Mungu Yuko wapi?

Kuna tofauti gani na kitu ambacho hakionekani, hakishikiki, hakinusiki, hakionjeka, hakiskiski, kinatofautiana maelezo kutoka kwa watu na sehemu, hakipimiki, hakina mantiki... Na kitu ambacho hakipo kabisa. Tofauti ya hivi vitu viwili ni Nini?
Kitu ambacho hakipo kabisa hakina athari za kuwepo, vitu kama furaha au chuki tunaona athari zake tu japo vyenyewe hatuvioni wala kuvishika.
 
Kwahiyo hakuna ushahidi wa kisayansi na wakati huo huo hakuna utafiti wowote wa kisayansi unaofanywa kujua ukweli kwamba Mungu au hayupo?
1. Tafiti zimeanzishwa kwenye kuhoji bible na Quran na vitabu vingine vya dini, ikajulikana vina makosa ya kisayansi, KIMANTIKI, kimaadili, kihistoria so haviwezi kuwa vya mungu.
2. Tafiti nyingine ni kwenye personal experience za watu ikajulikana watu Wana hallucinations tu, we unaweza tokewa na malaika chumbani ukatuhadithia kumbe ni akili yako Ina mauzauza..so that ikawa out
3. Prayer imekuwa tested Mara kibao imeonekana kwamba hamna proof ya direct positive effect ya prayer so mtu ukimwombea haina difference na usipomwombea
4. Argument ya nature imekuwa disproven huwezi sema nature is beautiful wakati Kuna magonjwa, disasters, mateso, mauaji throughout all areas of life, so huwezi sema a perfect god made this.
5. Argument ya popularity pia imedismiss coz watu wengi wanaweza amini kitu wrong pia. Kama zamani flat earth na jua kuzunguka dunia.
6. Science pia inasema kwamba it's unlikely the earth was made before the sun and stars 6000 years ago in 6 days. Wakati Kuna archaeological data inaonyesha vitu vya million of years ago...
7. Ukisema "universe can't exist out of nothing" unabaki na unanswered question huyo Mungu katoka wapi, ukisema alikuwepo tu siku zote, ๐Ÿ˜‚alikuwa anafanya Nini na wapi na mda uliendaje mpaka akaboreka akaamua kutengeza ulimwengu? ๐Ÿ˜So the god hypothesis fails apart completely with the question haya who created god...if noone bac na the universe inaweza ikawa imeexist bila creation ya a male Judeo-Christian god
 
Kitu ambacho hakipo kabisa hakina athari za kuwepo, vitu kama furaha au chuki tunaona athari zake tu japo vyenyewe hatuvioni wala kuvishika.
Furaha evidence yake ni smiles, vibes, presents, good words, hizi ni evidence. Na unaweza trace kwamba zinacome from happiness kwa sababu Kuna hormones zinawork na hivi vitu ..so it can be proven scientifically through biology...๐Ÿ˜‚haya leta evidence ya Roho
 
Ili kumaliza utata wa hayo yote na uweze kujua kuwa hakika hakuna Mungu kufanyike utafiti wa kisayansi ili tuwe na majibu ya kisayansi. Mfano hoja ya maombi ukisema ukimwombea mtu inakuwa sawa na kutomuombea hilo sijui tafiti mmefanyia wapi? Maana maombi ni sehemu ya maisha ya watu ya kila siku kutokana na changamoto mbalimbali.
 
Sio kila anaye smile ni kweli anafuraha unaweza ukaonyesha tabasamu ili hali una hasira hivyo huwezi kusema et smile ni evidence ya furaha.
 
Ingia Google search "prayer studies, a scientific investigation on prayer" wazungu wamefanya tafiti kuangalia effectiveness of prayer wamegundua hamna tofauti...we utaambiwa tu mtu akipata alichokiomba kwamba Mungu katenda wakati ye mwenyewe kafanya kazi na asipopata utaskia ni mipango ya Mungu...๐Ÿคฃyaani Mungu amekuwa Kama ticket ya kubeti... We tafuta hata AI uliza kuhusu scientific investigation on prayer hata chat gbt watakupa majibu Kama huamini google
 
Sio kila anaye smile ni kweli anafuraha unaweza ukaonyesha tabasamu ili hali una hasira hivyo huwezi kusema et smile ni evidence ya furaha.
Ndo maana sijaishia kwenye smiles tu... Soma message nzima
 
Niwekee link.

Mkuu tunapozungumzia maombi ni kwamba ni kitu ambacho ni sehemu ya maisha yetu kwa maana kuanzia kuondoa shida,maradhi na hata kupata unachotaka. Wapo watu shughuli zao za kila siku ni kufanyia watu dua kwa shida na mahitaji mbalimbali(sizungumzii miujiza) sijui kama unajua hili?
 
 
Hii Dunia imeumbwa katika mfumo wa muda. Na huyo Mungu anaishi nje ya huu mfumo yaan hana muda
Bro Mungu anapatikana kwenye unyenyekevu. One's umeamua kutaka kumjua na kumuishi ukajishusha utapata mwanga na majibu yote magumu uliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ