Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Ameeeen!Siyo wote! Ukiwa na Yesu na umejaa Roho Mtakatifu ni amani tele hata katikati ya misukosuko ya maisha na dhiki zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameeeen!Siyo wote! Ukiwa na Yesu na umejaa Roho Mtakatifu ni amani tele hata katikati ya misukosuko ya maisha na dhiki zake.
huenda majibu yatapatkana huko mbele wewe shusha vitu na uhakikishe unatutag wote tuliouliza maswaliNitaandika ila najibu baadhi ya maswali ya watu..Si unajua busara ni kujibu unachouulizwa na wadau
Umeona eeeh....! Anamuelezea Mungu toka kona ile ya upande wa pili! Tuliowahi kusoma Biblia tunamuelewa!Zaburi 34:7 Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazungukia wote wamchao na kuwaokoa.
Afu ukisema vita ujue sio hivi vita vya mabomu...Wale kule hawapatani kabisa hasa jamii za wanaotokea angani na wale wanaotokea baharini.Na wafuasi wao wa kibinadamu hawapatani kabisa.Lakini yule mungu wa walokole ni kama duara za moto zinawazunguka walokole na pia wale watu warefu wanalinda watoto wadogo wa miaka mpaka 16.Na wana uwezo wa kuzungumza na kuvichekesha vitoto vichanga.Hujawahi kuona watoto wadogo wanacheka peke yao au wanatazama sana upande mmoja??????Bas wanakua wamewaona hao watu warefu.Ulimwengu wa Roho kule kuna vita na majeshi ya Ulinzi na majeshi mabaya...
Ukiwa na YESU unaimani na nguvu za Rohoni basi unashinda hayo majeshi...
Ila kwa wale wasio na YESU na Imani wanashindwa...
Okhuenda majibu yatapatkana huko mbele wewe shusha vitu na uhakikishe unatutag wote tuliouliza maswali
Hapa maswali hayawezi kuisha mkuu
Mungu ndio mwenye milki yote, ndio huo moto unaosemaH
Hivi yule ni mkuu wa walokole au????? Anaitwa mwana wa mmiliki na mmiliki mwenyewe ndio mungu wa walokole.Ambae haonekani ila moto tu unaoweza kuunguza sayari zote akiamua.
Rudi kua mlokole mkuu sababu hata ukifa wale watu warefu wanakuchukua,hawaachagi watu wao popote na watoto pia wakifa tu wanawachukua kwa haraka""Kama kufumba na kufumbua"""wanawapeleka nje ya pluto na mnyongeo wa sayari za ulimwengu wa jua.Mkuu wa walokole ni kama moto wa viduara duara amemzunguka kila mlokole duniani.Hebu endelea mkuu!!
Nilikua mlokolet mzuri sana!nikaacha baadae!!
Wale watu warefu wenyewe pia ngozi zao ni za moto mweupe na wa blue hivi.Wapole ila wakorofi ukiwagusa walokole wao unaweza kufa papo papo wakiamua kukumaliza.Mungu ndio mwenye milki yote, ndio huo moto unaosema
ukisoma Waebrania 12:29 inasema kuwa kwamba Mungu wetu ni moto ulao
Isaya 43:25-26Kwa nje ni kama wanaropoka ila kwa ndani,ni kama wanazungumza na kujibizana kwa hoja na wale watu warefu..Mlokole anatoa hoja na yule mtu mrefu anajibu kwa hoja pia,ila katika hali ya urafiki na inavutia kuwatazama
Nguvu za Rohoni sio kuwa kanisani peke yake, yaani unatakiwa uwe na juhudi za kutaka kumtafuta MUNGU kwa bidii...Nataka kukua hao watu huwa wanawatokea walokole Tu,
Je umeshachunguza kwenye haya makanisa yetu kama Roma na KKKT je hao watu wa kuakisi Mwanga wanatokea?
Je Kwa misikitini hawa watu wanatokea?
Na kama hawatokei Je Kwa uchunguzi wako haya madhehebu mengine wakiwa ibadani nini huwa kinatokea?
Je hawa wapani wasioamini kitu chochote Je hawana ulinzi wowote ule katika ulimwengu wa nje ya mwili?
Nijibu Kwanza haya nikitulia bado nina maswali mengi,
Na ninaomba uendele kuna mengi ya kujifunza
Kusema kweli kwa utafiti wangu nje ya mwili kuhusu hawa watu warefu nilikua nawaona wanaenda sana kwa hawa walokole wanaosalia majumbani vikundi vikundi na wengine wanakwenda kwa walokole wanaotembea barabarani,wanauza dukani,waliopo ofisini,mashambani.Walokole wana alama miilini mwao wenyewe wanaita matunda ya roho.Kuhusu makanisa wale watu warefu hawabagui popote alipo mlokole akiwaita kwa kulia wanaenda kumzunguka.Nataka kukua hao watu huwa wanawatokea walokole Tu,
Je umeshachunguza kwenye haya makanisa yetu kama Roma na KKKT je hao watu wa kuakisi Mwanga wanatokea?
Je Kwa misikitini hawa watu wanatokea?
Na kama hawatokei Je Kwa uchunguzi wako haya madhehebu mengine wakiwa ibadani nini huwa kinatokea?
Je hawa wapani wasioamini kitu chochote Je hawana ulinzi wowote ule katika ulimwengu wa nje ya mwili?
Nijibu Kwanza haya nikitulia bado nina maswali mengi,
Na ninaomba uendele kuna mengi ya kujifunza
Mkuu wale watu warefu wanasikiliza hoja na wanajibu kwa hoja ila kiurafiki..Wao ni warefu basi wanachuchumaa kumsikiliza mlokole anaelia na wanamshika begani ila hawamzuii kusali kwa kulia mpaka amalize yeye.Hata wakiwa mia wote wanamzunguka yule mlokole kwa upendo...HawaondokiIsaya 43:25-26
“Mimi, naam, mimi ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe; wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe; na TUHOJIANE; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.”
Kuna jamaa aliwahi kutoa Hilo daiHuyo mungu wa walokole hayupo, asingekubali watu wake wauliwe 31 kule kusini mwa nigeria tena kanisani, halafu mungu huyo huyo katulia na tukio lingine la mauaji zaidi ya watu 50 na BADO kaendelea kutulia
Mungu mwenye nguvu zote alishindwa vipi kuzuia mauaji yale ya kikatili na watoto wasio na hatua?
Utajua ni stori tu
So it was a 'fairy tale' and you believed it?Wakati nipo mdogo walikua wanakuja home anawaona dadangu akiwa anasali na watu wazima ambao walikua walokole afu ananiadithia yeye na wale walokole wanawaona afu mimi siwaoni kwa macho ya kawaida kipindi hicho nikadhani wananidanganya..Sasa toka hapo nikaanza udadisi wa kuwaona,niwajue ni akina nani na wanaishi wapi na mengine mengi juu ya jamii ya hao watu wa kuakisi mwanga ambao nyie mnawaita malaika.Nitasimulia taratibu huko mbele.Na waga nawaonea wivu sana walokole na upendeleo wao kwenye ulimwengu wa nje ya mwili.
Bufa unataka nikuunganishe na mtu aje chumbani kwako usiku saa sita kamili umuulize maswali kuhusu uchawi??? Lakini kuna masharti na viapo utavifanya.Yeye atatokea afrika ya kati ila hapo america itamchukua nusu dakika.Sema sasa ukíshakula viapo utaacha kutuadithia ndio tatizo la haya mambo.
Mungu wa walokole ana nguvu Ila ana matatizo ya kusikia,waumini wake mpaka wapige mayowe ndiyo asikieNdio mkuu huu utafiti nimeuanza nikiwa kijana barobaro now nimezeeeka 🤣🤣
amini kwamba wewe huwezi kurogwa kama ninavyoamini mimi, lakini usiseme uchawi haupo..
Acha ujuaji basi we dogo!Haupo ni story za kusadikika tu kama zilivyo story za nguva, aliens nk.