Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Kuna tofauti gani na kitu ambacho hakionekani, hakishikiki, hakinusiki, hakionjeka, hakiskiski, kinatofautiana maelezo kutoka kwa watu na sehemu, hakipimiki, hakina mantiki... Na kitu ambacho hakipo kabisa. Tofauti ya hivi vitu viwili ni Nini?
Kitu ambacho hakipo kabisa hakina athari za kuwepo, vitu kama furaha au chuki tunaona athari zake tu japo vyenyewe hatuvioni wala kuvishika.
 
Kwahiyo hakuna ushahidi wa kisayansi na wakati huo huo hakuna utafiti wowote wa kisayansi unaofanywa kujua ukweli kwamba Mungu au hayupo?
1. Tafiti zimeanzishwa kwenye kuhoji bible na Quran na vitabu vingine vya dini, ikajulikana vina makosa ya kisayansi, KIMANTIKI, kimaadili, kihistoria so haviwezi kuwa vya mungu.
2. Tafiti nyingine ni kwenye personal experience za watu ikajulikana watu Wana hallucinations tu, we unaweza tokewa na malaika chumbani ukatuhadithia kumbe ni akili yako Ina mauzauza..so that ikawa out
3. Prayer imekuwa tested Mara kibao imeonekana kwamba hamna proof ya direct positive effect ya prayer so mtu ukimwombea haina difference na usipomwombea
4. Argument ya nature imekuwa disproven huwezi sema nature is beautiful wakati Kuna magonjwa, disasters, mateso, mauaji throughout all areas of life, so huwezi sema a perfect god made this.
5. Argument ya popularity pia imedismiss coz watu wengi wanaweza amini kitu wrong pia. Kama zamani flat earth na jua kuzunguka dunia.
6. Science pia inasema kwamba it's unlikely the earth was made before the sun and stars 6000 years ago in 6 days. Wakati Kuna archaeological data inaonyesha vitu vya million of years ago...
7. Ukisema "universe can't exist out of nothing" unabaki na unanswered question huyo Mungu katoka wapi, ukisema alikuwepo tu siku zote, 😂alikuwa anafanya Nini na wapi na mda uliendaje mpaka akaboreka akaamua kutengeza ulimwengu? 😁So the god hypothesis fails apart completely with the question haya who created god...if noone bac na the universe inaweza ikawa imeexist bila creation ya a male Judeo-Christian god
 
Kitu ambacho hakipo kabisa hakina athari za kuwepo, vitu kama furaha au chuki tunaona athari zake tu japo vyenyewe hatuvioni wala kuvishika.
Furaha evidence yake ni smiles, vibes, presents, good words, hizi ni evidence. Na unaweza trace kwamba zinacome from happiness kwa sababu Kuna hormones zinawork na hivi vitu ..so it can be proven scientifically through biology...😂haya leta evidence ya Roho
 
Ili kumaliza utata wa hayo yote na uweze kujua kuwa hakika hakuna Mungu kufanyike utafiti wa kisayansi ili tuwe na majibu ya kisayansi. Mfano hoja ya maombi ukisema ukimwombea mtu inakuwa sawa na kutomuombea hilo sijui tafiti mmefanyia wapi? Maana maombi ni sehemu ya maisha ya watu ya kila siku kutokana na changamoto mbalimbali.
 
Sio kila anaye smile ni kweli anafuraha unaweza ukaonyesha tabasamu ili hali una hasira hivyo huwezi kusema et smile ni evidence ya furaha.
 
Ili kumaliza utata wa hayo yote na uweze kujua kuwa hakika hakuna Mungu kufanyike utafiti wa kisayansi ili tuwe na majibu ya kisayansi. Mfano hoja ya maombi ukisema ukimwombea mtu inakuwa sawa na kutomuombea hilo sijui tafiti mmefanyia wapi? Maana maombi ni sehemu ya maisha ya watu ya kila siku kutokana na changamoto mbalimbali.
Ingia Google search "prayer studies, a scientific investigation on prayer" wazungu wamefanya tafiti kuangalia effectiveness of prayer wamegundua hamna tofauti...we utaambiwa tu mtu akipata alichokiomba kwamba Mungu katenda wakati ye mwenyewe kafanya kazi na asipopata utaskia ni mipango ya Mungu...🤣yaani Mungu amekuwa Kama ticket ya kubeti... We tafuta hata AI uliza kuhusu scientific investigation on prayer hata chat gbt watakupa majibu Kama huamini google
 
Niwekee link.

Mkuu tunapozungumzia maombi ni kwamba ni kitu ambacho ni sehemu ya maisha yetu kwa maana kuanzia kuondoa shida,maradhi na hata kupata unachotaka. Wapo watu shughuli zao za kila siku ni kufanyia watu dua kwa shida na mahitaji mbalimbali(sizungumzii miujiza) sijui kama unajua hili?
 
𝘼𝙞𝙨𝙚𝙚 𝙆𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖𝙣𝙖𝙛𝙞𝙠𝙞𝙧𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙆𝙪𝙣𝙖 𝙈𝙪𝙙𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙖𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙬𝙖𝙯𝙖 𝙝𝙞𝙫𝙞 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙡𝙞𝙩𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙞 𝙟𝙚 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙨𝙞𝙣𝙜𝙚𝙠𝙪𝙬𝙚𝙥𝙤 𝙠𝙪𝙣𝙜𝙚𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙉𝙞𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙨𝙞 𝙩𝙪𝙣𝙜𝙚𝙩𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙞 𝙣𝙖𝙣𝙞 𝙖𝙡𝙞𝙢𝙪𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙙𝙖𝙖𝙖𝙝 𝙣𝙖𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙣𝙖𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙠𝙪𝙟𝙞𝙨𝙚𝙢𝙚𝙖 𝙣𝙞𝙨𝙞𝙟𝙚 𝙠𝙪𝙠𝙪𝙛𝙪𝙧𝙪 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙬𝙖𝙨𝙬𝙖𝙝𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖𝙫𝙮𝙤.
emoji114.png
Hii Dunia imeumbwa katika mfumo wa muda. Na huyo Mungu anaishi nje ya huu mfumo yaan hana muda
1. Tabia ni activity za ubongo wako, ubongo wako ndo unaamua we ulale au uamke, upumue au ufe, uote au usiote, uongee ama usionge, ule ama usile, walioandika hekaya zenu hawakujua Hilo ndo wakaja na mambo ya nafsi sijui roho sijui moyo ni kwamba hawakuwa na elimu ya Sayansi. Ndo maana katika Sayansi especially neurology ushaambiwa soul doesn't exist kila kitu Kiko kwa brain.
2. Kabla ya kuzaliwa ulikuwa tumboni kwa mama Ako na haukuwa na uwezo wa kujenga mawazo na fikra ndo maana hukumbuki chochote kuhusu ukiwa tumboni
3. Baada ya kufa???🤣ni sawa na kuuliza moto ukizimika huo moto unaenda wapi.. ukifa umekufa..kuhusu mwili wako inategemea wanaokuzika watauzika wapi na saa ngapi
4. Sayansi imeweza kuelezea asili za wanyama waliopo Sasa kutokana na vipimo na tafiti walizofanya, pia wameweza kugundua kuhusu umri wa dunia na sio miaka 6000 Kama Biblia inavyosema kwa sababu Kuna evidence za jamii zilizokuwepo kabla ya mda huo pia Kuna mawe yanadate back millions of years,mifupa ya wanyama pia, so Sayansi haiwezi kuleta video proof ya kuwa ulimwengu ulianzaje Ila we sure kwamba hata bible haiwezi kwa sababu ilishatudanganya kuhusu siku sita za kuumba dunia, dunia kuumbwa kabla ya jua nyota na mwezi, mimea kuumbwa kabla ya jua sijui inakuwaje bila photosynthesis, nyoka kuongea etc, so Bora ufate kitu ambacho kina make more sense na kina more evidence kuliko story ya kucopy na kupaste kutoka dini za kipagani.
Mfano mzuri, wanasayansi wanaweza wakajua mtu kafa kwa Nini, au mwizi ni yupi na kaibaje kwa kuangalia evidence zilizopo bila hata msaada wa video. Na hivyo hivyo kupitia evidence zilizopo wanasayansi wanaweza wakajua asili ya kitu. So u r dead wrong
Bro Mungu anapatikana kwenye unyenyekevu. One's umeamua kutaka kumjua na kumuishi ukajishusha utapata mwanga na majibu yote magumu uliyonayo.
 
Back
Top Bottom