Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui kitu chake ni Mungu si ndio...Kama hujui nani kaiba mkoba wako jibu litakuwa Mungu mpaka umpate aliyekuibia, kama hujui rais wa Nicaragua ni nani anakuwa Mungu mpaka ujue rais wa Nicaragua ni nani ndo anaacha kua Mungu, hii Ni argument from ignorance, Kama kitu hukijui unakitafuta mpaka upate jibu hauanzi na kukipa jibu na kusema Hilo tu ndo jibu, hii sio logic na ni dhana ya kivivu katika kufikiria na kujenga hoja katika mdahalo wowote
Sijasema hayupo, nimesema Mungu wa Biblia hawezi kuwepo kwa sababu sifa na story zake zinajicontradict. Kama Kuna creator huko sawa Ila sio wa Biblia, na pia huyo creator lazma awe na creator wake pia so Bora niamini kuwa ulimwengu ulikuwepo coz Nikisema ulikuwa na creator naanzisha maswali mengi kuliko majibuSASA KAMA HUJUI NA UNATAFUTA BADO KWANINI UHITIMISHE KUTOKUWEPO KWAKE?
Umezaliwa hujui chochote kuhusu siri za maisha, kifo na uumbaji na utakufa hujui chochote kuhusu maisha, kifo na uumbaji, hakuna lolote ujualo.
PROVE ME WRONG.
Skia. Soma evolution, niambie ulipoambiwa kwamba binadamu tunatoka na nyani afu urudi hapa. Kama kitu hukielewi kifuatilie, unaona mtu yoyote anabishana kuhusu evolution hapa, au...tumia akili Soma evolution uielewe afu ujibu maswali yako...ukiwa una msaada utaniambiaNibora nimuamini Mungu asiyeoneka kuliko kumuamini binaadamu kama mimi anayejiita mwanasayansi nakusema wanadamu tumetokana na nyani,xaxa mbona hao nyani wengine hawabadiliki kuwa binaadamu?
Biblia ni suala la dini. Dini ni jambo lililozaliwa baada ya imani ya uwepo wa MUNGU. Dini inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi ndo maana zipo nyingi. Wewe kusema hakuna MUNGU wa biblia ni sawa na mwingine kusema hakuna ng'ombe ambaye ni MUNGU anayeabudiwa na wahindi.Sijasema hayupo, nimesema Mungu wa Biblia hawezi kuwepo kwa sababu sifa na story zake zinajicontradict. Kama Kuna creator huko sawa Ila sio wa Biblia, na pia huyo creator lazma awe na creator wake pia so Bora niamini kuwa ulimwengu ulikuwepo coz Nikisema ulikuwa na creator naanzisha maswali mengi kuliko majibu
hacha mameno mengi nieleze viumbe hai (mimea na wanyama)vyote hivi duniani vilitokea wapi natena vyote vikawa vinategemeana kwa ustadi mkubwa ili tu vizazi vyao viendelee kuishi kwa miaka na miaka??? Usije tu na mada za coincindence hapaSkia. Soma evolution, niambie ulipoambiwa kwamba binadamu tunatoka na nyani afu urudi hapa. Kama kitu hukielewi kifuatilie, unaona mtu yoyote anabishana kuhusu evolution hapa, au...tumia akili Soma evolution uielewe afu ujibu maswali yako...ukiwa una msaada utaniambia
Mungu yupo mbinguni, na aliumba hii duniani na vyote viijazavyo, unaomba uthibitisho nakupa uthibitisho ukiona kivuli chako ndo wewe Sasa na Mungu wa kivuli chako yupo hivyo katika roho siku mwili ukifa hicho kivuli chako ndo kitapaa kwenda ulipoandaa maisha yako yawe wapi, ukijua kutumia kivuli chako kuwasiliana na Mungu utaweza kuwasiliana naye, Sasa unapokuwa tumboni mwa mama yako baada ya kupata umbo la mwili , Mungu anapuliza pumzi yake ambayo ndo huyo kivuli chako, Sasa basi sayansi inakomea kwenye umbo la mwili pekee, kuhusu dini ndo ni dini za wanadamu na wengine ni kweli wanaabudu miungu na Mungu amewaacha maana anaangalia matendo ya mtu anayoishi hapa duniani na siyo dini yake na kitakachookoa hicho kivuli chako au kukiangamiza ni matendo yako na hayo matendo ni jinsi utavyokuwa unatenda haki hapa duniani.Kama mtu anaamini kweli Mungu yupo, na anahesabu dhambi, na atatoa adhabu, hawezi kufanya kinyume na maagizo ya Mungu huyo.Mungu huyo alivyojengwa kidhana ni mkubwa sana na ana nguvu sana kumuasi.
Watu kufanya dhambi ni aina fulani ya kupiga kura ya kutokuwa na imani ya uwapo wa huyo Mungu.
Bado actions speaks louder than words, whether consciously or subconsciously.
Yani hata wewe ukifikiri unaamini Mungu yupo, ukajua kakataza kuiba, halafu ukaiba, hiyo ni rebellion inayotoa statement kwamba huamini sana kwamba Mungu yupo na atakuadhibu kwenda kwenye moto wa milele kwa dhambi zako. Watu wengi sana hawaamini Mungu yupo, wangeamini, dunia ingekuwa tofauti sana na ilivyo sasa.
In any case, huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Mungu yupo mbinguni, na aliumba hii duniani na vyote viijazavyo, unaomba uthibitisho nakupa uthibitisho ukiona kivuli chako ndo wewe Sasa na Mungu wa kivuli chako yupo hivyo katika roho siku mwili ukifa hicho kivuli chako ndo kitapaa kwenda ulipoandaa maisha yako yawe wapi, ukijua kutumia kivuli chako kuwasiliana na Mungu utaweza kuwasiliana naye, Sasa unapokuwa tumboni mwa mama yako baada ya kupata umbo la mwili , Mungu anapuliza pumzi yake ambayo ndo huyo kivuli chako, Sasa basi sayansi inakomea kwenye umbo la mwili pekee, kuhusu dini ndo ni dini za wanadamu na wengine ni kweli wanaabudu miungu na Mungu amewaacha maana anaangalia matendo ya mtu anayoishi hapa duniani na siyo dini yake na kitakachookoa hicho kivuli chako au kukiangamiza ni matendo yako na hayo matendo ni jinsi utavyokuwa unatenda haki hapa duniani.
Sasa basi watu wa kale unaosema walitengeneza hizi dini ni kweli wao walipata bahati ya kuwasiliana na Mungu wakapewa Sheria za kutumia kutenda haki hapa dunia, Sasa hao watu ndo wakati wa kuandika Sheria za Mungu katika vitabu ndo wakawa wanaweka na maisha Yao hapa duniani kitu kinachofanya useme hivyo ni vitabu tu ni kwa vile unasoma maisha ya watu wa kale kwenye vitabu vilivyo na Sheria za Mungu.
Kuhusu baada ya kufa mwili unabaki hapa duniani na kuoza ni kweli kabisa ila hicho kivuli chako kitachukuliwa sehemu husika kulingana na matendo yako kikiwa kinasubiri mwisho wa dunia.
Sasa basi Mungu anasema chochote alichoumba yeye kitakuwa na mwanzo na mwisho na ulimwengu pia au dunia itakuwa na mwisho Sasa hapo ndo atatuma Masihi aje kuchukua roho au vivuli vyote na kufumba na kufumbua vivuli vyote vitakusanyika na wale waliokatika mwili watakufa hapo hapo na kutolewa vivuli vyao Sasa basi watapewa roho zote nafasi ya mwisho kuchagua Mungu au kuishi eneo la kuwatesa vivuli vyao kwa mabaya Yao maana Mungu ni haki basi atachukua wenye haki kwenye dini yoyote na wasiotenda haki nao wakatendwe vivyo hivyo maana sehemu zimeandaliwa mbili tu, baada ya hapo Dunia itakunjwakujwa kama karatasi na mwisho wake ufike.
Basi hata wewe unaweza ukawa unampinga Mungu hapa kumbe ni ulimtafuta akutokee ukiwa katika mwili wa damu na nyama, huisha hicho kivuli chako utakuwa unawasilana naye kwa njia ya ndoto na hii body yako itakuwa inapewa ishara ya matukio pale kivuli chako kikiwa kimehuishwa na body yako ikiwa inatendea viumbe wenzake haki kwakupitia Sheria za Mungu.
Nakuuliza kuhusu uongo mmoja (Mungu) unanijibu uongo mwingine (mbinguni).Mungu yupo mbinguni, na aliumba hii duniani na vyote viijazavyo, unaomba uthibitisho nakupa uthibitisho ukiona kivuli chako ndo wewe Sasa na Mungu wa kivuli chako yupo hivyo katika roho siku mwili ukifa hicho kivuli chako ndo kitapaa kwenda ulipoandaa maisha yako yawe wapi, ukijua kutumia kivuli chako kuwasiliana na Mungu utaweza kuwasiliana naye, Sasa unapokuwa tumboni mwa mama yako baada ya kupata umbo la mwili , Mungu anapuliza pumzi yake ambayo ndo huyo kivuli chako, Sasa basi sayansi inakomea kwenye umbo la mwili pekee, kuhusu dini ndo ni dini za wanadamu na wengine ni kweli wanaabudu miungu na Mungu amewaacha maana anaangalia matendo ya mtu anayoishi hapa duniani na siyo dini yake na kitakachookoa hicho kivuli chako au kukiangamiza ni matendo yako na hayo matendo ni jinsi utavyokuwa unatenda haki hapa duniani.
Sasa basi watu wa kale unaosema walitengeneza hizi dini ni kweli wao walipata bahati ya kuwasiliana na Mungu wakapewa Sheria za kutumia kutenda haki hapa dunia, Sasa hao watu ndo wakati wa kuandika Sheria za Mungu katika vitabu ndo wakawa wanaweka na maisha Yao hapa duniani kitu kinachofanya useme hivyo ni vitabu tu ni kwa vile unasoma maisha ya watu wa kale kwenye vitabu vilivyo na Sheria za Mungu.
Kuhusu baada ya kufa mwili unabaki hapa duniani na kuoza ni kweli kabisa ila hicho kivuli chako kitachukuliwa sehemu husika kulingana na matendo yako kikiwa kinasubiri mwisho wa dunia.
Sasa basi Mungu anasema chochote alichoumba yeye kitakuwa na mwanzo na mwisho na ulimwengu pia au dunia itakuwa na mwisho Sasa hapo ndo atatuma Masihi aje kuchukua roho au vivuli vyote na kufumba na kufumbua vivuli vyote vitakusanyika na wale waliokatika mwili watakufa hapo hapo na kutolewa vivuli vyao Sasa basi watapewa roho zote nafasi ya mwisho kuchagua Mungu au kuishi eneo la kuwatesa vivuli vyao kwa mabaya Yao maana Mungu ni haki basi atachukua wenye haki kwenye dini yoyote na wasiotenda haki nao wakatendwe vivyo hivyo maana sehemu zimeandaliwa mbili tu, baada ya hapo Dunia itakunjwakujwa kama karatasi na mwisho wake ufike.
Basi hata wewe unaweza ukawa unampinga Mungu hapa kumbe ni ulimtafuta akutokee ukiwa katika mwili wa damu na nyama, huisha hicho kivuli chako utakuwa unawasilana naye kwa njia ya ndoto na hii body yako itakuwa inapewa ishara ya matukio pale kivuli chako kikiwa kimehuishwa na body yako ikiwa inatendea viumbe wenzake haki kwakupitia Sheria za Mungu.
Ng'ombe sio Mungu wa wahindi, hii dhana ni potovu na ya uongo, Mungu wa wahindi ni kina Krishna huko.Biblia ni suala la dini. Dini ni jambo lililozaliwa baada ya imani ya uwepo wa MUNGU. Dini inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi ndo maana zipo nyingi. Wewe kusema hakuna MUNGU wa biblia ni sawa na mwingine kusema hakuna ng'ombe ambaye ni MUNGU anayeabudiwa na wahindi.
Instead of kuongea mwenyewe in the process of kuomba, unipe msaada wewe Kama unao, Kama ni kuombewa au kulogwa mbona ningekuwa ningekuwa nishabadilikaHuyu jamaa me nimempenda saana, ameishughulisha akili yake vzr. Akielimishwa akaamini kdg tu hatofanya shughuli nyingine, atakesha akiswali na kutubu. Namuombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na ardhi ampe wepesi wa kumuamini na kumtambua.
Endelea kujifunza ndugu ipo siku utaelewa tu!