Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Ulishawahi kuwaona...?
Wakati nipo mdogo walikua wanakuja home anawaona dadangu akiwa anasali na watu wazima ambao walikua walokole afu ananiadithia yeye na wale walokole wanawaona afu mimi siwaoni kwa macho ya kawaida kipindi hicho nikadhani wananidanganya..Sasa toka hapo nikaanza udadisi wa kuwaona,niwajue ni akina nani na wanaishi wapi na mengine mengi juu ya jamii ya hao watu wa kuakisi mwanga ambao nyie mnawaita malaika.Nitasimulia taratibu huko mbele.Na waga nawaonea wivu sana walokole na upendeleo wao kwenye ulimwengu wa nje ya mwili.
 
Mzeebaba sijasoma yote ila uchawi au ushirikina haupo ni story za kusadikika zinazoshamiri sana kwenye jamii za watu wajinga na maskini ndo maana ni rahisi mtu wa Chitipa kuamini karogwa kuliko mtu wa Masaki achilia mbali Ulaya na bongo.
amini kwamba wewe huwezi kurogwa kama ninavyoamini mimi, lakini usiseme uchawi haupo..
 
Mbona wamejaa stress, chuki na maisha magumu?

Ulokole ni upuuzi
Hata mimi mwanzo niliona hivyo ila ukitoka nje ya mwili afu ukakaa kuwaangalia walokole,wapo tofauti...Nenda kwa mnajimu yoyote afu mwambie akufanyie zindiko au kafara ya mnyama utoke nje ya mwili afu sogelea walokole kwa mbali utaona muonekano wao.....Lakini usiwasogelee kwa manuidhi mabaya,utashindwa kuurudia mwili wako..
 
Nataka kukua hao watu huwa wanawatokea walokole Tu,

Je umeshachunguza kwenye haya makanisa yetu kama Roma na KKKT je hao watu wa kuakisi Mwanga wanatokea?

Je Kwa misikitini hawa watu wanatokea?

Na kama hawatokei Je Kwa uchunguzi wako haya madhehebu mengine wakiwa ibadani nini huwa kinatokea?

Je hawa wapani wasioamini kitu chochote Je hawana ulinzi wowote ule katika ulimwengu wa nje ya mwili?

Nijibu Kwanza haya nikitulia bado nina maswali mengi,

Na ninaomba uendele kuna mengi ya kujifunza
 
Mkuu una maswali mengi ila nitakujibu tararibu kutokana na uzoefu na utafiti wangu ucjali
 
hahah [emoji1666]
 
Hata wewe ukitaka unaweza kuwaona...

Muamini YESU kwa Imani, omba Toba ya kweli, omba YESU akujaze nguvu za Rohoni hapa Sasa ndio utaanza kuona
 

Huyo mungu wa walokole hayupo, asingekubali watu wake wauliwe 31 kule kusini mwa nigeria tena kanisani, halafu mungu huyo huyo katulia na tukio lingine la mauaji zaidi ya watu 50 na BADO kaendelea kutulia

Mungu mwenye nguvu zote alishindwa vipi kuzuia mauaji yale ya kikatili na watoto wasio na hatua?
Utajua ni stori tu
 
hata Mungu mwenyewe anaweza kuwaua!
 
mkuu nelson jacob ,je kuna Mungu mwingine mwenye nguvu zaidi ya huyo wa walokole??
Katika ulimwengu wa roho wanasema hakuna.Sababu huyo mungu wa walokole anamiliki ulimwengu wa nje ya mzio wa kawaida wa sayari na minyongeo yake.Na hizo jamii nyingine za ulimwengu wa nje hazipendi kumzungumzia zinamwita mmiliki wa jua nyota na mwezi.
 
hakuna Mungu mkuu zaidi ya huyo.

Cc. boss la DPW
 
Ndahani unawazungumzia malaika wa Bwana.
Sijajua ila nazungumziwa watu warefu wa jamii ya kuakisi mwanga wa jua na wana mahusiano ya moja kwa moja na walokole.Ukitaka kugombana nao nje ya mwili wako wa kibinadamu basi uwaguse walokole wao hasa wakiwa wanalialia,nyie binadamu mnaita kunena kwa lugha.Hawana mzaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…