Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
Maswala Ya Rohoni Unataka Nikuthibitishie Kwa Mwili!? (WEWE NAJUA UNATAKA ISHARA NA HAUTA ONA ISHARA ISIPOKUWA ISHARA YA YONA)Unathibitisha vipi mungu wako Ndo kakuumba na siyo mungu odin, au brahma the creator, au zeus, au orisha au loa au vodun au sango au nkisi au alusi.
Ni nani aliyesema kajiumba halafu ajiwekee ukomo? Hayo ni maneno yako na si yangu
Thibitisha mungu yupo?
Maswala Ya Rohoni Unataka Nikuthibitishie Kwa Mwili!? (WEWE NAJUA UNATAKA ISHARA NA HAUTA ONA ISHARA ISIPOKUWA ISHARA YA YONA)
NA KAMA HUAMINI MUNGU MKUU YAHWEH NDIE ALIE UMBA VYOTE umewajuaje hao miungu ulio wataja odin, brahma, zeus NIJIBU HILI maana Wewe huamini maswala ya MUNGU UWEPO WAKE ?
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Mungu yupi?Kuna vitu vingine inabidi ufikilie kwa akili ya ubinaadamu siyo lazima uende shule ukasoma, nafasi ya Mungu kwa binadamu ni kila kitu, yeye alikuwepo, yupo, atakuwepo daima.
Pole sana ndugu yangu, lakini ujuaji wetu huu wote mwisho wake ni kaburini, halafu Mungu mwenyewe kaweka pazia, kiasi kwamba hatuna nafasi ya kuludi tena kuja kusahihisha makosa yetu
KWANI HUYU ZEUS ULIE MTAJA NI NANI TUANZIE HAPO KWANZA!?Halafu jaribu kujibu jinsi ya mtu anavyouliza hakuna sehemu nimesema nahitaji ishara na unahakikisha kabisa eti unajua nataka ishara. Unaweza nionyesha sehemu niliyosema nataka ishara?
Nimesema thibitisha mungu yupo na si ishara?
KWANI HUYU ZEUS ULIE MTAJA NI NANI TUANZIE HAPO KWANZA!?
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Wewe unamjua Mungu kwa upande upi na yeye ni nani na ana umbo gani kimuonekano?????Ushawahi kutoka nje ya mwili wako?????? Ushawahi kuutazama ulimwengu either kichawi au kinajimu?????? Au unamjua mungu kupitia vitabu vya simulizi za kiyahudi na kiarabu?????? Angalia maswali yangu vizuri afu nijibu ndugu yanguKuna vitu vingine inabidi ufikilie kwa akili ya ubinaadamu siyo lazima uende shule ukasoma, nafasi ya Mungu kwa binadamu ni kila kitu, yeye alikuwepo, yupo, atakuwepo daima.
Pole sana ndugu yangu, lakini ujuaji wetu huu wote mwisho wake ni kaburini, halafu Mungu mwenyewe kaweka pazia, kiasi kwamba hatuna nafasi ya kuludi tena kuja kusahihisha makosa yetu
Walokole ni usharika wa kiroho,sio makanisa...Mm mwenyewe napambana niwe mlokole na ninajua thawabu za walokole kwenye ulimwengu wa nje ya mwili.Wapo wachache duniani sababu huo ulokole ni imani zaidi,hivyo ni vigumu kusadikika kwa watu walio wengi.Makanisa na dini ni vitu vya matendo vinavyoonekana bali imani haionekani bali inasadikika tu moyoni.Kwanini unasema walokole duniani hawazidi milioni kumi ikiwa kila mahali duniani kuna makanisa mengi ya kilokole.
Kweli mkuukumbuka kisa cha mnajimu na sauli,sauli alitaka kumpandisha samweli na kweli samweli alikuja ijapokuwa alishakufa na akamkemea na kumtabiria kifo chake so wanajimu wanauwezo wa kutambua yaliyo ya Mungu.
Lakini pia mamajusi(wanajimu)wa mashariki walitambua kuzaliwa kwa Yesu kupitia nyota.
13 Mfalme akamwambia Usiogope; waona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu anatoka katika nchi.
1 Samweli 28:13
14 Naye akamwuliza, Ni mfano wa nini? Akajibu, Ni mzee anazuka; naye amefunikwa vazi. Basi Sauli akatambua ya kwamba ndiye Samweli mwenyewe, akainama uso wake mpaka nchi, akasujudia.
1 Samweli 28:14
15 Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Mbona umenitaabisha mimi, hata kunipandisha juu? Sauli akajibu, Mimi nimetaabika sana; kwa kuwa hao Wafilisti wananifanyia vita, naye Mungu ameniacha; hanijibu tena, wala kwa manabii, wala kwa ndoto; kwa hiyo nimekuita wewe, ili wewe unijulishe nifanyeje.
1 Samweli 28:15
16 Samweli akasema, Kwa nini kuniuliza mimi, akiwa Bwana amekuacha, naye amekuwa adui yako?
1 Samweli 28:16
17 Yeye Bwana amekutendea kama alivyosema kwa kinywa changu; Bwana amekurarulia ufalme mkononi mwako, na kumpa jirani yako, yaani, Daudi.
1 Samweli 28:17
18 Kwa sababu wewe hukuitii sauti ya Bwana, wala hukumtimilizia hasira yake kali juu ya Amaleki; kwa sababu hii Bwana amekutendea hili leo.
1 Samweli 28:18
19 Tena pamoja na wewe Bwana atawatia Israeli mikononi mwa Wafilisti; hata na kesho wewe na wanao mtakuwapo pamoja nami; tena Bwana atawatia jeshi la Israeli pia mikononi mwa Wafilisti.
1 Samweli 28:19
HUNA HOJA SI HAPA Wewe Umetaja hiyo miungu sasa Uongo Upi Tena [emoji23] MKUU HAUPO SAWA MPOKEE YESUUnathibitisha vipi mungu wako Ndo kakuumba na siyo mungu odin, au brahma the creator, au zeus, au orisha au loa au vodun au sango au nkisi au alusi.
Ni nani aliyesema kajiumba halafu ajiwekee ukomo? Hayo ni maneno yako na si yangu
Thibitisha mungu yupo?
1 Samweli 28:8-17 Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na watu wawili pamoja naye, wakamfikilia yule mwanamke usiku; akasema, Tafadhali unibashirie kwa utambuzi, ukanipandishie yeye nitakayemtaja kwako.Napata shaka kama ulimuona huyo MUNGU wa walokole...
Mbona umetumia Mnajimu? Maana Mnajimu huyo ni Mkuu wa giza...
Kumuona Mungu sio kwa kutumia mtu na nguvu za kibinadamu.
Bali ni kwa kumpokea Bwana kuwa mwokozi wa maisha yako, kuomba, kufunga, kusali...
Na hii ndio maana wapo ambao wanaenda kanisani kila siku ila hawaoni mambo ya Rohoni...
Wanajiita wakristo lakini YESU hawajui...
Uzoefu wangu uliongozwa na Mzee Matata,maana mimi nilikua mtafiti tu na sio mnajimu.Mengi tulishuudia pamojaUngezungumza wewe kama kama wewe((bila kutumia 'mzee matata') ingevutia zaidi!
hapo ndo penyewe sasa! Tupe vitu kiuzoefu!Uzoefu wangu uliongozwa na Mzee Matata,maana mimi nilikua mtafiti tu na sio mnajimu.Mengi tulishuudia pamoja