Mungu Yuko wapi?

[emoji16][emoji16][emoji16] nikudhibitishie ili nifaidike na nin mkuu ,sioni haja ya kufanya hivyo mkuu ,kula ugali , lala sio kila kitu nichakujua.
Hahaha we ndo ule ugali...we huwezi thibitisha...we hujui unachokiamini unafata mkumbo coz unaogopa kuchomwa baada ya kufa. Which doesn't make sense huna mwili afu unaungua ..soma biology form 2 uelewe pain receptors ni zipi na ziko wapi afu uniambie unaunguaje baada ya kufa...
 
Mbinguni ni Mbinguni hutaweza kupajua kila sehemu wewe unapajua hata Namibia kweli ?
😂Ila Kuna watu wanaishi Namibia naweza video call na mtu wa Namibia... Naweza nikaenda nikarudi...Ila mbinguni ni story za mababu wa kale wasio na ujuzi wa dunia
 
Unataka niguse links zenye kuelezea waarabu jinsi wanavyozidi kusoma na kuondoka kwenye imani wakati bado kuna hoja ni elimu ya aina gani? Maana hata huku afrika wapo wengi tu waliyosoma ila umeingiza masuala ya aina ya elimu, mitazamo ya jamii husika,masuala ya siasa, mara tena unasema wangekuwa wanaamini Mungu wasingekuwa wanafanya sana ufisadi.
 
we umesoma biology Ila unaamini mwili kufa na kufufuka, unaamini bikra kuzaa, unaamini magonjwa kuponywa kwa kupigiwa kelele au kuongea mwenyewe, unaamini matatizo ya akili ni mapepo, unaamini watu kupaa, unaamini species zote duniani zilijaa kwenye boat ya mtu mwenye miaka 600. Sasa we elimu yako ya biology tu ya form 2 imekusaidia nini zaidi ya chetu tu.
 
Mimi nazungumzia utajiri kwa maana kutokuwa masikini na huduma bora za afya, sizungumzii wamepataje huo utajiri bali nazungumzia kitu ambacho kipo.
 

Kwamba ulitaka mtu awe Doctor ndio uone kafaidika na elimu yake au?
 
Kama watanzania mna elimu tengenezeni Simu, magari, chanjo na pelekeni mtu mwezini. If not mna basic knowledge tu...sio elimu ya kuvumbua vitu .
Sasa hayo ya kuvumbua vitu yanahusikaje? Mbona unatoka nje ya reli?
 
Si character yake coz naiona, Sasa I can't answer this directly. We ishi na watu tofauti afu uone ur judgement. Plus mi kumtrust mtu na mwingine kumtrust kunaweza kuwa na sababu tofauti coz we have different mental abilities
Huo sio uthibitisho sasa.
 
Kujisikia vizuri sio uthibitisho sio wote waliolala na kushindwa kuamka kesho yake ni kwamba hawakuwa wakijisikia vizuri, na sio suala la afya yako tu hapo lolote laweza kutokea likafanya ushindwe kuamka.
 
Umejitekenya mwenyewe alafu unacheka hakuna mahali nmesema hicho unachokisema wewe.
 

Kama huamini yasemwayo na Maandiko Matakatifu kuhusu kifo na maisha baada ya kifo, mtafute Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Benjamin Msuya, anaweza akakusaidia katika hilo.

Ukikutana naye, mwulize alichokiona baada ya kufa kwa siku nne alipokuwa amepelekwa na Serikali ya Tanzania kutibiwa nchini Uingereza.
 
Mimi nazungumzia utajiri kwa maana kutokuwa masikini na huduma bora za afya, sizungumzii wamepataje huo utajiri bali nazungumzia kitu ambacho kipo.
Nimekuambiaje taja nchi ya kiislamu ambayo haina mafuta na partnership na marekani afu imekuwa social economically developed ..mbona unakimbia
 
Kwamba ulitaka mtu awe Doctor ndio uone kafaidika na elimu yake au?
😂Nataka mtu umake sense unachoamini coz umesoma unategemea na jamii uwaze vitu vya maana sio story za mtaani za mababu
 
Sasa hayo ya kuvumbua vitu yanahusikaje? Mbona unatoka nje ya reli?
Sasa mwanangu umesoma kila siku tunasoma point ya poor education system au unafananisha elimu yetu na elimu ya nchi zilizoendelea
 
Kujisikia vizuri sio uthibitisho sio wote waliolala na kushindwa kuamka kesho yake ni kwamba hawakuwa wakijisikia vizuri, na sio suala la afya yako tu hapo lolote laweza kutokea likafanya ushindwe kuamka.
It's a better explanation...elewa...hatuwezi kujua kila kitu lakini kubase uelewa wako wa vitu kwa story za mababu wayahudi na waarabu siziso make sense logically na kuforce watu kuamini tu ili wasichomwe... isn't a good explanation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…