Nomeongelea elimu za jamii nzima as a collective.
Huko Africa kuna tatizo la elimu ya jamii nzima.
Ndiyo maanaunaweza kuwa na rais ana Ph.D ya Chemistry lakini anapinga chanjo wakati hajapinga kunywa kikombe cha babu.
Kwa sababu hajui basic logical thinking, critical thinking, kazoea maisha ya kupigwapigwa tangu mtoto, anafanya maamuzi kimagutu magutu.
Zaidi, wasomi wengi wa Africa wanatumia dini kama "virtue signaling" na "shortcut to gain the morality currency".
Africa usiposema unampenda Mungu unapoteza wapiga kura na ukisema huamini Mungu unaweza kuindolewa kazini.
So, watu wengi wana maswali mengi sana kuhusu Mungu lakini hawawwzi kusema wazi kwa sababu wanaogopa kupigwa mawe na jamii kama watu wanaokufuru. Jamii zetu hazina yolerance kwa watu wasioamini uwepo Mungu.
Na watu wanaosema wanaamini Mungu wanazawadiwa kupata networks misikitini, makanisani etc.
Kwa hivyo si ajabu kuona wasomi wengi wanajinadi wanamuamini Mungu wakati hawamuamini.
This is not to say Dr. Assad hamuamini Mungu.
This is to say wasomi wengi wa Tanzania hawamuamini Mungu, wangemuamini wasingeiba sana kiasi cha kumfanya Dr. Assad kuwa mtu maarufu kwa kazi yake ya CAG.
Mfano wako hauoneshi kwamba kuna wasomi wengi wanaamini Mungu.
Mfano wako unaonesha wasomi wengi hawaamini Mungu, ika wana fake tu kwamba wanaamini Mungu.
Wangeamini Mungu hata CAG Assad asingejulikana, ripoti zake zingekuwa very boring kwa sababu kusingekuwa na wizi.
Sent from my SM-S908U1 using
JamiiForums mobile app