Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Dini ni mfumo wa maisha kwa jamii husika ambapo kimsingi kila jamii ina mfumo wa kimapokeo.
Lakini maisha ya utakatifu na wokovu kuzishinda hizi dini zote ndio uhusiano wa mtu binafsi na Mungu mtakatifu muumba mbingu na nchi aliye juu ya miungu mingine yote iliyoinuliwa na mapokeo ya wanadamu.
Katika manabii wote wa Mungu mtakatifu aliye juu sana ambao neno la Mungu wa biblia limepitia kwao hakuna hata mmoja anaetokana na dini(dhehebu) lolote lile katika agano la kale na jipya.
Hata mwana wa mmiliki(Yesu) aliwashutumu wayahudi kwa kuzihalifu sheria na amri za muumba kwa mapokeo yaliyo maagizo ya wazee wakidhani ni NENO.
Kwani wewe mkuu ni dini gani?.
 
Wacha weeeeeee, umeandika kwa mbwembwe kweli ila umeandika kitu cha hovyo sana. Eti maskini ndio wanaamini uchawi. Kupinga kwako hakutufundishi wala hakutuaminishi kuwa hakuna uchawi. Nijuacho, wengi wanaopinga na wanaolazimisha wanadamu kuwa hakuna Mungu wala uchawi huwa ni either wachawi au maagent wa shetani. Kizazi hiki, hakuna mtu aliye serious na akimaanisha toka moyoni mwake kwamba hakuna Mungu wala uchawi akawa "neutral".

Kwenye uzi huu, hizi comments zako ni kujifurahisha tu wala hatukufuatilii kwani wote tuna uhakika na uwepo tena pasi za shaka wa Mungu wa walokole.

Hao sijui wa masaki sijui kama unawajua wote huwa tunawaombea na wanaanguka sana mapepo. Tunao wazungu wengi tena matajiri tu huko kwao huja kuhubiri Injili huku vijijini. Wao wana uchawi wao wanauremba na kupita "white magic" so dogo tulia na acha mbwembwe.
 
Huo utafiti naona bado unakusanya data maana bado hujakamilika, kuna mapungufu mengi sana kwenye tafiti yako
Kwake unajitosheleza na sidhani kama kuna tafiti iliyokamilika 100 na haina "errors" na ndio maana toka enzi na enzi watu wanaendelea kutafiti. Kwake inatosha, sasa hizo "errors" nenda na wewe kutafiti mkuu.
 
Kwenye Biblia Azazel hakutajwa kama malaika muasi na kimsingi, Biblia haitifindishi sana kuhusu Malaika ila inatufundisha kuhusu uhusiano wetu na Mungu. Kibiblia Azazel ina maana ya mnyama aliyekuwa anatumika kama ishara ya toba kwa wana Israel. Mnyama huyu alikuwa anawekewa mikono na makuhani ikimaanisha anabebeshwa dhambi za wana Israel kisha huruhusiwa/pelekea jangwani akatange tangu huko jangwani akibeba dhambi za Waisraeli.

Tendo hili lilikuwa ni fumbo la ujio wa Yesu kwani lilithibitika mara baada ya ubatizo wa Yohana Mbatizaji pale Jordani. Yohana alipomaliza Yesu alimuwekea mkono wake na baada ya hapo, Yesu alikwenda kuzunguka jangwani kwa siku 40 akijaribiwa na shetani. Tutaanzisha uzi wake katika hili.

Azazel kama Pepo tunaiona Jina hilo kwenye kitabu cha Henoko ambacho kimsingi hakipo kwenye Biblia. Yeye ndio anataja Majina ya wale malaika waasi akina Azael, Cucubiel, Baraquel n.k na anaeleza hao ndio waliwafundisha wanadamu mambo mengi kama Uchawi na unajimu. Hawa ndio wamefungwa chini ya mto "Euphrat" na watafunguliwa kidogo kwenye wakati wa mwisho (Kama inavyoelezwa kwenye Ufunuo wa Yohana) wakati mto huo ukiwa umekauka(Kuna research nyingi kule you tube kuonesha kukauka kwa mto huo)
 

🀣 🀣 🀣 eti tunawaombea wanaanguka mapepo nimegundua najibishana na mgonjwa wa akili. Carry on.
 
Umepotea sana ndugu, amka muombe Mungu akupe neema ya kumjua na kumtumikia hutajuta!

Umekaririshwa na sasa unaongea usiyoyajua! Wenzio twaongea tunayoyajua, tuliyoyashuhudia!

Mara zote shetani amewafunga watu ufahamu na kuwafanya wakumbatie uchafu wakifikiri wamebeba vito vya thamani kumbe la!

Kuna wengine wamekumbatia uzinzi wakifikiri ni deal lakini la! Kuna wengine wamekamata uchawi na shetani kawaaminisha yeye ndiye Mungu na kwa kukosa maarifa kama ulivyokosa wewe wamemuamini 100%!

Unapaswa umrudie Mungu. Muombe akupe neema ya kumjua. Fanya hivyo leo akuokoe!
 
Viumbe wa ulimwengu wa rohoni ni viumbe Gani? Wanaishi wapi? Kazi Yao kubwa ni ipi? Tafadhali.
 
Na huo ndio uganga wenyewe sasa
Kabisa, Jana nilikua nachek clouds tv aubert Angel na Kapora wakihubiri leaders club, Nika fuatilia neno liko vizuri, miujiza sasa ndio ikanifungua macho jamaa kumbe nae kaja na vileso kagawa huko pembeni.. ... Badae sasa ndio Tunaona reports tu wakishuhudia miujiza mingi ila Jana aliomba masikio, test na kunusa... Nafikiri ilikua ratiba ya Mungu wake Siku ya Jana... Hawa jamaa kama huna Neno la Kristo linalotusaidia kumbambanua Roho.. Asee unapiga Mchanga kweupe.... Kumbe ushirikina tu kama mganga atoavyo hirizi...😁 😁 Wale wazee wa maji na keki mpoo.. Povu ruksa ili nione kama si ndano imekuingiaπŸ˜πŸ™πŸ™
 
Kuna member hapo juu kaelezea vizuri.. kuna nabii wa Bwana alipewa historia kamili na mmilik wa aliye juu toka anga za mbali kuhusu malaika hawa walioasi..

Search YouTube anaitwa Prophet David Richard angalia shuhuda zake..
Yule nae Nabii au ndo wale wale... 😁 😁 Maana huduma yake ni ya Malaika, kutwa akisifia Malaika.. Malaika.. Wakati Hawa ni watendakazi wa bwana kwa ajili yetu.. Hatupaswi kuwapa Utukufu zaidi ya Yesu... Ila yeye sasa.... Binafsi simu amini hata kidogo....
 
Hata mimi sijawahi muamininwala elewa shuhuda zake. Nyingi ni za kijanja janja. Pia nabii hawezi kuwa brother men namna ile. Muda wa kuchora matatoo na kuongea unalamba mdomo nabii unautoa wapi?
 
kama kuna uzi umeongelea hii, naomba unipe link. nimepata kiu ya kujifunz juu ya hili jambo.
 
Hakuna cha mlokole wala nani.

Mnayajua madhara lkn ya kufanya Tahajudi(meditation) ama mnaiga tu tamaduni za watu.

Haya mambo hayakuwai kuwepo Africa kabla ya ujio wa ukolon.

Ulokol
Mhubiri anawaita watu kama wewe wapumbavu! Ujuaji usio na maana mbele za MUNGU na kama umetumwa na kuzimu kuharibu huu uzi nenda kawape ujumbe huku walokole tumejaa. Unakataa uwepo wa MUNGU na kuanza kumuinua shetana akidhani hatutakuelewa kuwa wewe ni wakala wa kuzimu. Ushindwe kwa jina la yesu
nb. Kama unamjua sana shetani katafute wafuasi wake mtengeneze uzi wenu mburudishane huko. Huku hakukuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…