Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Sayansi ni moja ya elimu tu ndogo miongoni mwa elimu mbalimbali zilizopo Duniani ambazo huwezi pata majibu kupitia sayansi.
Mfano Pana mafuta ukijipaka unapotea uonekani na watu,
Kuchunguza nyota na sayari kuona vilivyomo,asili ya uumbaji, uwezo wa kuacha mwili yaani kutoka nje ya mwili wako.
Mengine utapata majibu kupitia sayansi hasa kwa tomaso Kama nyie,mengine nje ya sayansi
 
Hapo umeeleza upande wa kutokuamini na si kuamini, umetoa sababu za kutokumuamini huyo mtu. Sasa mtu ambaye hujui kama ni mwizi utamuamini kwa uthibitisho upi?
Nitaona kuwa sio mwizi ..😂😂😂na nitamwamini...Sasa shida hapo Nini...😅mbona mtoto mdogo anaweza kuelewa kabisa
 
Umeongelea utajiri na umasikini wa kiuchumi lakini hujaongelea elimu.

Waarabu wakiamini Mungu hapo hakuna contradiction na hoja yangu, kwa sababu hawana elimu.

Na hata hao waarabu kadiri wanavyoongeza uchumi na elimu, imani ya Mungu inashuka.

Nimekupa mfano wa Prof Assad mtu ambaye ana elimu na hana umasikini wa kukosa chakula na huduma bora. Maana yangu ni kwamba kuamini Mungu hutokana na ukosefu wa elimu basi ingekuwa ajabu kwa mtu kama Assad kutambulika anaamini Mungu.
 
Sayansi ni moja ya elimu tu ndogo miongoni mwa elimu mbalimbali zilizopo Duniani ambazo huwezi pata majibu kupitia sayansi.
Mfano Pana mafuta ukijipaka unapotea uonekani na watu,
Kuchunguza nyota na sayari kuona vilivyomo,asili ya uumbaji, uwezo wa kuacha mwili yaani kutoka nje ya mwili wako.
Mengine utapata majibu kupitia sayansi hasa kwa tomaso Kama nyie,mengine nje ya sayansi
😅😅😂😂Mafuta Gani hayo nikapake...hizi story za kumwambia mtoto wako wa kike sio mimi
 
Nimekupa mfano wa Prof Assad mtu ambaye ana elimu na hana umasikini wa kukosa chakula na huduma bora. Maana yangu ni kwamba kuamini Mungu hutokana na ukosefu wa elimu basi ingekuwa ajabu kwa mtu kama Assad kutambulika anaamini Mungu.
Elimu sio shule tu...we biology umesoma mpaka form 4...Ila Hadi Leo unaamini wanyama wote duniani waliishi kwenye boti, unaamini Kuna roho na ubongo sijui na mwili, unaamini Kuna watu wanakufa na kufufuka, na unaamini bikra anazaa. Sasa hio ni biology tu Sasa elimu gani na imekusaidia nini
 
Nitaona kuwa sio mwizi ..😂😂😂na nitamwamini...Sasa shida hapo Nini...😅mbona mtoto mdogo anaweza kuelewa kabisa
Ili kuiba sio lazima utambulike kuwa ni mwizi na mtu anaweza kuwa mwizi ila watu wasimjue kama yeye ni mwizi, hapo ndio kwenye shida.
 
Sawa Ila whatever choices I make hazina infinite consequences, Ila ukikosea kuabudu Mungu mmoja kati ya 3000 wa dunia una risk kuunguzwa milele....na huwezi thibitisha kwamba Mungu yoyote wa ukweli au Kuna moto wa milele, Ila unaamini Mungu mmoja Kati ya wote, so Kama una bet tu...mi sibet Sasa ndo tofauti ya Mimi na wewe
 
Elimu sio shule tu...we biology umesoma mpaka form 4...Ila Hadi Leo unaamini wanyama wote duniani waliishi kwenye boti, unaamini Kuna roho na ubongo sijui na mwili, unaamini Kuna watu wanakufa na kufufuka, na unaamini bikra anazaa. Sasa hio ni biology tu Sasa elimu gani na imekusaidia nini
Ndio ujue kwamba hoja ya kudai kwamba kuamini Mungu ni kukosa elimu si sahihi, ukizingatia wapo watu hawaamini Mungu na hawana elimu.
 
Nimekupa mfano wa Prof Assad mtu ambaye ana elimu na hana umasikini wa kukosa chakula na huduma bora. Maana yangu ni kwamba kuamini Mungu hutokana na ukosefu wa elimu basi ingekuwa ajabu kwa mtu kama Assad kutambulika anaamini Mungu.
Nimeongelea elimu za jamii nzima as a collective.

Huko Africa kuna tatizo la elimu ya jamii nzima.

Ndiyo maana unaweza kuwa na rais ana Ph.D ya Chemistry lakini anapinga chanjo wakati hajapinga kunywa kikombe cha babu.

Kwa sababu hajui basic logical thinking, critical thinking, abstract thinking, kazoea maisha ya kupigwapigwa tangu mtoto, anafanya maamuzi kimagutu magutu. Ya hila hila tu.

Zaidi, wasomi wengi wa Africa wanatumia dini kama "virtue signaling" na "shortcut to gain the morality currency".

Africa usiposema unampenda Mungu unapoteza wapiga kura na ukisema huamini Mungu unaweza kuondolewa kazini.

So, watu wengi wana maswali mengi sana kuhusu Mungu lakini hawawezi kusema wazi kwa sababu wanaogopa kupigwa mawe na jamii kama watu wanaokufuru. Jamii zetu hazina tolerance kwa watu wasioamini uwepo Mungu.

Na watu wanaosema wanaamini Mungu wanazawadiwa kupata networks misikitini, makanisani etc.

Kwa hivyo si ajabu kuona wasomi wengi wanajinadi wanamuamini Mungu wakati hawamuamini.

This is not to say Dr. Assad hamuamini Mungu.

This is to say wasomi wengi wa Tanzania hawamuamini Mungu, wangemuamini wasingeiba sana kiasi cha kumfanya Dr. Assad kuwa mtu maarufu kwa kazi yake ya CAG.

Mfano wako hauoneshi kwamba kuna wasomi wengi wanaamini Mungu.

Mfano wako unaonesha wasomi wengi hawaamini Mungu, ila wana fake tu kwamba wanaamini Mungu. Kwa sababu ku fake hivyo kuna faida nyingi sana.

Wangeamini Mungu hata CAG Assad asingejulikana, ripoti zake zingekuwa very boring kwa sababu kusingekuwa na wizi.
 
Ndio ujue kwamba hoja ya kudai kwamba kuamini Mungu ni kukosa elimu si sahihi, ukizingatia wapo watu hawaamini Mungu na hawana elimu.
Elimu sio shule jamani....elimu ni maarifa...kujitambua..kuelewa ukweli wa maisha...Sasa mambo ya Assad kusoma yanaingiaje... Ndo maana wanasayansi wengi wa 21st century hawapo na Imani coz wanajua vingi na wanajua logic na Imani hazina logic kwenye vitu vingi coz waliotunga hizi story ni watu wazamani wenye fikra finyu
 
Huwezi ukawa na fikra finyu ukatunga kitu kinaishi
 
Nomeongelea elimu za jamii nzima as a collective.

Huko Africa kuna tatizo la elimu ya jamii nzima.

Ndiyo maanaunaweza kuwa na rais ana Ph.D ya Chemistry lakini anapinga chanjo wakati hajapinga kunywa kikombe cha babu.

Kwa sababu hajui basic logical thinking, critical thinking, kazoea maisha ya kupigwapigwa tangu mtoto, anafanya maamuzi kimagutu magutu.

Zaidi, wasomi wengi wa Africa wanatumia dini kama "virtue signaling" na "shortcut to gain the morality currency".

Africa usiposema unampenda Mungu unapoteza wapiga kura na ukisema huamini Mungu unaweza kuindolewa kazini.

So, watu wengi wana maswali mengi sana kuhusu Mungu lakini hawawwzi kusema wazi kwa sababu wanaogopa kupigwa mawe na jamii kama watu wanaokufuru. Jamii zetu hazina yolerance kwa watu wasioamini uwepo Mungu.

Na watu wanaosema wanaamini Mungu wanazawadiwa kupata networks misikitini, makanisani etc.

Kwa hivyo si ajabu kuona wasomi wengi wanajinadi wanamuamini Mungu wakati hawamuamini.

This is not to say Dr. Assad hamuamini Mungu.

This is to say wasomi wengi wa Tanzania hawamuamini Mungu, wangemuamini wasingeiba sana kiasi cha kumfanya Dr. Assad kuwa mtu maarufu kwa kazi yake ya CAG.

Mfano wako hauoneshi kwamba kuna wasomi wengi wanaamini Mungu.

Mfano wako unaonesha wasomi wengi hawaamini Mungu, ika wana fake tu kwamba wanaamini Mungu.

Wangeamini Mungu hata CAG Assad asingejulikana, ripoti zake zingekuwa very boring kwa sababu kusingekuwa na wizi.

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Again. The truth teller
 
Sawa Ila whatever choices I make hazina infinite consequences, Ila ukikosea kuabudu Mungu mmoja kati ya 3000 wa dunia una risk kuunguzwa milele....na huwezi thibitisha kwamba Mungu yoyote wa ukweli au Kuna moto wa milele, Ila unaamini Mungu mmoja Kati ya wote, so Kama una bet tu...mi sibet Sasa ndo tofauti ya Mimi na wewe
Swali langu utamuamini kwa uthibitisho upi huyo mtu?
 
Huwezi ukawa na fikra finyu ukatunga kitu kinaishi
Inaishi coz ni kweli na inamake sense, au inaishi coz una vitisho vya moto, umesambazwa na watawala kwa watawaliwa mostly by force na pia inasambazwa kwa watoto katika umri ambao wanaamini undertaker alikufa akafufuliwa na Kane kwa uchawi.
 
Back
Top Bottom