Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #121
Eeeeh wakili wa shetani umekuja na huku,,,,karibuAcha ujinga, umeishakua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh wakili wa shetani umekuja na huku,,,,karibuAcha ujinga, umeishakua
Na Yesu alikuwa akimtegemea nani wakati yupo Duniani?Mlokole ni mtu aliyempokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake ..
Anaishi kwa kumtegemea YESU kwa Kila afanyalo...
Ulokole ni ufuasi wa dini ya mkuu wa walokole aliye katika mfumo wa moto ndani ya roho ya moto,mbali kabisa na dunia ya wanadamu bali ana mahusiano ya moja kwa moja na wafuasi wake mnaowaita walokole..Ambae ni mkuu wa nguvu za kani ya mfumo wa ulimwengu na pia ni mkuu wa mfumo wa kani za ulimwengu nje ya mfumo wa jua.Anaongoza wale watu warefu wenye kuakisi mwanga wa jua na ambao wana mahusiano pia ya moja kwa moja na walokole wa duniani.Ok au ulokole ni nini?
ukifanya wewe inatosha mkuuYani umeacha kufanya research ya vifo vya watoto kutokana na malaria unachunguza mazingaombwe wabongo miyeyusho sana akili zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni huyo ni hatari kuliko hatari ilivyo kwa wanaotaka kuingilia himaya yake.Umemtaja Yesu ila kule kwenye ulimwengu wa roho anaitwa ""Mwana wa mmiliki"""ana uhusiano wa moja kwa moja na wale watu wa kuakisi mwanga na walokole wanamuita Mungu.....
Kule kwenye ulimwengu wa unajimu jina "Yesu"alitajwi kwa sababu kwenye hesabu zao linatoa moto bali wanatumia jina la kiarabu "Issa""au la kiyahudi ""Emanuhel""au""Mvumilivu ""Mwana wa mmliki""au yule mtu mpole wa mashariki,inavyoonyesha jina la yesu asili yake sio kwenye lugha za kibinadamu.Kwenye ulimwengu wa unajimu inaonyesha mungu wa walokole yupo ndani ya huyo Yesu na huyo Yesu yupo ndani ya Mungu wa walokole..Huyo yesu alipokua duniani ndio wanajimu wa kiajemi waakaanza kufuatilia nyota yake maana akiishi kama binadamu wa kawaida ila nyota yake ilikua inakua hadi kufikia leo hii ndio nyota inayoangaza kuliko nyota zoote nje na ndani ya ulimwengu usionekana.Kabla ya hapo hawakumjua.Lakini ukitaka kujua kuhusu huyo Yesu wa walokole waulize wanajimu wa elimu ya nyota na anga.Na Yesu alikuwa akimtegemea nani wakati yupo Duniani?
Ungetafsiri kiswahili ingependeza sana mkuu..Kama ni huyo ni hatari kuliko hatari ilivyo kwa wanaotaka kuingilia himaya yake.
Viumbe vyote katika uumbaji vinamwogopa sii kwa ubaya bali mamkaka iliyo kuu na takatifu.
Tofauti na mwanga wa bluu ulioutaja unaoakisiwa na jeshi lake takatifu yeye mwenyewe rangi ya nuru yake ni manjano chanikiwiti(kuharabu au zumaradi)
Ufunuo wa Yohana 4:2-3
[2]Na mara nalikuwa katika Roho; na tazama, kiti cha enzi kimewekwa mbinguni na mmoja ameketi juu ya kile kiti;
And immediately I was in the spirit: and, behold, a throne was set in heaven, and one sat on the throne.
[3]na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.
And he that sat was to look upon like a jasper and a sardine stone: and there was a rainbow round about the throne, in sight like unto an emerald.
Sikupoteza mda bali nilipomjua na kuona nguvu zake akaniambia tunaweza kua marafiki nikiwa kama wale walokole ninaowaona na ana makazi nje ya huu ulimwengu ninaweza kwenda huko na yeye.Ila akasema anapenda watu wanaomtafuta na kumdadisi kupitia utaratibu wake wa kiimani sababu yeye ni roho inayotoa pumzi za uhai,walokole wanaita uzima.usipoteze muda, ukitaka kujua Mungu wa walokole, kawaulize wachawi. wanatujua vizuri sana na nyumba zetu huwa wanaruka hawakanyagi ng'oo. hii ni kwasababu Mungu wetu tunamwabudu katika Roho na kweli, na anakaa mioyoni mwetu, hakati kanisani au kwenye masanamu au eneo fulani kwenye nchi fulani tu.
Yesu alimtegemea Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.Na Yesu alikuwa akimtegemea nani wakati yupo Duniani?
Kuna jamaa aliwahi kutoa Hilo dai
Ayubu 1: 9-11
Shetani akamjibu Bwana, “Je, Ayubu anamcha Mungu bure?
Je, wewe hukumjengea boma pande zote yeye na wa nyumbani mwake pamoja na kila kitu alicho nacho? Kazi za mikono yake umezibariki na hivyo makundi yake ya kondoo na mbuzi pamoja na ya wanyama yameenea katika nchi nzima.
Lakini nyoosha mkono wako na kupiga kila kitu alicho nacho, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”
Ayubu 2: 4
Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake.
1 John 5:19 NIV
We know that we are children of God, and that the whole world is under the control of the evil one.
Yakobo 1:13 BHN
Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
2 Petro 3:9 BHN
Bwana hakawii kutimiza yale aliyoahidi kama watu wengine wanavyofikiri kuwa atakawia. Yeye ana saburi kwa ajili yenu, maana hapendi hata mmoja wenu apotee, bali huwavuta wote wapate kutubu.
Yoshua 24:15 BHN
Kama hamtaki kumtumikia Mwenyezi-Mungu, basi chagueni leo hii ni nani mtakayemtumikia:..........Lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia Mwenyezi-Mungu.”
UnadataHata mimi mwanzo niliona hivyo ila ukitoka nje ya mwili afu ukakaa kuwaangalia walokole,wapo tofauti...Nenda kwa mnajimu yoyote afu mwambie akufanyie zindiko au kafara ya mnyama utoke nje ya mwili afu sogelea walokole kwa mbali utaona muonekano wao.....Lakini usiwasogelee kwa manuidhi mabaya,utashindwa kuurudia mwili wako..
Akaacha watu wauawe na Kibwetere Uganda, kama haitoshi akaacha wauawe kule ShakaholaHuyo mungu wa walokole hayupo, asingekubali watu wake wauliwe 31 kule kusini mwa nigeria tena kanisani, halafu mungu huyo huyo katulia na tukio lingine la mauaji zaidi ya watu 50 na BADO kaendelea kutulia
Mungu mwenye nguvu zote alishindwa vipi kuzuia mauaji yale ya kikatili na watoto wasio na hatua?
Utajua ni stori tu
15 Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?Wewe ni mlokole dada? Unajua hapo una watu warefu wenye kuakisi mwanga na miale yao ya blue kama radi wamekuzunguka? Ukicheka wanacheka na ukilia wanalia na ukiwaamrisha wanatenda vile vile unavyosema..Ila walokole hamjui kua mkuu wenu(Mungu wenu)ana nguvu kiroho kuliko jamii yoyote ile ya ulimwengu wa kiroho na washirika wake ni hao watu warefu weupe wengine wana mabawa na wengine hawana ila wanakuja duniani kujishugulisha na walokole tu,huko mbele nitaadithia kwanini.
suala la kufa sio hoja, kufa ni lazima, ulizaliwa na utakufa muda na siku isiyojulikanaAkaacha watu wauawe na Kibwetere Uganda, kama haitoshi akaacha wauawe kule Shakahola
Ee MUNGU BABA msamehe huyo mtu fahamu zake hazifahamu kweli yako, apate kujua kweli yako ili siku moja akushuhudie. AmenMuone huyo mungu anadai kwamba yeye anajua yote, okay at the same time anampa mtu majaribu wakati akijua matokeo yake nini point wakati unafahamu matokeo??? Mungu huyo utaona ni wa kutungwa unaumba watu na ukijua kabisa mtu huyu lazima aishie motoni KWA madai ya mungu wenu, kwahiyo anaumba watu kuwapeleka motoni
Mungu huyo huyo kipindi anamuumba malaika akaja kubadilika kuwa shetani alitambua hilo na mungu huyo huyo anadai anajua yote ana uwezo wote
Hakuna mungu hizo ni ngano kama za kina odin aliyeumba ulimwengu KWA Ginnungagap yaani nafasi tupu
Kutoka katika Ginnungagap, joto la Muspellheim eneo lenye moto na baridi ya Niflheim eneo lenye baridi.vilitokea na kukutana. Kutokana na mkutano huo, Buri, mtu wa kwanza akazaliwa
Kuna stori za KUWEPO KWA mungu sababu dhana ya uwepo wake inaji contradict yenyewe
Ee MUNGU BABA msamehe huyo mtu fahamu zake hazifahamu kweli yako, apate kujua kweli yako ili siku moja akushuhudie. Amen
Sasa kama Yesu alimtegemea huyo Mungu, kwa nini na nyie mnamtegemea mtu au Mtume aliyemtegeme Mungu?Yesu alimtegemea Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo amempa mamlaka Yesu Mbinguni na duniani.Sasa kama Yesu alimtegemea huyo Mungu, kwa nini na nyie mnamtegemea mtu au Mtume aliyemtegeme Mungu?
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo yupo na amempa mwanadamu Dunia kama makao yake.Huyo mungu baba hayupo angekuwepo asingekubali wachungaji wake kama paul dyal, hayes, raymond k chang,daniel paul harris,alfonza mcclendon, wakikutwa na makosa ya child molestation wakifanya vitendo vichafu ambavyo hata mwehu awezi kufanya
Wakinyanyasa watoto zaidi ya miaka miwili tena wakike na wakiume huyo mungu ayupo
Mungu mwenye kujua yote anakujaribu ILI iwe nini?
Stori za vijiweni