Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February

Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.

Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.

Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?

Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.

Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"

Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.

Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.

Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )

Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.

Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.

Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.

Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.

Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli

Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.

Mifano Ni Mingi mno.

Rest in peace DK Mwele Malecela.

Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote

Mwenyezi Mungu awatie nguvu
 
Moja...huyo pastor miyamba alikuwa anahubiri b4 hujamuona kwenye movie...nilisoma nae jitegemee so naelewa nnachokizungumza

Pili...kusema eti kuwa nabii hawez kudanganya kwa miaka 3 ni uongo mtupu,hiyo theory umeitoa wapi?tuanze na hilo

Tatu..ktk bible Imeelezwa tutawajua kwa matendo yao,na si kila aitae bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni

Nne...mm nna ushahidi kutoka kwa mwanadada aliekuwa anaimba kwaya kwenye kanisa la jamaa mmoja anaejiita MTUME NA NABII namna alivyokuwa akitakwa kimapenzi na mtumishi huyo wa Mungu

Hawa watu washajua kizaz hiki kinapendaaa miujiza ndo maana kila mara wana kipindi cha TESTIMONY

Kumwamini mtu ambae sijui katokea wapi..huo utume na nabii kaupataje pataje hapana aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] takataka kabisaaaa.... eti madhabahu ya mwampoo. Hawa manabii wenu uchafu wao ungekua unawekwa hadharani tungekimbiana.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yaani nikikumbuka Gwajima eti mkono wa baunsa. Na wafuasi wake wakaamini. Huyu Mwamposa nae tapeli tu. Acha awalie book book zao.
 
Sijaelewa hapa...
Yaani Mungu anajibu maombi ya mtu mwengine kwa kifo cha mtu mwengine..!!
Yaani wewe baba ako akafanye Majanga yake huko halafu Mungu aje kukuua wewe?

Huyo Mugu wako anaefanya hivi HAPANA KWA KWELI.

Mi Mungu wangu HAWEZI kuniua Mimi kwa YASIYONIHUSU aisee hata kama katenda ndugu yangu..!!!

#YNWA
 
Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February

Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.

Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye msiba.

Je Jambo hili limetokea kama coincidence au Madhabahu ya Mungu wa Mwamposa imetenda kazi?

Ushauri wangu Kwa Mange . Watu wanao itwa Watumishi WA Mungu achana nao unaweza kupata matatizo ambayo hukuyatarajia.

Huko kwenye Madhabahu ZA kiroho huwaga Kuna prayer line maarufu Sana inatumiwa Na prayer warriors Ina SEMA " THOSE WHO WANT US TO CRY , OUR LORD GOD WILL THEM CRY BLOOD FIRST"

Hivi Mwamposa akisema kwamba Huo msiba ulio kupata dada angu Mange Ni Kwa Sababu Kwa kuwa wewe ulitaka yeye Mwamposa Alie basi Mungu wa madhabahu yake amekufanya wewe Mange uanze kulia kabla yake , Je anaweza kukosa Kweli Kundi la watu watakao amini hoja yake? Hapana hawezi kukosa.

Maana yake Ni kwamba Imani ya watu Kwa Mwamposa itaongezeka Zaidi.

Mimi ni muislamu lakini kauli mbiu yangu siku zote huwaga Ni " Usimtukane Nabii hata kama umesikia watu wanasema Ni Nabii WA uongo". Kwa Sababu for my personal opinion MTU hawezi kufake kitu Kwa Zaidi ya miaka mitatu mfululizo. ( U will always become what u pretend to be )

Kwa hiyo hata kama mtu alikuwa ana pretend unabii mwanzoni wakati anaanza baadae anaweza kujikuta consciousness yake Ina msuta Ina mtaka awe Nabii Kweli.

Hiki ninacho kisema kimekuwa proved Kwa watu wengi Sana.

Masanja Mdandamizaji alikuwaga anaigiza upasta mwisho wa siku Kawa pasta Kweli.

Pastor Miyamba alikuwa anaigiza kama pastor kwenye movie mwisho wa siku kawa pasta Kweli.

Yule jamaa aliye igiza movie ZA YESU mwisho wa siku alijikuta anatenda miujiza Kweli

Mifano IPO Mingi Sana Na sio ya upasta Tu Na hapo nimezungumzia hiyo ya watu kuigiza kwenye movie Na sio wale wanao pretend huku mitaani Na kwingineko kama vile Mwijaku amekuwa Aki pretend kwamba yeye ni mtu muhimu katika jamii Sasa hivi mpaka Rais anamtaja hadharani.

Mifano Ni Mingi mno.

Rest in peace DK Mwele Malecela.

Pole Sana Mange Kimambi Na wafiwa wote

Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Umetumwa na mwamposa kuja kuleta vijembe vyenu huku, wote washenzi tu wewe, mwamposa na huyo mange.
 
Hakuna cha mtumishi wa Mungu wala nini, hayo matapel huwa na tabia za kuwatishia na kuwaharibia wale wanaowachallenge kwenye hizo kazi zao za uwizi kupitia dini.

Kumbuka hata diamond alipomkwaza gwajiboy ni nini kilitokea?

Hawa watu huwa wanajua kukuharibia kabla hujawaaribia wewe.

Inshort huyo mange kimavi atafute sehem nyingne ya kuwachezea watu, na sio ktk dini ambako ni tofaut na siasa, watu wengi wa dini wana nguvu za siri za kuweza kukuharibu within the minutes.

Anyway natamani waumbuane iwe furaha yetu sisi wapenda mastory hapa town[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom