1. Tabia ni activity za ubongo wako, ubongo wako ndo unaamua we ulale au uamke, upumue au ufe, uote au usiote, uongee ama usionge, ule ama usile, walioandika hekaya zenu hawakujua Hilo ndo wakaja na mambo ya nafsi sijui roho sijui moyo ni kwamba hawakuwa na elimu ya Sayansi. Ndo maana katika Sayansi especially neurology ushaambiwa soul doesn't exist kila kitu Kiko kwa brain.
2. Kabla ya kuzaliwa ulikuwa tumboni kwa mama Ako na haukuwa na uwezo wa kujenga mawazo na fikra ndo maana hukumbuki chochote kuhusu ukiwa tumboni
3. Baada ya kufa???🤣ni sawa na kuuliza moto ukizimika huo moto unaenda wapi.. ukifa umekufa..kuhusu mwili wako inategemea wanaokuzika watauzika wapi na saa ngapi
4. Sayansi imeweza kuelezea asili za wanyama waliopo Sasa kutokana na vipimo na tafiti walizofanya, pia wameweza kugundua kuhusu umri wa dunia na sio miaka 6000 Kama Biblia inavyosema kwa sababu Kuna evidence za jamii zilizokuwepo kabla ya mda huo pia Kuna mawe yanadate back millions of years,mifupa ya wanyama pia, so Sayansi haiwezi kuleta video proof ya kuwa ulimwengu ulianzaje Ila we sure kwamba hata bible haiwezi kwa sababu ilishatudanganya kuhusu siku sita za kuumba dunia, dunia kuumbwa kabla ya jua nyota na mwezi, mimea kuumbwa kabla ya jua sijui inakuwaje bila photosynthesis, nyoka kuongea etc, so Bora ufate kitu ambacho kina make more sense na kina more evidence kuliko story ya kucopy na kupaste kutoka dini za kipagani.
Mfano mzuri, wanasayansi wanaweza wakajua mtu kafa kwa Nini, au mwizi ni yupi na kaibaje kwa kuangalia evidence zilizopo bila hata msaada wa video. Na hivyo hivyo kupitia evidence zilizopo wanasayansi wanaweza wakajua asili ya kitu. So u r dead wrong