SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
-
- #161
Nani kasema Mungu yupo au hayupo. Tumesema Biblia na Quran ni story za kutunga.Hivi huu msimamo wa kwamba "hakuna Mungu" umejengwa kwenye msingi gani? Yani kipi kinabeba huu msimamo na kufanya kuwa ni uhakika kuwa Munguni hayupo tu na si vinginevyo?
We are going somewhereMi najua Mungu yupo, ila kwa hizi hoja zako nasimama na wewe
Haujui...unazani na kuamini..hamna mtu anajuaMi najua Mungu yupo, ila kwa hizi hoja zako nasimama na wewe
Duu..na hayo maji yameumbwa na nani...Mungu aliumbwa na Maji
Nipe evidence sio vitabu vya hadithi.Nitakujibu kulingana na kitabu cha mwanzo
Mwanzo 1-2:3
Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
Mungu ni roho fulani ambayo ilitokea majini kulingana na andiko ilo Wanakuambia Maji yalikuwepo kabla ya Mungu
Alicho kifanya roho hiyo akatenganisha Maji Yale katikati kukapatikana anga
Mi sijasema anaua watu...Ila kwenye story za Bible kaua watu kuliko shetaniHujasoma kitabu vizuri rudi kasome, akili za wengi zimeaminishwa na dunia na ulimwengu kuwa MUUMBA ndo anaua watu.
KERUBI aliyekuwa malaika wa sifa kabla ya kuasi ukisoma Isaya 14:13-15 utakuta kwanini alitupwa chini.
Mi sijasema anaua watu...Ila kwenye story za Bible kaua watu kuliko shetani
JamiiForums hapa pia mtasema nachochea ugomvi wakati ni mjadala tu au mtasema maanisha uzi,Haya, huko kwenye first law ndipo utakapokwenda utakapokufa.
Na hivyo ndio nmemaanishaatheist Ni mtu ambae haamini Mungu
JamiiForums hapa pia mtasema nachochea ugomvi wakati ni mjadala tu au mtasema maanisha uzi,
hakuna MUNGU nje ya DINI, ukiondoa DINI na madhehebu hakuna unapomuona MUNGU
Na hivyo ndio nmemaanisha
So kamuumba shetani ili atutese...na ukisema alikuwa malaika...Mungu ni muweza na mjua yote it means alijua atamuasi na angeweza kumzuia. Lakini hajataka...ameamua kumuachia atese binadamu baadae amuunguze yeye na binadamu wengi(vitabu vinasema watu wengi wataenda motoni isipokuwa watu 144k duniani).Afu bado unaniambia huyu ni sterling wa movie. Aliyefurika dunia nzima kuuwa panzi watoto wazee ili familia moja ya mlevi na watoto wanaobaka baba zao waishi.Kwenye KITABU imeandikwa ivyo na sio bahati mbaya sababu hata waandishi walikuwa chini ya mvamizi hivyo vingne vilipachikwa lakini hakuna mzazi anazaa mtoto alafu anataka afe never.
Bac u r goodJamiiForums hapa pia mtasema nachochea ugomvi wakati ni mjadala tu au mtasema maanisha uzi,
hakuna MUNGU nje ya DINI, ukiondoa DINI na madhehebu hakuna unapomuona MUNGU
Na hivyo ndio nmemaanisha
We unajuaje Ni mmoja...mbona wengine Wana waumba wengi ..we dini yako ndo inasema yupo mmoja. So bado hujaseparate dini na Imani.Ingekuwa hakuna MUUMBA nje ya DINI kusingekuwa na tofauti ya kiimani. Lakni MUUMBA ni mmoja na yeye haangalii dini wala dhehebu bali kutenda kwa haki.
So kamuumba shetani ili atutese...na ukisema alikuwa malaika...Mungu ni muweza na mjua yote it means alijua atamuasi na angeweza kumzuia. Lakini hajataka...ameamua kumuachia atese binadamu baadae amuunguze yeye na binadamu wengi(vitabu vinasema watu wengi wataenda motoni isipokuwa watu 144k duniani).Afu bado unaniambia huyu ni sterling wa movie. Aliyefurika dunia nzima kuuwa panzi watoto wazee ili familia moja ya mlevi na watoto wanaobaka baba zao waishi.
We unajuaje Ni mmoja...mbona wengine Wana waumba wengi ..we dini yako ndo inasema yupo mmoja. So bado hujaseparate dini na Imani.
haamini kny lolotePagan sio mtu ambae hana dini, ni mtu ambae anaabudu miungu tofauti na watu wa pale.
So Isaya ni ya kweli Ila Ufunuo ni uwongo. Why coz umesema tu... Bac mi nasema Biblia nzima ni uwongo. Si unaamua tu kupotezea sehemu zingine unafata zinazokuvutia...ndo ukristo huo.Umeaminishwa kwamba atapeleka motoni watu wote kasoro 144k lakini ungejua falme na malmlaka za giza walitaka kila mtu hahukumiwe ili MUUMBA asibaki na chochote na lakini kwa uheri alisema katika
Isaya 43:25 “Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.”
Hivyo wengi hudhani kuna kiama mara mwisho wa dunia kwa nadharia walizofundishwa wasijue mwisho ulishafika na MUUMBA anawakomboa watu wake kwa kila anayekubali msamaha wa bure.
Tafuta maana ya pagan acha ubishi tumia simu google. Ndo maana zinaitwa pagan religions wanaamini miungu mengine tofauti na unayoiamini.haamini kny lolote
Unajuaje Ni mmoja na sio kiwanda Cha watu.MUUMBA ni mmoja kubali kataa panda shuka kwenye izo dini na dhehebu lakini kweli itabaki kweli aliyeumba ni mmoja DINI ndo zilileta utengano na kupotosha kweli.
Acha mikwara weweUsitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka maandishi haya
Gazeti moja mhandishi mmoja ila wasomaji tofauti Jiulize wasomaji wote wanaweza kuwa na mawazo Sawa na mhandishi wa hoja hizo ?Lakini ukinunua gazeti ukisoma si unalielewa bila mtafsiri. Lakini unahitaji mtafsiri akusomee Biblia. Acheni uoga Biblia sio neno la Mungu ni neno la walimtunga Mungu ndo maana kila kukicha utaskia dhehebu linatokea kwa sababu ni kitabu Kama Malaya kinatafsiriwa kivyovyote vile coz hakijaandikwa vizuri..