Pia,
Ufalme wa Mbinguni , wa rohoni ,uje
Ana maana,
Ufalme wa mbinguni wa rohoni,ni Imani , itakuja Katika ufalme wa mwilini duniani kuwa matendo Kwa walio na Imani,
Ufalme wa mbinguni= Imani
Ufalme wa mwilini=matendo
Sasa, wa mbinguni uje duniani ,ni sawa na kusema Imani ije mwilini kuwa matendo
Yaani , matendo yote ya kule mbinguni yaje duniani,kuwa matendo, na kiunganishi Cha ya Rohoni kuja Mwilini ni Roho mtakatifu,
Yesu= Aliyachukua yote ya Mwilini kuyapeleka rohoni , yaani , Ufalme huu wa Dunia kauwamishia Rohoni , hio ndio kazi yake,
Roho mtakatifu = kazi yake kuutoa ule ufalme wa rohoni kuja mwilini, Huyo Roho mtakatifu Alisha Uleta ufalme huo wa Rohoni Kuja mwilini,maana maombi Yale yalikuwa kabla ya tukio ,Ila Sasa hayana haja kumuita ashuke maana Yuko teari kashuka Kila mahali ,
Hicho ndicho kilichofanyika,
Ndio maana shetani Hana pakushika,
Na HIO NDIO SABABU YA WALOKOLE KUWA WAKUU WAFALME NA WATAWALA DUNIANI ILIYO GEUKA MAMLAKA YA KIMBINGU ,NA MBINGU ILIYOGEUKA KUWA MAMLAKA YA KIDUNIA ,
ROHO MTAKATIFU ALIMTWAA YESU WA ROHONI NA KUMLETA MWILINI,
NA NDIO HUYO ANAYE TWAA MATENDO YOTE YA ROHONI NA KUYALETA MWILINI NDANI YA MTU,