hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Umeishi miaka mingapi Duniani!?Kama angekuwa anataka kuweka namba angeweka tangu mwanzo.
Siwezi kukufanya kitu, ila YESU ANAKUPENDA SANAA.Narudia kwa msisitizo,YESU NI FARA.
Haya fanya unachotaka kufanya
Mnapenda sana kukashifu imani za watu ila nyie hata mtu akichora picha ya Muhamad, mnakuja na panga mnataka kumuua. Zanzibar, wamechoma sana makanisa. Wale jamaa waliochoma Quran, mlitamani muende na majambia mkawaue.Yesu anasamehe dhambi!?..ni Mungu!?..ndo yule Mungu aliyebinywa korodani na yakobo Hadi akambariki!?
Mnapenda sana kukashifu imani za watu ila nyie hata mtu akichora picha ya Muhamad, mnakuja na panga mnataka kumuua. Zanzibar, wamechoma sana makanisa. Wale jamaa waliochoma Quran, mlitamani muende na majambia mkawaue.Narudia kwa msisitizo,YESU NI FARA.
Haya fanya unachotaka kufanya
Kukashifu,unajua kashfa!?..kasema yesu anisamehe,nimeuliza yesu anasamehe dhambi,ndo yule Mungu aliyeshuka duniani usiku akashtukiwa na yakobo,akapigwa na yakobo Hadi ambariki ndo akamwachia!?..kashfa iko wapiMnapenda sana kukashifu imani za watu ila nyie hata mtu akichora picha ya Muhamad, mnakuja na panga mnataka kumuua. Zanzibar, wamechoma sana makanisa. Wale jamaa waliochoma Quran, mlitamani muende na majambia mkawaue.
Uslamu umeshindwa kuenea kwasababu
1. Hauheshimu uwepo wa imani zingine, yeye anajiona yeye tu ndiyo mkamilifu kuliko wengine
2. Umwagaji damu na kuwatenga watu wenye imani zingine,, uislamu unaenezwa kwa kumwaga damu na kuwatenga watu wa jamii zingine. Ukienda sehemu ambapo kuna waislamu halafu wewe ni imani nyingine watakutenga, kama ni hospital watakutenga, huduma zingine za kijamii huzipati. Watu wa nchi za kiarabu, siyo kama wanaupenda uislamu ila wanahofia kuawawa au kutengwa watakapoacha imani zao. Muislamu ndugu yake ni muislamu.
3. Uislam hauna mafundisho mazuri zaidi ya kukashifu imani za watu. Ukitaka nenda kwa shekh yoyote, mwambie mimi wa dini fulani nataka unihubirie nisilimu, ataanza kukashifu imani yako na mwisho wa siku atakuambia njoo kwenye dini ya haki. Hakuna ulichojifunza chochote
4. Waislamu wengi hawana uelewa kuhusu dini yao, wamekosa mafundisho au kujua yaliyokweli kwenye dini yao kwa sababu ya lugha. Hapo nikukupa Quran, usome utabaki kuniangalia tu.
He he heYupo deep sana huyu bro sema alitukatili sana kwenye uzi wake mmoja wa "Biblia kwa jicho lingine". Ule uzi niliupenda sana na nikauprint kabisa. Ninao kwenye PC yangu. Huyu jamaa nilihisi anaweza kuwa ni yule "Askofu Sylvester Gwamanywa" wa "WAPO FM"
Hapana mkuukama kuna uzi umeongelea hii, naomba unipe link. nimepata kiu ya kujifunz juu ya hili jambo.
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳Narudia kwa msisitizo,YESU NI FARA.
Haya fanya unachotaka kufanya
Thanks.Walokole ni watoto waaminifu wa Mungu ambao wamemchagua Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wao!
Walokole si dhehebu lililofanywa na wanadamu bali ni kanisa la Mungu. Kwa sasa limetawanyika sana kama alivyosema mleta uzi! Wapo waaminifu ndani ya Lutherani, wapo waaminifu ndani SDA, wapo waaminifu ndani ya Katoliki nk
Soma:
YOHANA 10:14-15
„Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi; kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.“
Soma pia:
YOHANA 10:16
„Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.“
Kwa sasa kuna matengano:
YOHANA 10:19-21
„Kukaingia tena matengano kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo. Wengi wao wakasema, Ana pepo huyu, tena ana wazimu; mbona mnamsikiliza? Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je, pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?“
Kuna siku mwenyewe atawakusanya walio wake toka kila Kona! Kwa sasa kawaacha wamee na magugu!
Mathayo 13:30
Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ”
NDIYO WANATUMIA BIBLIA MOJA! Haijalishi popote walipo! Katika ulimwengu wa kiroho wao ni wamoja!
Yn 17:21-23 SUV
Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
So the teachings or words of the Bible are the same so why does the Mlokole feel differently if compared to the Catholic churches and Lutherans? How does one justify the differences?Walokole waanatumia biblia moja...ila katika mapokeo yao ya neno yamewekwa ndani ya mioyo yao na wanayaishi
Labda nikupe mfano hapo kwa Lutheran...
Mimi ni mlutheran hadi kipaimara nimesoma ila sasa nimeokoka ni mlokole...ishu sio dhehebu...
Siwezi kuzungumzia suala la hao Manabii na mafuta wanayotumia maana ni wapakwa mafuta ya Bwana...
Ila ninaouwezo wa kupima Roho zao nikajua huyu ni wa Bwana na huyu sio...
Mi sikatai uwepo wa Malaika, kukataa kwangu ni vile anawaongelea Sana kuliko kufundisha neno watu wa mjue zaidi Mungu, maana Neno la Mungu ndio uthibitisho wa mpango yote mzuri Mungu aliyoweka kwa ajili yetu.. Story za kupeleka na Malaika sijui kuzimu, Mara kaenda mbinguni Kuna magari latest version nk. Yote mwongo mbinguni hajaenda kaenda Mbingu ya Shetani.. Maana neno la Mungu halisemi asemayo yeye... Mwambie adanganye vijana wenzie wasio taka kujua neno wao binafsi... Wanataka walishwe kila kitu, manabii nk. sasa ndio wanalishwa Matango pori😁😁
Usimwage Lulu kwa Nguruwe...He he he
Hapana mkuu mimi sio Gamanywa
Ni raia wa kawaida kabisa.
Ule uzi niliuacha njiani kwa sababu binafsi kabisa
Mosi ni kwa sababu niligundua haukutimiza lengo hasa nililouandika, ambalo lilikuwa kuchochea udadisi wa mambo ya kiroho, badala yake ukaleta mashindano ya kidini
Cha pili ni baada ya kugundua kwamba ninatengeneza doctrine ngumu ambayo hamtukuzi Mungu masikioni mwa wengi
Lengo hasa lilikuwa kumfunua Mungu kwa angle nyingine kabisa.
Ukiwa mwandishi mzuri lakini pia mtu wa kuomba sana , utagundua kuna nyakati ni kama unakatazwa kufanya jambo zuri kwa sababu tu halifai for public consumption.
Ngoja nikujibu.So the teachings or words of the Bible are the same so why does the Mlokole feel differently if compared to the Catholic churches and Lutherans? How does one justify the differences?
Sawa kwa kuwa huu uzi sio wetu, ukitaka anzishe uzi wetu wa kujadili neno na juu na Nabii wako basi! Ila kama unataka ushindani.. Ntakupa Taji la bure kabisa... Endelea na unacho amini kwa nabii wako... Mi si mwamini na Sita mwamini, Imani yangu ni kwa Yesu tu! 🙏🙏Haya toka umeanza kujifunza neno mbona neno haliko na wewe?? Yaan neno limekukataa. . .
Kwahiyo vitu vizuri vya shetani 🤣
..so dunia inaweza kutoa vitu bora na vizuri kuliko aliyeumba dunia?? 🤣
Spirit ya mafarisayo is real.. that's why alipokufa Lazaro walilia sanaaa..
Ila Yesu alipomfufua walitafuta kumuua tena...
Yohana 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴³ Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
⁴⁴ Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
⁴⁵ Basi wengi katika Wayahudi waliokuja kwa Mariamu, na kuyaona yale aliyoyafanya, wakamwamini.
⁴⁶ Lakini wengine wakaenda zao kwa Mafarisayo, wakawaambia aliyoyafanya Yesu.
…
⁵³ Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
,..,........................
Haya wewe unajua tueleze unachojua kuhusu neno..
Pinga Kwa hoja.. leta neno
Hata mimi simuamini yule jamaaYule nae Nabii au ndo wale wale... 😁 😁 Maana huduma yake ni ya Malaika, kutwa akisifia Malaika.. Malaika.. Wakati Hawa ni watendakazi wa bwana kwa ajili yetu.. Hatupaswi kuwapa Utukufu zaidi ya Yesu... Ila yeye sasa.... Binafsi simu amini hata kidogo....
Eleza vizuriKuna wanajimu wanajiita walokole na wachungaji ila kwenye ulimwengu wa roho ni waganga na wachawi.
Mmmh acha kukufuru ndugu, hata haumkubali usimtukane.Yesu anasamehe dhambi!?..ni Mungu!?..ndo yule Mungu aliyebinywa korodani na yakobo Hadi akambariki!?