Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Mkuu hii ya magari ya deraya na farasi wa moto niliwahi kuona kwenye ndoto gari la farasi wa moto likitoka mashariki angani na kuelekea magharibi nilikuwa bado mtoto wa miaka kama tisa hivi lakini mpaka leo nakumbuka
Huyo farasi alikua anaenda wapi?
 
Yaani niliona anakayiza tu angani sijui alikua anaenda wapi bali ulikuwa ni uelekeo wa magharibi
 
NILIKUWA NIMELALA SIKU MOJA NIKAOTA NIMEFUNGWA KAMBA MIKONO YANGU YOTE MIWILI

NILISEMA NAKATA KAMBA HIZI KWA JINA LA YESU MIKONO YANGU ILIACHIA NA NIKASHITUKA USINGIZINI

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Mimi nakumbuka Kuna siku nliota tulikua mateka kwenye chumba hivi Niko Mimi Na wenzangu wengine siwajui tumekaa humo Kwa ajili Ya kuuawa Yani tuliwekwa humo ili tuuliwe.... tulikua tumekaa Kwa kupangwa Kwa line...mara Yule alikua anatakiwa kutuua akafika tulaogopa sana...maandalizi Ya kuuawa yakaanza akatokea mwanamke akawa anatuchapa bakora za mgongoni akaanzia line za mbele akawachapa watu bakora Iikafika zamu yangu Ila anataka kuanzia kunichapa nikawa nalia nasema Yesu wangu nlivotaja tu hivo nikajkuta nimeshtuka usingizini nahema.....nikama vile nilikua Brought to life maana nilikua niuawe
 
Tusaidie mtumishi hivo vitu vidogo uliyosema Ni kama nini
 
Hapohapo Kuna cake za upako zinauzwa Sio bure...Kuna kukanyaga Mafuta Kuna kipindi alikua anauza udongo wa upako kijiko buku...just imagine
 
Upo sahihi, Yesu hakutuachia maji, mafuta wala vitambaa alituambia jina lake. Matumizi ya maji, mafuta na vitambaa sasa yanachukua nafasi ya Jina la Yesu. Hii ndio changamoto.
Yesu alivoondoka alituachia Amani yake pia Na msaidizi ambaye Ni roho mtakatifu
 
Kuna wakati unakuta nikiwa nasalii gafla mwili unasisimka Hasa nywele nakua Nahis kauwoga Ila Kadri navoendelea Na maombi Ile Hali inapotea kbs...au wakati mwingine unakuta usiku nakosa kabisa usingiz nakua ntagalagala tu kitandan kama nsipoamka Na kusali nikiforce kulala Hua napata mashambuliz Ya kiroho au sometimes unakuta Kuna hofu moyoni nkisema nilale nashambuliwa Ila nkisema nsilale nasalii Ile hofu huondoka Na Hua nalala Kwa amanii...hapo rohoni Ni Nini Hua kinaendelea
 
NINGEKUA NA UWEZO WA KUWAKUSANYA WALOKOLE WOTE NA KUWAWEKA SEHEMU MOJA NA NIWAAMBIE KAULI MOJA.BASI NINGEWAAMBIA HIVI""""""Haijalishi mnapitia hali gani kimwili ila kiroho nyinyi ni watawala na wamliki......kinachotakiwa kwenu ni imani tu
Tufafanunulie kiundani Zaidi kwenye hili kiongozi
 
taka aka taka taka takataka takataka
 
 

Attachments

  • Screenshot_20231009-213833_Chrome.jpg
    82.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20231009-220601_Facebook.jpg
    76.1 KB · Views: 20
  • Screenshot_20231009-213943_Chrome.jpg
    76.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20231009-213934_Chrome.jpg
    94.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20231009-213928_Chrome.jpg
    79.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20231009-213903_Chrome.jpg
    76.9 KB · Views: 19

Kilinikutaga pia Mimi nlikua namsaidia Sana Kwa Upendo Mungu alikuja kunifunilia Ni watu wa Aina Gani...ili nibidi nisitishe msaada Kwa Hao watu Ila Kwa wengine misaada kama kawaida
 
Hakuna Mungu wa walokole kuna wokuvu tu basi Mungu ni wawote na ukimwihitaji yupo
Wokovu unahubiriwa na akina nani?
Si Walokole ndo wanahubiri?
Ujue kuokoka sio tu kutubu na kumkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi, hiyo ni step ya kwanza ya Imani, step ya pili ni kumpokea Roho Mtakatifu, step ya tatu ni kuishi maisha Matakatifu Ili uendane na Roho Mtakatifu, Roho Mtakatifu atakuwa mwalimu wako mzuri sana , na ukitia bidii na nidhamu, utaenda in a high dimension, kuishi kama Mwana wa Mmiliki alivoishi hapa duniani..
 
 
Mkuu vipi kuhusu kusikiliza nyimbo za gospel kitu Gani Hua kinatokea MTU anapokua anaimba au kusikiliza wimbo wa gospel Uwe wa kuabudu au kusifu....binafsi Hua najikuta nabubujikwa sanyingine nanena Kwa lugha Yan nkiomba huku nimefungulia gospel Hua Naona maombi nakua spiritual zaid tofaut nkiomba bila kufungulia gospel
 
Nikili tu ya kuwa Huu uzi umenifanya nikue kiimani
Maana umenikumbusha mambo mengi sana sana tangu nikiwa mtoto mpaka kijana.
Kuna wakati nilipokuwa nimetekwa kupelekwa mererani kutolewa kafara,
Kuna mambo ya ajabu niliona yakishuka angani kwa macho yangu, kuna siku nikipata muda nitaweka, wakati huo nikiwa mtoto wa miaka 8.
Sio tu hili, nilipishana na makundi ya wanyama hatari kama Nyati, majoka makubwa ambayo yalikuwa yanauwezo wa kunimeza kwa dakika 0, simba, chui, lkn hawakuweza kunidhuru, nilikuwa najiona nipo kwenye kundi la watu wenye moto mkali ambao pumzi zao zinawasukuma na kuwapumbaza wale wanyama. Rohoni nilikuwa nina amani kubwa mnoo japo kuwa nipo katikati ya hatari.

Kupitia andiko hili sasa nimejua mengi
Asante mwandishi[emoji91][emoji91][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…