagi) waliwahigi kushare dyudyu bila kujijua Kwa mtu sitak kumtaja. Na Mange alipikuja kujua kiwa wanachanganywa akawaachana na huyo mtu. Mwele hakubahatikaga kupata mtoto hivyo Naomi na Mange walikuwa ni watoto wake wa kuwalea kabisa
 
Alikuwa small house ya baba yake Mange .Yes ni mama wake wa kambo. Mange aliishi kwa Mwele kipindi anasubiria kwenda USA.
Vic Mwele ba Mange ni mtu na dada. Ila waliwahigi kushare dyudyu na huo.uzi.uko humu ndani. Ingawa mama alizaa mwele kama mchepuko tuu. Mama ndio akaolewa na kimambi na kuzaa kina Mange
 
Mange na mwele malecela wanashare mama.
Mama yake Mange alizaa na Malecela ndio hao akina Mwele Kisha akapigwa chini. Mama akaenda kuolewa Kwa Kimambi akazaa akina Mange.

Mange kumuita mwele mama ni sawa kwasabb Mwele kamlea ingawa huko zamani (marehem hasemwagi) waliwahigi kushare dyudyu bila kujijua Kwa mtu sitak kumtaja. Na Mange alipikuja kujua kiwa wanachanganywa akawaachana na huyo mtu. Mwele hakubahatikaga kupata mtoto hivyo Naomi na Mange walikuwa ni watoto wake wa kuwalea kabisa
Ahaa Kwa hiyo Mwele Ni Mtoto WA mama Ake Na Mange? Fafanua kidogo mkuu
 
Kwa haya Maelezo yako yaliyojaa Chuki kwa Mange Kimambi mbona hata Wewe unaonekana ni Mbea Mwandamizi vile vile?

Mijinga kama nyie ndio inakuta inamtumia habari.. yaani mitanzania ni mijitu ya ovyo tu
 
Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February

Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.

Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.

Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?

Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.

Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"

Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.

Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.

Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )

Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.

Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.

Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.

Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.

Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli

Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.

Mifano Ni Mingi mno.

Rest in peace DK Mwele Malecela.

Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote

Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Acha kufundisha watu uoga
 
Mdau wa mada Kwa hili umechemsha uisilam wako.

"Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be
)"
 
Kwa nini wewe usiigize kama Bikira Maria ili itokee kweli weeh Muislam
 
Vic Mwele ba Mange ni mtu na dada. Ila waliwahigi kushare dyudyu na huo.uzi.uko humu ndani. Ingawa mama alizaa mwele kama mchepuko tuu. Mama ndio akaolewa na kimambi na kuzaa kina Mange
Huu ni uongo mkubwa.Mwele mtoto wa malecela na marehemu mkewe ,anashare vipi mama na Mange?Mama Mwele ni mnyakyusa,mama yake Mange ni Mmakonde.Tena Mama yake Mwele na yeye alikufa kwa cancer .Mwele alikuwa mchepuko wa Mzee Kimambi.
 
Ahaa Kwa hiyo Mwele Ni Mtoto WA mama Ake Na Mange? Fafanua kidogo mkuu
Si kweli hata kidogo,mama yake Mwele ni marehemu mke wa kwanza wa mzee Malecela.Mama yake Mange ni mmakonde.Mama yake Mwele ni mnyakyusa tena aliolewa na mzee Malecela na kifo ndo kiliwatenganisha.Nimeamini duniani kuna watu waongo.Mwele alikuwa mchepuko wa Marehemu Kimambi ambae ni baba yake Mange.
 
Huu ni uongo mkubwa.Mwele mtoto wa malecela na marehemu mkewe ,anashare vipi mama na Mange?Mama Mwele ni mnyakyusa,mama yake Mange ni Mmakonde.Tena Mama yake Mwele na yeye alikufa kwa cancer .Mwele alikuwa mchepuko wa Mzee Kimambi.
gfsonwin
 
Back
Top Bottom