Mungu Yuko wapi?

Wewe jamaa nimuongo bana inamana unataka kuniambia hii Elimu ya usomaji biblia umeitoa wapi? Wakati biblia yenyewe mnasema ni muunganiko wa vitabu na sio vyuo?
 
Hoja yako ya kwamba wenye kufanya mambo yaliyokatazwa na Mungu ni kwamba wanafanya hivyo kwa sababu hawaamini Mungu imeishia vp?
Jamaa anataka kujua kwann Mungu aliumba watu ambao wanaweza kutokumwamini wakati yeye ni mjuzi wa kila kitu? Inamana Mungu anabahatishabahatisha mambo ndio maana alimuumba malaika bila kujua mwishowe atakuwa shetani? Yaani Mungu hana utofauti na Magu alivyomchagua mama Samia kuwa makamu bila kujua huyu makamu angeweza kuwa against pindi yeye hayupo?
 
Chai hii kaka kama sio ndoto
 
Okay so why uamini Mungu yupo, Kuna umuhimu gani, na kwa vigezo vipi alivyokupa? Naomba ujibu haya maswali bila kutumia dini
Lakini kuna mambo mengi wanasayansi wanavumbua miaka hii hlf wanakuta kitaambo yashaandikwa kwenye hivi vitabu, tena ktk wkt ambao hakuna teknolojia, vifaa wala wasomi wakubwa.

Mfano; Qur'an imeandika uzalishwaji wa mbegu za kiume unafanyika kweny uti wa mgongo na kupitia kwenye korodani ambako huhifadhiwa kabla ya kutoka na kua manii.
Mimi had namaliza sekondari tulifundishwa mbegu hizi huzalishwa kwenye korodani, baadae miaka hii ya karibuni ndio wanasayansi wamegundua zinazalishwa kwenye uti wa mgongo na si korodani.

Wao wanasayansi wanakiri "elimu" hii hawezi kua nayo mtu wa kawaida ambaye hakusoma kbs, hivyo kuna namna ya ukweli wa maneno hayo kutoka seheme yenye nguvu "inayoamnika".
Naomba niweke kituo kwanza.
 
Chai hii kaka kama sio ndoto
mkuu ushuhuda mwingine wakati nimelala usiku nilishitukia nimewekwa mtu kati na kisu kalibia na shingo yaani nasikia makali yake yaani sijui walitaka kufanyanini wale nguruwe na nisaa 8 usiku ,milango yote imefungwa jiulize wali ingiaje?, kilicho niokoa tena ni kutaja tu kwa jina la yesu!!, baada ya tukio lile imekuwa ni heshima tupu,ni mgeni kwenye eneo hili la moro ndanindani nipo kikazi.Af atokee mtu baki eti uchawi haupo
 
Tukio hili linafanana na lile la kwanza kwani ulikuta kidonda shingoni?
 
Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao,👉 (usimwage nje) ndugu mwandishi hapa ulimanisha nni ili niweze kuendelea kusoma maana hapo cjapaelewa 🙏
 
Umeweka hoja yako katika maswali na sio majibu. Badala ya wananzengo kukupa majibu wanapinga maswali tena.
Nami ngoja niskilizie labda kuna majibu.
 
Maelezo yako yameweka wazi kabisa vitu viwili hivi yani contraditions na kwamba uwepo wa Mungu ni hadithi tu, kwa maana hiyo kwako wewe suala la kuwepo Mungu ni hadhiti tu za kufikirika na hadithi zenyewe zina contradictions. Umeeleza kabisa kuwa hauwezi kujidanganya kama yupo kwa sababu ukweli ni kwamba hayupo ni hadithi tu.

Kwahiyo contraditions sio zenye kufanya upinge/useme hakuna Mungu bali unasema hakuna Mungu kwa sababu unajua kuwa suala la uwepo wa Mungu ni hadithi tu hivyo una uhakika hayupo.
 
Uchawi upo ila kwa imani, labda kama haujui maana ya uchawi.
Yaani ni imani isiyo na vitendo halisi imebakia stories Tu minaweza kusema uchawi ilikuwa story za mababu kuwadanganyia watoto wao ila hawakujua wanajenga kitu gani ndani ya mioyo yao.
Mkuu story za mababu zipo na zinasimuliwa hadi sasa, imani za kichawi ni tofauti na hadithi za kusimuliwa za mababu bali imani za kichawi zipo kwenye matendo na mfano mmoja ni uwepo wa waganga ambao sehemu kubwa ya shughuli zao au huduma zao ni kushugulika na masuala ya kichawi na sio kusimulia story za kichawi.

Sasa ukija na kusema et uchawi ni story tu ambazo hazipo kivitendo nakushangaa, uchawi sio story ni imani ambayo ipo kivitendo labda ungesema huko ulaya ndio sio sana watu kujihusisha na vitendo vya kichawi ndio maana wengi hawaamini uchawi ila sio afrika.
 
Ila maswali mengine ya kuchosha tu mkuu, kuna palipoandikwa kwamba Mungu hakujua kwamba kuna watu hawatomuamini?
 
Hapana.

Nasema Mungu hayupo kwa sababu. Sisemi hivyo bila sababu.

Sababu yangu ni kwamba, habari zinazomueleza huyo Mungu kuwepo zina contradictions, contradictions ambazo hujaweza kuzitatua.

Contradictions hizi zinaonesha Mungu hayupo, zinaonesha habari za kuwepo kwake ni hadithi za uongo za kutungwa na watu tu.

Ukizitatua contradictions hizo, sina sababu ya kutokubali uwepo wa Mungu. Kwa kuwa utakuwa umeondoa sababu zangu za kutokubali uwepo wa Mungu.

Tatua contradictions hizo, utanisaidia kuelewa kwamba Mungu yupo kweli.

Hakuna popote ambapo nimesema kwamba nikiondolewa sababu zangu za kutokubali uwepo wa Mungu, sitakubali uwepo wa Mungu.

Ondoa contradictions kwenye dhana ya uwepo wa Mungu.
 
Ni kweli kila mwalimu huvutia kwake, huenda hata huyo mwalimu aliyekufunza kuhusu itikadi yako naye kavutia kwake. Hizo contradictions ambazo unazizungumza huenda zikawa na majibu ila kwa kuwa ufahamu wetu haujafikia kudiriki maana halisi ya hizo unazoziita fikra kinzani ndiyo maana tunapata tabu. Swala la Mungu huwezi kulifumbua kwa kutumia logic pekee.
Tatizo kwa wakati wetu huu tuliyonao kumezuka na mtindo wa baadhi ya watu kutumia imani za dini kujinufaisha kiuchumi na huenda hata huko nyuma kuna baadhi ya watu walizitumia dini katika manufaa yao ya kiutawala na kiuchumi, hatuwezi kusema kwamba hapakuwa na watu waliyokuja na imani thabiti ya Mungu ambayo kama ingefuatwa basi mijadala kama hii isingekuwepo.
 
Ila maswali mengine ya kuchosha tu mkuu, kuna palipoandikwa kwamba Mungu hakujua kwamba kuna watu hawatomuamini?
Hapajaandikwa lakin je! Kwann aumbe watu ambao hawatomuamini? Au alifanya hivi ili akawachome moto?!
 

hii kitu ya kuganda usingizini ishanitokea sana mkuu
 
Kwa mfano wako uliotoa...hao wakristo au waislamu na wengine wote Wana dini au hawana?
 
33% is no religion...na huwezi kuwa unaamini Mungu bila dini coz huwezi separate Mungu na dini. Since huwezi prove me wrong hao 33% bado ni asilimia kubwa ya watu wasio na dini compared to nchi za Africa. Na France unaona sio wenzetu kitechnology. So umeprove point yangu
 
Okay ukisema hivyo...huyo anayepangilia, anapangiliwa na nani? Just because u don't know something doesn't mean God did it. Ndo maana wenzetu wanaitafiti wanatafuta majibu we unakaa kuhisi ni Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…