UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Na hapo ndio mnapokosea maana wewe msimamo wako ni kutokukubaliana na chochote kiitwacho imani, kwahiyo hata unavyokuja hapa kukosoa imani fulani unaikosoa kwa huo mtazamo wa kutokukubaliana na chochote kinachoitwa imani.Imani kiujumla...huwezi jisifia kuamini kitu hakipo huo ni uchizi
Ndio maana mnatumia kauli kama hizo za kusema "mnaamini ambacho hamjakiona" mara "mnaamini ambacho hakipo" mara "hakuna uthibitisho" n.k