Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #1,101
Yeah imani ndio kila kituLile jibu ndio lime nijia,
Uliposema kuwa ,Unapokea Kwa Imani ,
Maanake kimwili ni sawa na kusema unapokea Kwa kutenda Kwa matendo. Kinaumbika jambo Ilo Katika mwili Kwa matendo ya kile ulichokiamini rohoni,
Kama ni kuja na Teknolojia kubwa mpya ,
Career:Technology Developer,
Technology Researcher & Developer,
Hizo ni baadhi ya fani za kazi ambazo ziko duniani, unaonyesha moyo Kwa kujiusisha na hivyo vitu Kwa Ile Imani rohoni ,basi kwakuwa unajishugurisha nayo mwilini ,basi utagundua kitu kipya ,
Na anaishi ndani yetuNa ni roho wa Mungu
Wajenzi huru ni washirikina usiwasikilize na kuhusu asili ya wabantu watu weusi ni kutokana na vizazi vya Wahabeshi wa Yemeni ya kale na Ethiopia ya kale wakati huo hakukuepo na Sahara desert!!Hivi ,wajenzi huru Rohoni- ni Maskini ?,??
Hivi Wana Nini wanachojivunia kama Siri Yao hao,
Kutwa kumtaja ujenzi wa solomoni,Kuna Nini hao wanajivunia kama Siri Yao ??
Hivi watu weusi duniani walitokea wapi na waliotokana na Nini,
Je mtu wa kwanza yaani Adam ni mweupe au mweusi
Na sisi tunaishi ndani yakeNa anaishi ndani yetu
Kiroho kila taifa lilipangwa na kuhusu mipaka sina jibu sahii sababu iliwekwa kimwili na wakoloni.Hivi kinabii kiroho,
Mlima mkubwa Kuwa tz, na
Maziwa makuu matatu ya tz kiroho, kuwepo tz inatowa ujumbe Gani Kwa WA tz
Mkuu tell us more about "ufalme wa Mungu"...katika kitabu cha mathayo kinasema Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake.........pia wameandika ufalme wako uje kwenye Ile sala ya Baba yetu uliye mbinguni....pia wameandika waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mbinguni ni wao......nashauku ya kujua zaidi ufalme wa Mungu ukoje ukojeYeah imani ndio kila kitu
Sisi hapo ni Miungu,Na sisi tunaishi ndani yake
Ufalme wa MUNGU uko wa aina mbili;Mkuu tell us more about "ufalme wa Mungu"...katika kitabu cha mathayo kinasema Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake.........pia wameandika ufalme wako uje kwenye Ile sala ya Baba yetu uliye mbinguni....pia wameandika waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mbinguni ni wao......nashauku ya kujua zaidi ufalme wa Mungu ukoje ukoje
Hii ni karamu ya wendawazimu. Chizi mmoja kaijtungia story ya kipuuzi kulingana na anachoamini yeye, kisha anataka machizi wenzake waamini!
sina elimu inayonfanya njue kua sahara disert haikuepo hapo awali...Wajenzi huru ni washirikina usiwasikilize na kuhusu asili ya wabantu watu weusi ni kutokana na vizazi vya Wahabeshi wa Yemeni ya kale na Ethiopia ya kale wakati huo hakukuepo na Sahara desert!!
UbarikiwePia,
Ufalme wa Mbinguni , wa rohoni ,uje
Ana maana,
Ufalme wa mbinguni wa rohoni,ni Imani , itakuja Katika ufalme wa mwilini duniani kuwa matendo Kwa walio na Imani,
Ufalme wa mbinguni= Imani
Ufalme wa mwilini=matendo
Sasa, wa mbinguni uje duniani ,ni sawa na kusema Imani ije mwilini kuwa matendo
Yaani , matendo yote ya kule mbinguni yaje duniani,kuwa matendo, na kiunganishi Cha ya Rohoni kuja Mwilini ni Roho mtakatifu,
Yesu= Aliyachukua yote ya Mwilini kuyapeleka rohoni , yaani , Ufalme huu wa Dunia kauwamishia Rohoni , hio ndio kazi yake,
Roho mtakatifu = kazi yake kuutoa ule ufalme wa rohoni kuja mwilini, Huyo Roho mtakatifu Alisha Uleta ufalme huo wa Rohoni Kuja mwilini,maana maombi Yale yalikuwa kabla ya tukio ,Ila Sasa hayana haja kumuita ashuke maana Yuko teari kashuka Kila mahali ,
Hicho ndicho kilichofanyika,
Ndio maana shetani Hana pakushika,
Na HIO NDIO SABABU YA WALOKOLE KUWA WAKUU WAFALME NA WATAWALA DUNIANI ILIYO GEUKA MAMLAKA YA KIMBINGU ,NA MBINGU ILIYOGEUKA KUWA MAMLAKA YA KIDUNIA ,
ROHO MTAKATIFU ALIMTWAA YESU WA ROHONI NA KUMLETA MWILINI,
NA NDIO HUYO ANAYE TWAA MATENDO YOTE YA ROHONI NA KUYALETA MWILINI NDANI YA MTU,
Ufalme wa Mungu duniani ni kuyafanya mapenzi yake ambayo alituwekea toka anaweka misingi ya ulimwengu. Uumbaji wa kwanza tuliumbwa kwenye roho na tukaishi huko kwa muda aujuao Mungu. Baadae akafinyanga udongo akatuumba ila akamuumba Adam kwanza na kumpa maagizo ya kufuata.Mkuu tell us more about "ufalme wa Mungu"...katika kitabu cha mathayo kinasema Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake.........pia wameandika ufalme wako uje kwenye Ile sala ya Baba yetu uliye mbinguni....pia wameandika waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mbinguni ni wao......nashauku ya kujua zaidi ufalme wa Mungu ukoje ukoje
Nini kilitokea kwa uzao wa kijakazi wake??Ufalme wa Mungu duniani ni kuyafanya mapenzi yake ambayo alituwekea toka anaweka misingi ya ulimwengu. Uumbaji wa kwanza tuliumbwa kwenye roho na tukaishi huko kwa muda aujuao Mungu. Baadae akafinyanga udongo akatuumba ila akamuumba Adam kwanza na kumpa maagizo ya kufuata.
Adam akaishi mwenyewe na miti na wanyama bustanini mpaka akawa mpweke. Hapo akalazwa akaletewa msaidizi ambae japo rohoni waliumbwa siku moja lakini kinwili hawakuimbwa siku moja. Ina maana maagizo ya usile mti huu yeye hakupewa. Akaasi kwa kumsikiliza mwanamke hivyo akaondolewa bustanini na ufamle wa Mungu duniani ukakoma. Ili kuurudisha duniani tena Mungu akakusudia kumsaidia bin Adam ila mpaka akubali mwenyewe kwa kuuomba huo msaada. Akaongea na Abram, Abram akaacha yote ikiwapo kuabudu miungu ya baba zake akajiungamanisha na Mungu mgeni asiyemjua lakini aliyeumba Mbingu na Nchi. Mungu akafunga nae agano ili afanye sawasawa na mapenzi yake bila kuulizwa na shetani. Maana kila kinachofanyika duniani lazima mwanadamu aridhie. Mungu haingilii asipoitwa. Kwenye lile agano akamuahufi Abram na kumbadili jina kuwa Abrahamu kwamba atakua baba wa Mataifa mengi. Na uzao wake utamtumikia Mungu wa kweli na haki. Shetani tena akaingia kwa mwanamke na kumwambia Abraham wewe ni mzee na mimi ni mzee tutakufa bila mtoto, zaa na kijakazi tupate mrithi huyu wa hili agano. Baada ya kijakazi kupata mimba, sara akamchukia, akamfukuza kwa kuwa alikua na kiburi. Mungu akamtokea kijakazi akamuamuru arudi ila awe mpole kwa bibi yake. Alirudi na akazaa mtoto mwanamume ila Bwana akasema na Abraham hapana, nilikuahidi uzao kutoka kwa Sara na sio Hajiri. Akasisitiza agano langu nitalifanya kuwa amini kwa Sara atakachokuzalia na sio Hajiri. Kwa mtiririko huo Mungu akapata nafasi duniani mpaka akamleta Yesu mwanae pekee. Huyu alizaliwa na mwanamke ili aje kutimiza ahadi ambayo Bwana aliitoa bustanini, “ uzao wa huyu mwanamke utakuponda kichwa”. Yesu ndo aliuleta ule ufame duniani. Alipoangikwa msalabani aliinuliwa juu ya nchi na kuunganisha mbingu na dunia kuwa kitu kimoja. Sasa ufame haujakaribia tena, upo duniani tayari. Umefunuliwa katika roho lakini siku ya unyakuo utafunuliwa kwa wote kuuona. Hii ndiyo masna ya ufalme wako uje.
Kwa watoto wadogo maana yake matendo yetu lazima yafanane na watoto wadogo, wana upendo halisi, wanaomba misamaha, hawana kinyongo. Lazima tufanane nao ndo tumuone Mungu. Yeye ni upendo, hana chuki ndani yake. Ana upendo tu!
Alibarikiwa kuwa na maseyidi kumi na mawili. Ndio baba wa makabila ya kiarabu. Pia alifanywa kuwa taifa kuu. Lakini baraka ya agano ilobebwa kwenye tumbo la Sara na sio Hajiri.Nini kilitokea kwa uzao wa kijakazi wake??