Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Kama huamin Mungu mmoja bhas we ni mfuasi wa shetani, na kama si hivo pia...We upo upo tu huna unalojua. Hata hiyo sayans unaijua jina tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Ila ilibidi amtokee muarabu kwenye pango aongee nae kiarabu Ila sio wewe si ndioMungu yupo popote ulipo
Nchi masikini zina mifumo ya kukariri kwa woga.Elimu sio shule jamani....elimu ni maarifa...kujitambua..kuelewa ukweli wa maisha...Sasa mambo ya Assad kusoma yanaingiaje... Ndo maana wanasayansi wengi wa 21st century hawapo na Imani coz wanajua vingi na wanajua logic na Imani hazina logic kwenye vitu vingi coz waliotunga hizi story ni watu wazamani wenye fikra finyu
Si character yake coz naiona, Sasa I can't answer this directly. We ishi na watu tofauti afu uone ur judgement. Plus mi kumtrust mtu na mwingine kumtrust kunaweza kuwa na sababu tofauti coz we have different mental abilitiesSwali langu utamuamini kwa uthibitisho upi huyo mtu?
Black n white fallacy...eti Kama huamini Mungu ninamfuata shetani au nipo nipo tu...we ndo upo upo tu..ushawahi kuvisoma hivyo vitabu vizuri au unakubalikubali...ni sawa na unavyodownload app na kuaccept conditions bila kuzisoma. Ukisoma vitabu vya dini kwa kina we mwenyewe utajiona mjingaKama huamin Mungu mmoja bhas we ni mfuasi wa shetani, na kama si hivo pia...We upo upo tu huna unalojua. Hata hiyo sayans unaijua jina tu
Kwnn na ww usiandike cha kwako nikakisoma? Ingia class ufundishweeBlack n white fallacy...eti Kama huamini Mungu ninamfuata shetani au nipo nipo tu...we ndo upo upo tu..ushawahi kuvisoma hivyo vitabu vizuri au unakubalikubali...ni sawa na unavyodownload app na kuaccept conditions bila kuzisoma. Ukisoma vitabu vya dini kwa kina we mwenyewe utajiona mjinga
Hujathibitisha Mungu yupo.Kama huamin Mungu mmoja bhas we ni mfuasi wa shetani, na kama si hivo pia...We upo upo tu huna unalojua. Hata hiyo sayans unaijua jina tu
Wamatafuta tu sifa kupitia wanayoamishwa kwamba wao wapo sahihi kuliko wengne, ila Mungu sio personality kama wanavyosema ,kitu chochote chenye personality kina mipaka , ili kuwa na mawanda yasiyo na mipaka ya hiyo nguvu kuu hilo jina Mungu linapaswa kwanza life ili kutokuonyesha mipaka .Sijaaminishwa...Mungu Kama ni mmoja kwa Nini kila mtu anakuja na yake. Ni kitu ambacho ukikaa mwenyewe unaweza fikiria ukajua ni uvushaji tu
Ehe we unayemjua Mungu Yuko wapi? Yukoje? Alitokea wapi? Anataka Nini? Una uthibitisho gani?Wamatafuta tu sifa kupitia wanayoamishwa kwamba wao wapo sahihi kuliko wengne, ila Mungu sio personality kama wanavyosema ,kitu chochote chenye personality kina mipaka , ili kuwa na mawanda yasiyo na mipaka ya hiyo nguvu kuu hilo jina Mungu linapaswa kwanza life ili kutokuonyesha mipaka .
Ukosefu wa elimu,huduma bora za afya na umasikini hivyo ndio vitu ambavyo napinga kwamba hufanya watu kuamini habari za Mungu ambapo nikatoa mfano wa waarabu ambao ni matajiri hivyo hawana tatizo la umasikini na huduma bora za afya ila ukasema hawana elimu.Nimeongelea elimu za jamii nzima as a collective.
Huko Africa kuna tatizo la elimu ya jamii nzima.
Ndiyo maana unaweza kuwa na rais ana Ph.D ya Chemistry lakini anapinga chanjo wakati hajapinga kunywa kikombe cha babu.
Kwa sababu hajui basic logical thinking, critical thinking, abstract thinking, kazoea maisha ya kupigwapigwa tangu mtoto, anafanya maamuzi kimagutu magutu. Ya hila hila tu.
Zaidi, wasomi wengi wa Africa wanatumia dini kama "virtue signaling" na "shortcut to gain the morality currency".
Africa usiposema unampenda Mungu unapoteza wapiga kura na ukisema huamini Mungu unaweza kuondolewa kazini.
So, watu wengi wana maswali mengi sana kuhusu Mungu lakini hawawezi kusema wazi kwa sababu wanaogopa kupigwa mawe na jamii kama watu wanaokufuru. Jamii zetu hazina tolerance kwa watu wasioamini uwepo Mungu.
Na watu wanaosema wanaamini Mungu wanazawadiwa kupata networks misikitini, makanisani etc.
Kwa hivyo si ajabu kuona wasomi wengi wanajinadi wanamuamini Mungu wakati hawamuamini.
This is not to say Dr. Assad hamuamini Mungu.
This is to say wasomi wengi wa Tanzania hawamuamini Mungu, wangemuamini wasingeiba sana kiasi cha kumfanya Dr. Assad kuwa mtu maarufu kwa kazi yake ya CAG.
Mfano wako hauoneshi kwamba kuna wasomi wengi wanaamini Mungu.
Mfano wako unaonesha wasomi wengi hawaamini Mungu, ila wana fake tu kwamba wanaamini Mungu. Kwa sababu ku fake hivyo kuna faida nyingi sana.
Wangeamini Mungu hata CAG Assad asingejulikana, ripoti zake zingekuwa very boring kwa sababu kusingekuwa na wizi.
Elimu ya critical thinking, logical thinking, abstract thinking, technological advancement.Ukosefu wa elimu,huduma bora za afya na umasikini hivyo ndio vitu ambavyo napinga kwamba hufanya watu kuamini habari za Mungu ambapo nikatoa mfano wa waarabu ambao ni matajiri hivyo hawana tatizo la umasikini na huduma bora za afya ila ukasema hawana elimu.
Naona ni vyema ukaeleza unakusudia nini unaposema elimu au elimu gani uliyokusudia au kiwango gani cha elimu?
Usimtishe acha aujue ukweliUsitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka maandishi haya
[emoji16][emoji16][emoji16] nikudhibitishie ili nifaidike na nin mkuu ,sioni haja ya kufanya hivyo mkuu ,kula ugali , lala sio kila kitu nichakujua.Ehe we unayemjua Mungu Yuko wapi? Yukoje? Alitokea wapi? Anataka Nini? Una uthibitisho gani?
Mbinguni ni Mbinguni hutaweza kupajua kila sehemu wewe unapajua hata Namibia kweli ?Mbinguni ni wapi?
Kwani nani kazungumzia shule hapa? Tumezungumzia elimu.Elimu sio shule jamani....elimu ni maarifa...kujitambua..kuelewa ukweli wa maisha...Sasa mambo ya Assad kusoma yanaingiaje... Ndo maana wanasayansi wengi wa 21st century hawapo na Imani coz wanajua vingi na wanajua logic na Imani hazina logic kwenye vitu vingi coz waliotunga hizi story ni watu wazamani wenye fikra finyu
Dini ya uislamu inasema yoyote ambae haamini anaenda Motoni na ukiacha uislamu adhabu ni kifo...plus sio nchi zote za kiislamu ni za kiarabu na sio nchi zote za kiarabu ni za kiislamu. Taja nchi ambayo ni Islamic imeendelea bila mafuta na partnership na marekani...nakusubiriaUkosefu wa elimu,huduma bora za afya na umasikini hivyo ndio vitu ambavyo napinga kwamba hufanya watu kuamini habari za Mungu ambapo nikatoa mfano wa waarabu ambao ni matajiri hivyo hawana tatizo la umasikini na huduma bora za afya ila ukasema hawana elimu.
Naona ni vyema ukaeleza unakusudia nini unaposema elimu au elimu gani uliyokusudia au kiwango gani cha elimu?
Usimtishe acha aujue ukweli
Skia ..ni sawa na mtoto kumwambia mtu mzima hatopata zawadi kwa sababu ya kutomwamini Babu ChristmasUsimtishe acha aujue ukweli
Kama watanzania mna elimu tengenezeni Simu, magari, chanjo na pelekeni mtu mwezini. If not mna basic knowledge tu...sio elimu ya kuvumbua vitu .Kwani nani kazungumzia shule hapa? Tumezungumzia elimu.