Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Hii habar ipo kwenye kitabu kinachoitwa ENOCH ama Enoki kwa kidwahili! Nilivyosoma sura za mwanzoni zimeelezea kwa undani jinsi walivyowataman binadamu na kuwashawishi kulala nao na kuzaa nao watoto, na hasira ya Mungu ikawaka juu yao na kuangamiza kabisa kizazi chao chote, nitanakili SURA YA 13 ya kitabu cha ENOCH
Sura 13

  1. Henoki akaondoka, akamwambia Azazieli, Hakuna amani kwako, hukumu kubwa imekuwa alitamka dhidi yako. Yeye atakufunga;
  2. Hautawahi kuwa na ufumbuzi wowote, wala huruma, wala maombezi, kwa sababu ya unyanyasaji uliofundisha.
  3. Na kwa sababu uliwafundisha watu kumkasirikia Mungu, kutenda dhambi na kuwatia nguvu kama hiyo.
  4. Nami nikamwendea, nikasema habari hiyo kwa wenzake wote wa uhalifu wake;
  5. Nao wakaogopa, wakamatwa na tetemeko la kutisha;
  6. Nao waliniomba niwaandike kwa ajili ya msamaha wa wao makosa; waliniomba nikitume kwenye kiti cha enzi cha Mungu wa mbinguni, kwa maana hawakutetemeka kumtaja, au hata kuangalia juu mbinguni, kwa sababu ya uhalifu mkubwa ambao walikuwa nao wamejaribiwa.
  7. Kwa hiyo niliandika maombi ya unyenyekevu juu yao, ili kuwafanya wapate kupumzika na huruma kwa kila kitu walichofanya.
  8. Kisha nikawaacha, na kuendelea na njia yangu, wakati wa kusoma ombi lao, kuelekea maji ya Danendan, ambayo ni magharibi ya Armon, na nikalala.

Hizo habar ni za kwel ndugu yangu! Amini mtaokolewa, utafiti wa huyu jamaa hauna chai kabisa, naamin ni Mungu anaongoza haya tujifunze.

Baada ya kupata kitabu cha Enoch sijaruhusiwa kukigawa kwa kila mwanadamu bila kuongozwa na Roho ya Mungu, hivyo sitakigawa popote samahanini sana🙏🏽
 
Nilisoma hicho cha Enoch kitabu kupitia masonic theory na ninawashauli msikisome kupitia masonic theory au masonic Bible sababu kuna madhara makubwa ya kiroho na kimwili
 
Je, ubatizo upi ni WA kweli,

Ubatizo WA maji kidogo au ubatizo WA maji mengi wenye kuuzamisha mwili wote???

Na ,
Je ubatizo upi kati ya ubatizo WA Baharini au ubatizo WA mtoni ni sahihi,

Maana ufunuo yule mwanamke alizungukwa na bahari Yaani bahari Roho za watu wake yule mwanamke muovu,

Je, sisi hivi Leo ni luksa kuzamishwa Baharini kiubatizi WA maji,

Na Kuna watu hukupotezea ubatizo WA maji ,husema ubatizo WA moto tu,ubatizo ni mmoja tu ule WA moto,

Wakati yesu alisema ubatizo ni wa maji na moto,
 
Nilisoma hicho cha Enoch kitabu kupitia masonic theory na ninawashauli msikisome kupitia masonic theory au masonic Bible sababu kuna madhara makubwa ya kiroho na kimwili
Yes kwanza hakiruhusiw kumilikiwa na watu wengi dunian hata upatikanaji wake ni wavificho sana, na siruhusu kukutoa kwa watu wote wabaya na kama humjui Mungu sikupi hata uniuwe
 
Aisee.
 
Yes kwanza hakiruhusiw kumilikiwa na watu wengi dunian hata upatikanaji wake ni wavificho sana, na siruhusu kukutoa kwa watu wote wabaya na kama humjui Mungu sikupi hata uniuwe
Masonic wanavyo na walipewa na FALLIN ANGELS na nakala zake zipo nyingi tu forgotten books archives.!!!Unaweza kupakua vitabu vinavyoitwa FALLEN ANGELS & ENOCH.
Lakini viepuke vile vitabu vyenye michoro ya fallen angels sababu ni hatari sana kiroho
 
Asante sana hiki cha ENOCH kinanitosha kiiman kwa sasa kwa sababu sina nguvu za kukinzana nazo maana nipo kwenye utafit wa kujua mema na mabaya, na ninaomba Mungu aniongoze niyajue, kuna kipindi nilichanganyikiwa sana nikawa naenda msikitini kuswal nikimtafuta Mungu kimya kimya aiseee wale watu wanaishi dunia yao pia, wananidu na kuamin vya kwao nilikuwa naona tofaut sana, ukidadis vitu bila roho wa Mungu unapotea mazima
 
Yes kwanza hakiruhusiw kumilikiwa na watu wengi dunian hata upatikanaji wake ni wavificho sana, na siruhusu kukutoa kwa watu wote wabaya na kama humjui Mungu sikupi hata uniuwe
Mbona umekitukuza ,Sana hicho kitabu Agano la kale Cha Enoch

Umekitukuza Sana,

Punguza kumtukuza andiko,

Mungu HASEMI na Watu wake Kwa Andiko,anasema NAO Kwa Neno lake,

.
 
UBATIZO SAHII NI ULE WA ROHO WA MUNGU AFU KIMWILI NI ULE WA MAJI MENGI UNAZAMISHWA KAMA MAELEKEZO YA WALOKOLE YALIVYO WAZI KIROHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…