Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Yaani , Kwa maisha ya Sasa mpaka unaogopa kumsaidia mtu unaona watu
Hao wapo kawaida hawana ulinzi wowote
Na
Tofauti ya walokole wanao omba Kwa lugha na wale wasio weza kuomba Kwa lugha ,wanaomba kiswahili ,kiroho ikoje
 
Hawakuwa binadamu halisi?
 
Usiogope kusaidia kumbuka neno UPENDO KAMA NGUZO KUU
Asante Sana,

Hivi ,l
ugha ya kiroho na
Lugha ya wanadamu,

je mlokole ni yule anae omba lugha ya kiroho,

Na je,
Yule anae omba lugha ya wanadamu sio mlokole?

Na atakosa ulinzi sababu ya kutawaliwa maisha yake na maombi ya Lugha ya kiwanadam
 
Masaki haiishi jamii ya wapuuzi, uchawi utaukuta zaidi uswahilini.

That proves my point. Uchawi wenyewe haupo bali ni story za kusadikika zinazotamalaki zaidi kwenye jamii za watu wajinga na maskini.
 
Asante Sana,

Hivi ,l
ugha ya kiroho na
Lugha ya wanadamu,

je mlokole ni yule anae omba lugha ya kiroho,

Na je,
Yule anae omba lugha ya wanadamu sio mlokole?

Na atakosa ulinzi sababu ya kutawaliwa maisha yake na maombi ya Lugha ya kiwanadam
Hapana hata ukiomba kwa lugha ya kibinadamu unapata ulinzi,,,lakini lugha ya kiroho ina nafasi yake katika maombi ya walokole...ni kama personal conservation na Mungu wao na hakuna anaejua siri inayozungumzwa katikati sababu walokole wana maadui wengi kiroho kuliko kimwili
 
That proves my point. Uchawi wenyewe haupo bali ni story za kusadikika zinazotamalaki zaidi kwenye jamii za watu wajinga na maskini.
Bufa upo mkuu???? Karibia nakuja USA kaka,,kama Mungu akijalia uzima na mipango ikikaa sawa..Nimeokoka now days,,,,nakuombea na wewe uokoke bro!!
 
Mlokole kiroho ni yupi
Katika makanisa ya walokole,

Yule, anae omba Kwa

Lugha ya kiroho
Lugha ya wanadamu,

Na mlokole anae omba Kwa lugha ya kibinadamu hawezi kuomba Kwa lugha , Huyo vipi,si mlokole ,na maombi yake je rohoni yanakuwaje yananguvu au yakoje,


Na je muitikio wa malaika Kwa hao wanaomba tu lugha za kibidamu ukoje, hawatendi kwao au ikoje?
 
Mlokole kiroho anaweza kua kanisa lolote ila ana alama saba za kiroho zinazomzunguka nazo zipo kiroho zaidi...Sio walokole wote wananena kwa lugha,,wengine bado hawana hiyo karama ya kuongea lugha za kiroho mkuu ila maombi yao yanalindwa na kusikilizwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…