Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Una hoja, usikilizwe.Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.
Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.
Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.
So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.
Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.
Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.
Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
Amina lakini ipo siku utajua hii sio mikwaraAcha mikwara wewe
Khaa!! Ila biblia na quraani ni vitabu vinavyo randana kabisa yaani tofauti ni baahdi ya mambo tu hasa umungu WA Yesu na kuoa na kuhusu pepoQuran...Al-An'am 6:25
وَمِنْهُم مَّن يَسْتَمِعُ إِلَيْكَۖ وَجَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِىٓ ءَاذَانِهِمْ وَقْرًاۚ وَإِن يَرَوْا۟ كُلَّ ءَايَةٍ لَّا يُؤْمِنُوا۟ بِهَاۚ حَتَّىٰٓ إِذَا جَآءُوكَ يُجَٰدِلُونَكَ يَقُولُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ إِنْ هَٰذَآ إِلَّآ أَسَٰطِيرُ ٱلْأَوَّلِينَ
Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza; na tumezitia pazia nyoyo zao wasije kuyafahamu. Na upo uziwi masikioni mwao, na wakiona kila Ishara hawaiamini. Hata wakikujia kwa kujadiliana nawe, wanasema walio kufuru: Hizi si chochote ila hadithi za watu wa kale.
Kwa sababu Biblia imeanza kabla ya Quran. Ni sawa we ucopy homework ya mtuKhaa!! Ila biblia na quraani ni vitabu vinavyo randana kabisa yaani tofauti ni baahdi ya mambo tu hasa umungu WA Yesu na kuoa na kuhusu pepo
Hayo maneno uliyo yaandika hapo kwenye biblia yapo Kwa mantiki hiyohiyo kasoro uandishi tu!!
Aal-e-Imran 3:2Khaa!! Ila biblia na quraani ni vitabu vinavyo randana kabisa yaani tofauti ni baahdi ya mambo tu hasa umungu WA Yesu na kuoa na kuhusu pepo
Hayo maneno uliyo yaandika hapo kwenye biblia yapo Kwa mantiki hiyohiyo kasoro uandishi tu!!
Mungu alijua kuwa watakuja wajinga watakaosema maneno kama haya ndio maana alimleta Mtume Muhammad akiwa hajui kusoma wala kuandika ili wasije kutokea wajinga watakaosema kuwa alikopi na kupaste Taurat na injili.Kwa sababu Biblia imeanza kabla ya Quran. Ni sawa we ucopy homework ya mtu
Illuminati inawezekana kutokea maana myaudi,mkristo na mwisalamu tofauti zao hazielewekieleweki yaniAal-e-Imran 3:2
ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلْحَىُّ ٱلْقَيُّومُ
Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele.
Aal-e-Imran 3:3
نَزَّلَ عَلَيْكَ ٱلْكِتَٰبَ بِٱلْحَقِّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَأَنزَلَ ٱلتَّوْرَىٰةَ وَٱلْإِنجِيلَ
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili
Aal-e-Imran 3:4
مِن قَبْلُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَأَنزَلَ ٱلْفُرْقَانَۗ إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ لَهُمْ عَذَابٌ شَدِيدٌۗ وَٱللَّهُ عَزِيزٌ ذُو ٱنتِقَامٍ
Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa.
Hizo dini haziwezi kuunganishwa hata kidogo maana misingi ya imani katika kila dini ni tofautiIlluminati inawezekana kutokea maana myaudi,mkristo na mwisalamu tofauti zao hazielewekieleweki yani
Nilimsika Mchungaji Katunzi akisema kuwa itakuja dini ya illuminati itakayo waunganisha wayahudi,wakristo na waislamu
Hamna msingi wao ni Ibrahimu wote hawampingi, isaka pia hakuna dini inayo mpinga nadhani na Yakobo pia jumlisha Akina Musa.Hizo dini haziwezi kuunganishwa hata kidogo maana misingi ya imani katika kila dini ni tofauti
Msingi wa uislam ni kumpwekesha Mungu mmoja (ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa) na kukubali manabii na mitume yote iliyotumwa na Mungu.Hamna msingi wao ni Ibrahimu wote hawampingi, isaka pia hakuna dini inayo mpinga nadhani na Yakobo pia jumlisha Akina Musa.
Makanisa yaliyojengwa enzi hizo na CONSTANTINE huko uturuki ndo misikiti ya Sasa hivi na nyumba zingine zimegeuzwa madrasa kiufupi hawa watu Wanatofauti mdogo Ili msingi wao ni mmoja
Kuthibitisha kupi tena? Mie nimekwambia kuwa endapo itatokea mtu akakuuliza swali kuwa je, Mungu yupo wewe kwa uelewa wako sasa utajibu nini?Huwezi ukajibu swali directly ambalo bado halijatolewa ufafanuzi unaokupa mwanga wa uhalisia wa hicho kitu kinacho zungumziwa
Kunipa maana mbili sio kuthibitisha
Nikikupa maana ya spiderman au unicorn je hiyo itathibitisha hivyo viumbe vipo kihalisia?