Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

MUNGU MKUU WA WALOKOLE AMERUHUSU WATU WAMTAFITI ILA SI KWA NJIA YA UCHAWI NA USHIRIKINA
 
ukimkubali Bwana Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako na ukabatizwa katika ubatizo wa maji mengi na pia kuacha dhambi kutembea katika utakatifu
YOTE HAYA MUNGU MKUU WA WALOKOLE ALISEMA NI KWA NEEMA YA ROHO WAKE ALIE NDANI YA MWANAE.
NEEMA YAKE INAWEZESHA YOTE HAYO
 
Hapo sawa, naona umetujibu vema,
Karibu Kwa mwendelezo,
 
Duniani hii ni kweli Kuna watu sio watu, mbali na majini Ila ,
Huenda Kuna watu ni uzao wa shetani au wamifika kilele Cha juu Sana Cha vyeo,kiasi kwamba amekuwa familia ya shetani ambao shetani anakaa nao kupanga MIPANGO nao.


Na kinachonishangaza ni kuwa, WANAUJUA UKWELI WOTE,

Sababu, Kila nikicheza na hesabu za Kodi za Siri ,naona kabisa

1./Wanafanya hivo vitu sio binadam ,ni viumbe kabisa nio vinafanya, maana kinacho nishangaza yaani WANAUJUA UKWELI ULE WAKILELENI,
SI MCHAWI WALA FREEMASON ATAUWEZA UFIKIA KAMA AKIUFIKIA KUNA MAWILI

MOJA YEYE SIO KIUMBE KINACHO ITWA BINADAMU

AU

NI BINADAM ASIYE BINADAMU TENA, YAANI HUWENDA HATA MBINGU ZILISHA MTEMA ,MFANO WALE WENYE DEGREE ZA JUU 33 HUJIUWA ILI WAJE KWA KUFUFUKA TENA UPYA MARA YA PILI KSMA YESU SASA HAPO NDIO NINAHOFIA HUENDA ALIEFUFUKA NI ROHO NYINGINE AU NI NAFSI YAKE ILIOVUVIWA UOVU KIKAMILIFU,


YAANI KWAKUWA ALISHAJIUWA ,HATA AKITUBU ,KULE MBINGUNI FAILI LAKE LILISHA FUNGWA MAANA ANAESABIKA ALISHAKUFAGA , HESABU ZAKE ZIMEKWISHA , NDIO HAO HATA WAKIFUNULIWA UKWELI WANAKUWA WALISHA CHEKEWA , INASIKITISHA NA KWAKUWA TEARI WALISHA KUFA NI MALI YA SHETANI DUNIANI

YAANI MAITI ROHO ZA UMAUTI ZINAZOISHI DUNIANI ILA WAO WALISHAKUFA LIVE KABISA KIMWILI ,SASA HAO HATA WAKIGOMA HAWANA NGUVU MAANA JEHANAMU SHARTI AENDE TUU,

NDIO ,HAO UTAWAKUTA WANALALAMIKA, KWAMBA WAMECHELEWA ,NDIO MAANA WAO NA BAADHI YA WATU DUNIANI NI NGUMU KUTUMU KWASABABU YA HATUA MBAYA WALIZOFIKIA KAMA HAO WALIO KUZIMU TEEARI KULETWA DUNIANI ,


HAO HAWANA HAJA TENA YA KUTUBU, NDIO BAADHI ,UTAKUTA WAKO DUNIANI ,KUSTAREHEKA TU WADADA WANAHADHI KUMBE NI ROHO ZILIZOKUFAGA ZIMUTUMWA DUNIANI KUALIBU VIJANA KINGONO NA RIKA ZOTE,

NB
NATUMIAGA CODES ZA ROHONI , NIKICALCULATE NAWAKUTA HESABU ZINA IPA NI WAO, ROHO CHAFU,
SASA NAJIULIZAGA NI WAO LIVE DUNIANI AU NI WATOTO WAO WENYE VINA SABA VYA HIZA AU NI WATU HUENDA WANEFUNZWA,

ILA KWENYE CALCULATION INAGOMA NIKIWEKA HESABU ZA WATU KUFUNZWA INAGOMA, HESABU INALETA NI ROHO LIVE ZIKODUNIANI NA SIO WATU.
 
Unajua

Kuacha
Uzinzi na Uasherati ,
Ni sehemu ya Mkataba Wa Mungu na Mwanadamu ,
Mkataba huo ni WA damu yake,

Ndani ya Mkataba huo ndio Kuna vipengere vya kusaini,

Ikiwepo kipengere Cha uzinzi na Uasherati na kujichua

Kuna vipengere ambavyo wengi huchemka,
¹Uzinzi,
Uasherati,
Kujichuwa,
Tamaa ya macho
N k

Hivi vitu umekuwa gumzo Kwa watu kutoboa

Lakusikitisha na lakutisha ni kwamba,

Kwanza mbingu sio lelemama ,

Chengine,

Nilitengaga masaa maelfu 7 na kitu huko ,kuchunguza je wazinzi na waasherati,wenye kujichua, tamaa ya macho na ,waendekeza Ngono na dhambi zinginezo,

Ukweli ni kwama hawaingii mbinguni Huu ndio ukweli nilikuja ujuaga bila shaka ,

MBINGU NI YA WATAKATIFU KWELIKWELI,

DOWA HALITAKANYAGA MBINGU,NDIO MAANA WANAHIMIZA UWE TAYARI KWA WAKATI UFAHAO NA USIO FAA ,MAANA KIPENGA kikipigwa PARAPANDA YA UNYAKUO IKIPIGWA WATAOONDOKA NI WATAKATIFU TUU,


YESU HAKUTUKOMBOA ILI TUWE HURU KUTENDA DHAMBI ,

HAUKUWA UHURU WA WATU KUTENDA DHAMBI ,KISA KALIPA DENI ,MSALABANI Basi mtu ana waza hata akingonoks uzinzi na Uasherati sawa Yu kumbe sivuo ilivyo Huyo hukumu insmuhusu ya jehanam,

KUNA WATU WANAWAZA
KWAKUWA MUNGU ALIONA HATUWEZI KUWA WATAKATIFU DUNIANI NDIO MAANA KAJA YEYE MWENYEWE MAANA KAMA ANGETUACHIA KILA MTU AWE MTAKATIFU HAPAHAPA DUNIANI HAKUNA ATAE TOBOA,

HAYO NDIO MAWAZO YAO ,NA WENGINE HUAMINI NA KUIMBA KUWA DUNIANI HAKUNA UTAKATIFU SIO SEHEMU YA UTAKATIFU MBINGUNI NDIO PA WATAKATIFU, NA NDIO MAANA HUAMINI MTU AKIFA WAKIMUOMBEA KWA MUNGU HUMPOKEA HUKO ROHONI KUMBE HAPOKEi WALIOKUFA NA MAISHA YAO YA DHAMBI,


Wengi watatamani ,Ila wasiweze,
Sio kwamba hawataki mbingu ,Bali hawakuwezavkwakuwa hawana uwezo huo .
 
Mbingu mbingu mbingu mbingu

Kumbe KIPENGA Cha unyakuo kikipigwa, Hali itayokukuta nayo ndio hiohio itaamua wewe ni msafi unyakuliwe au mchafu,usinyakuliwe,

Ndio maana hata watumishi wanapoliongelea swala Ilo ,linawaguaa hata wao na wao kuanza kulia Kwa kuliongezea uzito basi kanisa Zima linalia na kujiombea walipokosea,


UNTAKUO HAUNA MWENYEWE SABABU HUJUI KAMA HUENDA SIKU IYO UTAANGUKA AU VIPI, HILI NI SWALA LA PATA POTEA,


NALUDIA TENA NI SWARA LA NEEMA NA REHEMA ZA MUNGU,

MAANA AKIKAA KWENYE KITI CHAKE CHA UKUMU ANABADILIKA KABISA ,ANAKAA KIHAKIMU HAKIMU HAPO NI KWAAJILI YA KUAMUWA NS KUTOWA UKUMU ,

HAPO NDIO MAAHALA AMBAPO WATU TUTATENGANA MILELE NA MILELE YAANI NO END NO END NO END,

YAHUZUNISHA KAMA MTU BADO TU UNASHAUKU NA YAULIMWENGU,
 
Mkuu unamaanisha una kitabu cha Henoko(Enock) kwa lugha ya kiswahili?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu
Ninatamani sana kukisoma hichi kitabu kwa msingi wa kuhusishwa mara kadhaa na vitabu vingine vya biblia bila chenyewe kuwepo.
Mfano wa kitabu cha Yuda kumzungumzia Henoko kwa kile alichoandika japo hatuna hiyo reference ya kurejelea.
Yuda 1:14-15
[14]Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
And Enoch also, the seventh from Adam, prophesied of these, saying, Behold, the Lord cometh with ten thousands of his saints,
[15]ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.
To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.

Pia unaweza kuona mbuzi wa azazeli akiongelewa bila kuwa na uelewa juu yake japo waliosoma kitabu cha Henoko wana dokeza kuwepo kwa habari ya Azazel ndani yake.
Henoko katika maandiko ya biblia anazungumziwa kuwa mtu wa saba kutoka Adamu lakini ukimfuatilia anakuwa mtu wa nane. Unashindwa kupata jibu la ni nini kipo hapo katikati.

Kuna mengi sana ya kujiuliza kumhusu Henoko na kitabu chake kwamba ni kwa nini kifichwe na madhumuni ya waliokificha ni yapi.
Baadhi husema kuwa kitabu hiki kiliondolewa na uzao wa majitu( naphelians offspring)
Wakihofia kujulikana na uzao wa wana wa Adamu maana wana vyanzo tofauti vya jeni(genetic )
Wengine wanasema kitabu kina mambo ya kichawi nk.
Ila ni shauku yangu kukisoma hichi kitabu kwa kuwa ninaamini lolote ninalotafuta katika andishi lolote ni kwa muongozo wa mtizamo wa kioo cha neno la Mungu ambalo ndilo roho.
Siihitaji theologia maana najua kile theologia ilichozitendea roho za baadhi ya watu ambao haiwezekani tena kwao kuwarejesha kwenye toba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Nimekisoma kidogo na nimejua mengi na kwanini walikificha kina facts nyingi sana!Baadhi;-

1.jua ndio huzunguka Dunia kupigia mageti kumi mbili yaani matatu matatu kwa Kila pembe ya Dunia!

2.Nuhu alipokua Mzee aliandika magonjwa yote yote duniani na Tiba zake asili yaani dawa zake za mitishamba na kumpa hicho kitabu mwanae Shem yule mkubwa!

3.Elimu ya uchawi,unajimu, geography, technology,kutengeneza vioo,silaha,kufua vyuma,urembo,utabibu na n.k Wana wa adamu walifundishwa na malaika walioshushwa kutoka juu mbinguni Ili wamsaidie adam kutawala Dunia baada ya kufukizwa Bustanini!!!

4.urithi wa Nuhu kwa watoto wake ulikua hivi Shem aliopewa maeneo ya Baridiiii Sana yaani ulaya yote hiyo,Yafet akapewa maeneo ya Baridi na joto kidogo yaani vuguvugu inadhaniw kuwa ni Asia kwa ukubwa wake na Ham akapewa maeneo ya joto hasa kushi yaani Africa!
Akawaapia ikitokea mmoja wenu akaingia eneo la mwenzake mtakua na vita maisha yenu yote !!na kweli Ham aliingia eneo la Yafet ndio kukawa na vita hadi leo!!!!

5.upepo,tufani na mambo yote uyaonavyo yanayojiendesha kiasili husimamiwa na malaika katika utendaji wake!!

Mkuu ni mengi sana MENGINE nimesahau!!

Nilisomea zamani!!

Wewe google the book of Enoch japo sura ya 33 na baadhi zilinyofolewa na sijui Zina siri gani!
Nahisi pale Vatican hivyo vitabu vyote vipo!! Hata hicho Cha henoko!!
 

"Siihitaji theologia maana najua kile theologia ilichozitendea roho za baadhi ya watu ambao haiwezekani tena kwao kuwarejesha kwenye toba."

Funguka kidogo MKUU,

Kisa changu kimoja,

Nilikuwa napenda SANA kufuatilia mafundisho ya watumishi mbalimbali,wa Mungu,

Mwanzo I niliona sawa,Ila baada ya kujitambua , Kuna vitu mime viacha, baada ya kuona kumbe ni mafundisho potofu,

Mfano,

Ukizini na Uasherati ,watu hufanya Kwa kigezo Cha kuwa HAWAKO Tena chini ya sheria wako huru kwelikweli,

Yesu alifia dhambi zao kwaiyo hata wakifanya dhambi hawana hatia,


Ngao Yao inayo wapa kiburi ni hii ,eti ukiamini na kubatizwa basi unaokolewa siku Ile,


Baada ya kutafiti Sana, nikashangaa hata Mimi watumishi wa Sasa vipi,


Nilitamani kusomea theolojia lakini ,nilivunjwa nguvu Kwa jinsi navyo wanna waliosomea WENYEWE ni ovyo,
 
Mti ndio uzaao matunda na hivyo kila mti huzaa kwa jinsi yake.
Ukikata matawi ya mti na kuacha shina lake basi mti huo utamea tena matawi yatakayozaa matunda ya asili ya mti wenyewe.
Kuzaliwa upya katika kiroho ni kungolewa shida katika asili yake na kupandikizwa katika asili ya shina jingine ambalo ni roho wa Kristo.
Matunda yatakuwa yapatanayo na toba kwa mhusika.
Ukiona matunda bado ni ya asili katika mwili basi hilo ni jawabu tosha kuwa nafsi hiyo haijawahi kumbolewa kutoka katika utumwa wa dhambi japo inaweza kujinenea yenyewe vinginevyo.
Aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi.
Hatendi dhambi kwa sababu sii asili yake kufanya hayo. Na kama kutakuwepo na makosa maana yapo jua halita kuchwa bila kutengeneza.
Dini ina kawaida ya mazoea ya maungamo yasiyomaanisha maana anaeungama hajawahi kuzaliwa upya kwa roho wa Mungu bali ana yale maarifa(ujuzi) na hata nafunuo makuu kumhusu Mungu kiakili.
Maandiko yanakiri kuwa wana ujuzi tu na sii roho wa kristo
Waebrania 10:26
[26]Maana, kama tukifanya dhambi kusudi baada ya kuupokea ujuzi wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi;
For if we sin wilfully after that we have received the knowledge of the truth, there remaineth no more sacrifice for sins,

Hata hivyo wanauzungumziwa katika waebrania sita ni watheologia(dini) na sii mtu aliyezaliwa upya katika ufalme wa Mungu.
Waebrania 6:4-6
[4]Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,
For it is impossible for those who were once enlightened, and have tasted of the heavenly gift, and were made partakers of the Holy Ghost,
[5]na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,
And have tasted the good word of God, and the powers of the world to come,
[6]wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
If they shall fall away, to renew them again unto repentance; seeing they crucify to themselves the Son of God afresh, and put him to an open shame.

Aliyezaliwa upya katika ufalme maandiko yanakiri kwake kutowezekana kwa nguvu ya aina yeyote kumpokonya mikononi mwa Yesu ila mmoja tu yaani Yuda ili andiko litimie.
Yohana 17:12
[12]Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
While I was with them in the world, I kept them in thy name: those that thou gavest me I have kept, and none of them is lost, but the son of perdition; that the scripture might be fulfilled.

Hivyo kusoma misa(sala) bila kumaanisha toba kibinafsi kwa kughairi mabaya na keuzo la dhati ni sawa na kupayuka kufanywako na mshika dini yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wokovu unahatua tatu. Na hatua zote znatakiwa kupitiwa ili mtu hakika na kweli awe
ameokoka. Kuna wokovu wa mambo a nyuma-kuokoka kutoka katika dhambi, wokovu wakati
uliopo – ukombozi kutoka katika nguvu za dhambi na wokovu kwa yajayo – ukombozi kutoka
katika uwepo wa dhambi.
 
Nimeipenda hii
 
...Hawa wanaoshi Chini ya Bahati, Maziwa na Moto, hawapumui ? Hawahitaji hewa ? Wanaishije huko Chini ?

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…