Vizuri, utakuwa umesoma dini zote lakini sidhani kama umezifahamu, hivyo tafuta walimu wakufunze vizuri ili upate kuzifahamu uzuri.Nimesoma zote, so don't make assumptions, na pia uje na mifano ya kitabu Cha wahindi na story za kigiriki pia ndio nitakuelewa
Mfano ni risitiSijakuuliza umuhimu wa uthibitisho bali nimekuomba unipe mfano wa kuamini kwa uthibitisho. Sijui kama unaelewa?
Unachosema ni kuwa imani za dini hazina mchango wowote wa maadili katika jamii.1. So kama hujui jibu la rais wa Nicaragua jibu lake atakuwa Mungu mpaka utakapopata jibu?
2. So wewe bila kuwa na dini ambayo inakuambia sheria za Mungu wa dini hiyo, kusingekuwa na sababu ya kutoua na kutoiba? So katiba za nchi zimeweka sheria ili kumfurahisha Mungu na sio kufaidisha watu?
Kila mwalimu anatetea kwake ndo ukweli. Na wao wanajua hizi contradictions zipo wanajua havimake sense ndo maana hawakuambii. Ukisoma hivi vitabu mwenyewe ndo utaona, story zao ni zile zile Yesu Mara Musa Mara nani Ila sehemu za Biblia ambazo Zina contradictions kimaadili au kilogic hawazisomi makanisani. So huwezi jua wataishia kukusomea juu juu alafu waombe sadaka yako. Ndo mi staki. Kama Biblia imeletwa ili nisome nitasoma so mtu asinifundishe kusoma kwa sababu aliyeandika hakusema hapa pasomwe hivi na pale pasomwe vile, so mtu hawezi nielekeza jinsi ya kusoma Biblia anavyoelewa yeye. Nitaisoma nikiona Ina makosa nasema Ina makosa naiweka pembeniVizuri, utakuwa umesoma dini zote lakini sidhani kama umezifahamu, hivyo tafuta walimu wakufunze vizuri ili upate kuzifahamu uzuri.
Mimi si mjuzi wa hizo imani nyingine.
Unalazimisha mambo. Dini ilifuata baada ya imani ya uwepo wa MUNGU. Imani ya MUNGU haizuii uvumbuzi. Wenzetu hawafanyi uvumbuzi sababu hawaamini MUNGU yupo.Huwezi sema Imani na dini ni vitu tofauti kitendo Cha kuamini Mungu yupo ni kutokana na dini kukuambia yupo, ndo maana wewe una dini Fulani, huwezi tenganisha dini na Mungu. Soma general studies form 5 kwenye topic ya philosophy uone religion Ina comprise vitu gani, yaani tatizo elimu tunayo lakini tunasoma tujibu mtihani. Mtu anaelimu Yake ya biology history physics chemistry GS Ila anaamini mapepo na mauchawi wenzetu wanasoma na wanavumbua magari machanjo ndege smartphone internet sisi tunasoma ili tufaulu mtihani tuwe na cheti tuajiriwe ofisini
Nchi zenye dini Zina ugomvi, ufisadi, ubaguzi, wizi, ujambazi, mauaji mengi kuliko nchi zisizo na asilimia kubwa ya watu wenye dini. Watu wengi wamekufa katika jina la Mungu fulani kuliko kwa kitu chochote duniani. Huwezi sema dini inawapa watu maadili wakati inawaambia watu hata wawe jau kivipi wakitubu na kuamini wamesamehewa, huwezi leta mtu mwema hapa ata siku moja. Imagine mahakamani mtu ameua mtoto wako afu judge anampiga mtoto wake na anasema ukiamini ndo kesi imeisha usipoamini kuwa mtoto wake kapigwa kwa ajili ya mtoto wako unaunguzwa milele, unadhani tungekuwa na mahakama. Tumia akili, Kama we haubaki na kuuwa watu kisa moto bac we uende mirembe ukapimwe akiliUnachosema ni kuwa imani za dini hazina mchango wowote wa maadili katika jamii.
Maswali mengine hata hayana haja ya kuyajibu.
Huku ndo kupuyanga sasa. Ukiona mtu anamtafuta MUNGU tayari alishaamini yupo. Nilishakuambia, inaanza imani ya uwepo wa MUNGU ndipo inafata dini. Wewe tatizo lako ni nini? Dini au imani ya uwepo wa MUNGU? Ukishasema mlete MUNGU hapa tayari uneingia kwenye dini yangu, nitakuletea MUNGU ninayemfahamu, wewe utamkubali?Mi sijasema najiamini. Mbona hamjibu hoja. Kama yupo mlete hapa
Ni nchi zipi zilizo na% kubwa ya watu wasio na imani?Nchi zenye dini Zina ugomvi, ufisadi, ubaguzi, wizi, ujambazi, mauaji mengi kuliko nchi zisizo na asilimia kubwa ya watu wenye dini. Watu wengi wamekufa katika jina la Mungu fulani kuliko kwa kitu chochote duniani. Huwezi sema dini inawapa watu maadili wakati inawaambia watu hata wawe jau kivipi wakitubu na kuamini wamesamehewa, huwezi leta mtu mwema hapa ata siku moja. Imagine mahakamani mtu ameua mtoto wako afu judge anampiga mtoto wake na anasema ukiamini ndo kesi imeisha usipoamini kuwa mtoto wake kapigwa kwa ajili ya mtoto wako unaunguzwa milele, unadhani tungekuwa na mahakama. Tumia akili, Kama we haubaki na kuuwa watu kisa moto bac we uende mirembe ukapimwe akili
Ukishaamini kuwa Kuna lijitu lipo limakufanyia kila kitu, matokeo yake ni ukiiumwa unaongea ugonjwa upotee ukifa kisa huo ugonjwa unajiaminisha ni mipango ya Hilo lijitu na utaenda kuishi nae mawinguni. Tofauti ya mtu ambae haamini ni kwamba, anajua yeye ndo atatatua matatizo yake hence atengeneza dawa atazuia kufa kwa sababu anajua maisha ndo haya hayaUnalazimisha mambo. Dini ilifuata baada ya imani ya uwepo wa MUNGU. Imani ya MUNGU haizuii uvumbuzi. Wenzetu hawafanyi uvumbuzi sababu hawaamini MUNGU yupo.
Sweden, Norway, Denmark, France, estoniaNi nchi zipi zilizo na% kubwa ya watu wasio na imani?
Hivyo ushaprove kwamba dini na Mungu hawawezi kuwa separate, ndo maana nikikuambia umlete Mungu unamleta Mungu wa dini yako. So bila dini yako huyo Mungu hayupo.Huku ndo kupuyanga sasa. Ukiona mtu anamtafuta MUNGU tayari alishaamini yupo. Nilishakuambia, inaanza imani ya uwepo wa MUNGU ndipo inafata dini. Wewe tatizo lako ni nini? Dini au imani ya uwepo wa MUNGU? Ukishasema mlete MUNGU hapa tayari uneingia kwenye dini yangu, nitakuletea MUNGU ninayemfahamu, wewe utamkubali?
Hapa unaongelea dini fulani na unalazimisha kuwa kila anayeamini katika uwepo wa MUNGU anafanya mambo katika misingi ya dini hiyo. Aliyekuambia kuwa wenye imani ya uwepo wa MUNGU wote huamini kuwa watafanyiwa kila kitu na MUNGU ni nani?Ukishaamini kuwa Kuna lijitu lipo limakufanyia kila kitu, matokeo yake ni ukiiumwa unaongea ugonjwa upotee ukifa kisa huo ugonjwa unajiaminisha ni mipango ya Hilo lijitu na utaenda kuishi nae mawinguni. Tofauti ya mtu ambae haamini ni kwamba, anajua yeye ndo atatatua matatizo yake hence atengeneza dawa atazuia kufa kwa sababu anajua maisha ndo haya haya
So huyo Mungu kazi yake Nini? Na unamwamini kwa Nini?Hapa unaongelea dini fulani na unalazimisha kuwa kila anayeamini katika uwepo wa MUNGU anafanya mambo katika misingi ya dini hiyo. Aliyekuambia kuwa wenye imani ya uwepo wa MUNGU wote huamini kuwa watafanyiwa kila kitu na MUNGU ni nani?
Aisee unashida sana kuelewa.Hivyo ushaprove kwamba dini na Mungu hawawezi kuwa separate, ndo maana nikikuambia umlete Mungu unamleta Mungu wa dini yako. So bila dini yako huyo Mungu hayupo.
Unarudia maswali.So huyo Mungu kazi yake Nini? Na unamwamini kwa Nini?
Weka data hapa kuwa hizi nchi watu wake hawaamini MUNGU.Sweden, Norway, Denmark, France, estonia
Ukiweza kuziondoa, kimantiki, kwa namna isiyopingika, utakuwa umevunja msingi wangu wa kukataa kuwepo kwa Mungu huyo na kuweza kunifanya nisogee kwenye kukubali uwepo wake.Nimekuuliza kama ushahitimisha kwa kusema kuwa hakuna Mungu sasa kuondoa hizo contradictions kutafanya Mungu awepo?
Nikwasababu huyu yawe ameumba ulimwengu kwan hujui imani yao msingi ni nini?, na pia ndugu yangu hawa watu wanaamini kile chazo cha yote haya ambacho wamekipa jina Mungu nasio vinginevyo sasa kama we we unaweza kuwapinga wapinge kwa kuwaambia kwamba huu ulimwengu haujaumbwa na kile wanachokiabudu waoneshe chazo au wafundishe chazo cha ulimwengu huu baaaasi utakua umemaliza utata nao.Ye si mungu lakini....kwa Nini Mungu mmoja lakini dini 20k, Kuna miungu mingine huiabudu kwa Nini huamini kina Krishna na Zeus unaamini Yahweh na Allah. Una kigezo kipi Cha kuamini Mungu wa uarabuni na uyahudi na sio wa kabila lako
Uchawi upo ila kwa imani, labda kama haujui maana ya uchawi.Tatizo wewe umekariri na umeshikilia huo msimamo kwa kukariri tu kuwa hakuna uchawi, hapo mkuu hauna unachoweza kuelezea kuonyesha hakuna hicho kinachoitwa uchawi zaidi ya kukimbilia kutaka nithibitishe kama uchawi upo. Kama ambavyo mnavyosema kuwa afrika ndio kuna imani sana za uchawi ila nikikuuliza hapo ni matukio mangapi yenye kuhusishwa na uchawi umewahi kukutana nayo na ukayafuatilia na kugundua haikuwa uchawi kama ilivyoaminiwa?sidhani kama umewahi kufanya hivyo.