Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

Lile jibu ndio lime nijia,

Uliposema kuwa ,Unapokea Kwa Imani ,

Maanake kimwili ni sawa na kusema unapokea Kwa kutenda Kwa matendo. Kinaumbika jambo Ilo Katika mwili Kwa matendo ya kile ulichokiamini rohoni,

Kama ni kuja na Teknolojia kubwa mpya ,

Career:Technology Developer,
Technology Researcher & Developer,

Hizo ni baadhi ya fani za kazi ambazo ziko duniani, unaonyesha moyo Kwa kujiusisha na hivyo vitu Kwa Ile Imani rohoni ,basi kwakuwa unajishugurisha nayo mwilini ,basi utagundua kitu kipya ,
Yeah imani ndio kila kitu
 
Hivi ,wajenzi huru Rohoni- ni Maskini ?,??
Hivi Wana Nini wanachojivunia kama Siri Yao hao,
Kutwa kumtaja ujenzi wa solomoni,Kuna Nini hao wanajivunia kama Siri Yao ??

Hivi watu weusi duniani walitokea wapi na waliotokana na Nini,

Je mtu wa kwanza yaani Adam ni mweupe au mweusi
 
Wajenzi huru ni washirikina usiwasikilize na kuhusu asili ya wabantu watu weusi ni kutokana na vizazi vya Wahabeshi wa Yemeni ya kale na Ethiopia ya kale wakati huo hakukuepo na Sahara desert!!
 
Yeah imani ndio kila kitu
Mkuu tell us more about "ufalme wa Mungu"...katika kitabu cha mathayo kinasema Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake.........pia wameandika ufalme wako uje kwenye Ile sala ya Baba yetu uliye mbinguni....pia wameandika waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mbinguni ni wao......nashauku ya kujua zaidi ufalme wa Mungu ukoje ukoje
 
Na sisi tunaishi ndani yake
Sisi hapo ni Miungu,

Ndio ,Maana Kila Niki Calculate , nashanga hizi heaabu zangu Kila nikizipiga ,zinaleta Kuwa hao alio wazaa mara ya pili ,WALOKOLE ni Miungu na ndio MUNGU yuleyule ,Katika wingi tu,

Huo utatu wa Mungu ,ukikaa ndani ya mtu Huyo, mtu Huyo anakuwa sio wa kawaida,sio kiumbe Cha kawaida, na hasa kama atavuka madaraja yote ya kiroho,

Yaani
Baba= Roho zetu
Mwana=Nafsi zetu
Roho mtakatifu=mwilini

Hapo ,ndio mwanzo wa mtu kutoka kwenye ubinadam na kwenda Kwenye uhungu ,

Hao watatu ndio funguo,ya mtu kwenda Kwenye uhungu,

Hivi Rohoni- watoto WA MUNGU Wana madaraja mangapi,

Na JE ulishawai kukutana na WALOKOLE walio madaraja ya juu mno wanao ishi Bado duniani ,

Na huko Rohoni- walikuaje ,Wanafanyaje,
Wanawazidi kipi wenzao kimuonekano,
 
Mkuu tell us more about "ufalme wa Mungu"...katika kitabu cha mathayo kinasema Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake.........pia wameandika ufalme wako uje kwenye Ile sala ya Baba yetu uliye mbinguni....pia wameandika waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mbinguni ni wao......nashauku ya kujua zaidi ufalme wa Mungu ukoje ukoje
Ufalme wa MUNGU uko wa aina mbili;

Ufalme wa MUNGU mbunguni yaani Ufalme wa MUNGU Katika Roho -Rohoni

Ufalme wa MUNGU Duniani ,yaani Katika Mwili huku mwilini ,

Na anapokuja , anakuja kutoka Rohoni yaani MBINGUNI Kuja duniani mwilini Katika Roho wake mtakatifu ,

Na anakaa nasi Katika Miili yetu , yaani Miili yetu ndio hekalu lake ,

Hekalu la MUNGU = Nyumba ya MUNGU,

Hivyo Miili yetu ni Nyumba ya MUNGU,

Na anatawala Dunia Katika Mwili kupitia Miili yetu ,

Maana yeye ni Roho ,Sasa Mwili wako umevaa Roho ya MUNGU ,hapo ni sawa na KUSEMA sio wewe Tena katika Mwili ni MUNGU Katika Mwili ,ndio kashuka hivyo ,Katika ulimwengu wa Mwili ,Kwa njia ya Miili mingi hivyo Yuko Kila maahali.
 
Hii ni karamu ya wendawazimu. Chizi mmoja kaijtungia story ya kipuuzi kulingana na anachoamini yeye, kisha anataka machizi wenzake waamini!

“Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.”
‭‭1 Wakorintho‬ ‭1‬:‭25‬ ‭NEN‬‬
Usishupaze shingo sana Dunia ina mengi sana.
 
Pia,
Ufalme wa Mbinguni , wa rohoni ,uje

Ana maana,
Ufalme wa mbinguni wa rohoni,ni Imani , itakuja Katika ufalme wa mwilini duniani kuwa matendo Kwa walio na Imani,

Ufalme wa mbinguni= Imani
Ufalme wa mwilini=matendo

Sasa, wa mbinguni uje duniani ,ni sawa na kusema Imani ije mwilini kuwa matendo

Yaani , matendo yote ya kule mbinguni yaje duniani,kuwa matendo, na kiunganishi Cha ya Rohoni kuja Mwilini ni Roho mtakatifu,

Yesu= Aliyachukua yote ya Mwilini kuyapeleka rohoni , yaani , Ufalme huu wa Dunia kauwamishia Rohoni , hio ndio kazi yake,

Roho mtakatifu = kazi yake kuutoa ule ufalme wa rohoni kuja mwilini, Huyo Roho mtakatifu Alisha Uleta ufalme huo wa Rohoni Kuja mwilini,maana maombi Yale yalikuwa kabla ya tukio ,Ila Sasa hayana haja kumuita ashuke maana Yuko teari kashuka Kila mahali ,

Hicho ndicho kilichofanyika,
Ndio maana shetani Hana pakushika,
Na HIO NDIO SABABU YA WALOKOLE KUWA WAKUU WAFALME NA WATAWALA DUNIANI ILIYO GEUKA MAMLAKA YA KIMBINGU ,NA MBINGU ILIYOGEUKA KUWA MAMLAKA YA KIDUNIA ,

ROHO MTAKATIFU ALIMTWAA YESU WA ROHONI NA KUMLETA MWILINI,
NA NDIO HUYO ANAYE TWAA MATENDO YOTE YA ROHONI NA KUYALETA MWILINI NDANI YA MTU,
 
Wajenzi huru ni washirikina usiwasikilize na kuhusu asili ya wabantu watu weusi ni kutokana na vizazi vya Wahabeshi wa Yemeni ya kale na Ethiopia ya kale wakati huo hakukuepo na Sahara desert!!
sina elimu inayonfanya njue kua sahara disert haikuepo hapo awali...
 
Pia,
Ufalme wa Mbinguni , wa rohoni ,uje

Ana maana,
Ufalme wa mbinguni wa rohoni,ni Imani , itakuja Katika ufalme wa mwilini duniani kuwa matendo Kwa walio na Imani,

Ufalme wa mbinguni= Imani
Ufalme wa mwilini=matendo

Sasa, wa mbinguni uje duniani ,ni sawa na kusema Imani ije mwilini kuwa matendo

Yaani , matendo yote ya kule mbinguni yaje duniani,kuwa matendo, na kiunganishi Cha ya Rohoni kuja Mwilini ni Roho mtakatifu,

Yesu= Aliyachukua yote ya Mwilini kuyapeleka rohoni , yaani , Ufalme huu wa Dunia kauwamishia Rohoni , hio ndio kazi yake,

Roho mtakatifu = kazi yake kuutoa ule ufalme wa rohoni kuja mwilini, Huyo Roho mtakatifu Alisha Uleta ufalme huo wa Rohoni Kuja mwilini,maana maombi Yale yalikuwa kabla ya tukio ,Ila Sasa hayana haja kumuita ashuke maana Yuko teari kashuka Kila mahali ,

Hicho ndicho kilichofanyika,
Ndio maana shetani Hana pakushika,
Na HIO NDIO SABABU YA WALOKOLE KUWA WAKUU WAFALME NA WATAWALA DUNIANI ILIYO GEUKA MAMLAKA YA KIMBINGU ,NA MBINGU ILIYOGEUKA KUWA MAMLAKA YA KIDUNIA ,

ROHO MTAKATIFU ALIMTWAA YESU WA ROHONI NA KUMLETA MWILINI,
NA NDIO HUYO ANAYE TWAA MATENDO YOTE YA ROHONI NA KUYALETA MWILINI NDANI YA MTU,
Ubarikiwe
 
Mkuu tell us more about "ufalme wa Mungu"...katika kitabu cha mathayo kinasema Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake.........pia wameandika ufalme wako uje kwenye Ile sala ya Baba yetu uliye mbinguni....pia wameandika waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mbinguni ni wao......nashauku ya kujua zaidi ufalme wa Mungu ukoje ukoje
Ufalme wa Mungu duniani ni kuyafanya mapenzi yake ambayo alituwekea toka anaweka misingi ya ulimwengu. Uumbaji wa kwanza tuliumbwa kwenye roho na tukaishi huko kwa muda aujuao Mungu. Baadae akafinyanga udongo akatuumba ila akamuumba Adam kwanza na kumpa maagizo ya kufuata.
Adam akaishi mwenyewe na miti na wanyama bustanini mpaka akawa mpweke. Hapo akalazwa akaletewa msaidizi ambae japo rohoni waliumbwa siku moja lakini kinwili hawakuimbwa siku moja. Ina maana maagizo ya usile mti huu yeye hakupewa. Akaasi kwa kumsikiliza mwanamke hivyo akaondolewa bustanini na ufamle wa Mungu duniani ukakoma. Ili kuurudisha duniani tena Mungu akakusudia kumsaidia bin Adam ila mpaka akubali mwenyewe kwa kuuomba huo msaada. Akaongea na Abram, Abram akaacha yote ikiwapo kuabudu miungu ya baba zake akajiungamanisha na Mungu mgeni asiyemjua lakini aliyeumba Mbingu na Nchi. Mungu akafunga nae agano ili afanye sawasawa na mapenzi yake bila kuulizwa na shetani. Maana kila kinachofanyika duniani lazima mwanadamu aridhie. Mungu haingilii asipoitwa. Kwenye lile agano akamuahufi Abram na kumbadili jina kuwa Abrahamu kwamba atakua baba wa Mataifa mengi. Na uzao wake utamtumikia Mungu wa kweli na haki. Shetani tena akaingia kwa mwanamke na kumwambia Abraham wewe ni mzee na mimi ni mzee tutakufa bila mtoto, zaa na kijakazi tupate mrithi huyu wa hili agano. Baada ya kijakazi kupata mimba, sara akamchukia, akamfukuza kwa kuwa alikua na kiburi. Mungu akamtokea kijakazi akamuamuru arudi ila awe mpole kwa bibi yake. Alirudi na akazaa mtoto mwanamume ila Bwana akasema na Abraham hapana, nilikuahidi uzao kutoka kwa Sara na sio Hajiri. Akasisitiza agano langu nitalifanya kuwa amini kwa Sara atakachokuzalia na sio Hajiri. Kwa mtiririko huo Mungu akapata nafasi duniani mpaka akamleta Yesu mwanae pekee. Huyu alizaliwa na mwanamke ili aje kutimiza ahadi ambayo Bwana aliitoa bustanini, “ uzao wa huyu mwanamke utakuponda kichwa”. Yesu ndo aliuleta ule ufame duniani. Alipoangikwa msalabani aliinuliwa juu ya nchi na kuunganisha mbingu na dunia kuwa kitu kimoja. Sasa ufame haujakaribia tena, upo duniani tayari. Umefunuliwa katika roho lakini siku ya unyakuo utafunuliwa kwa wote kuuona. Hii ndiyo masna ya ufalme wako uje.
Kwa watoto wadogo maana yake matendo yetu lazima yafanane na watoto wadogo, wana upendo halisi, wanaomba misamaha, hawana kinyongo. Lazima tufanane nao ndo tumuone Mungu. Yeye ni upendo, hana chuki ndani yake. Ana upendo tu!
 
Nini kilitokea kwa uzao wa kijakazi wake??
 
Visa vingine, majanga.

Mimi nilifikiri nchawi labda anamnyonya damu! Kumbe analilia vijisenti vyake.

Pole sana kijana, Mombasa wanasema "matezo gharama".
 
Back
Top Bottom