Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Nimekuambiaje taja nchi ya kiislamu ambayo haina mafuta na partnership na marekani afu imekuwa social economically developed ..mbona unakimbia
Tatizo wewe unaleta hoja nyengine kabisa mimi sipo huko mkuu. Masuala ya mafuta sijui kuwa na partneship sio hoja yangu.
 
😂Nataka mtu umake sense unachoamini coz umesoma unategemea na jamii uwaze vitu vya maana sio story za mtaani za mababu
Kwani mkuu watu wa dini wenye kuamini hivyo vitu si ndio wengine madaktari na wanasayansi? Sasa ni vp unaona hawawawazi vitu vya maana?
 
Sasa mwanangu umesoma kila siku tunasoma point ya poor education system au unafananisha elimu yetu na elimu ya nchi zilizoendelea
Unatoka sana nje ya reli mkuu, hakuna niliposhindanisha wala kufananisha elimu ya sehemu moja na nyengine.
 
Yani hata uki simplify ukasema elimu ni literacy, numeracy, degrees na diplomas (as overall metrics and indicators for more complex versions of "elimu" ambazo kuzipima si rahisi), jamii zenye elimu hiyo kubwa (e.g Northern Europe) ndizo zenye kukataa uwepo wa Mungu zaidi ya jamii zisizo na elimu hiyo kwa sana kama Afrika na Middle East

Na jinsi jamii zisizo na elimu hiyo kwa sana kama Africa na Middle East zinavyozidi kupanua mawazo kutokana na kupata elimu hizo kwa sana, adjusting for cultural factors, ndivyo jamii hizo zinavyozidi kutoka kwenye imani ya Mungu.

Nimetoa links tatu za Middle East and North Africa hapo juu. Huku Africa kusini ya Sahara nimeeleza kwa nini hata wasomi bado wanajinadi kuamini Mungu kwa unafiki lakini ukiangalia wanavyoiba unaona wazi hawaamini Mungu.

Action speaks louder than words.
Kwahiyo shida sio waafrika na waarabu kutokuwa na elimu ndio kunafanya waamini habari za uwepo wa Mungu bali ni kutokuwa na elimu hiyo kubwa ambayo wanayo jamii ya Northern Europe?

Kukubali(kuamini) uwepo wa Mungu usichanganye na kufuata maamrisho na makatazo ya huyo Mungu hadi utoe hitimisho la kuwa wenye kufanya matendo yaliyokatazwa na Mungu kuwa ni kwa sababu hawaamini Mungu.
 
Kwahiyo shida sio waafrika na waarabu kutokuwa na elimu ndio kunafanya waamini habari za uwepo wa Mungu bali ni kutokuwa na elimu hiyo kubwa ambayo wanayo jamii ya Northern Europe?

Kukubali(kuamini) uwepo wa Mungu usichanganye na kufuata maamrisho na makatazo ya huyo Mungu hadi utoe hitimisho la kuwa wenye kufanya matendo yaliyokatazwa na Mungu kuwa ni kwa sababu hawaamini Mungu.
Waafrika wengi wanaamini sana uchawi na supernatural powers, false and wrong things, without logical consistency, ndiyo maana kuamini Mungu, kitu cha uongo, ni rahisi.

Imani ya Mungu pia inapaliliwa na uvivu, uvivu wa kufikiri, uvivu wa kufanya kazi.Tabia ya kutaka awepo mtu au kitu zaidi yako, ambacho kina control, ukiona mambo magumu unaomba unapewa unachotaka, hii saikolojia ya uvivu inachochea sana imani ya Mungu.

Unaondoa agency na responsibility kwako, unamuweka Mungu kama the ultimate one in charge.

Hili linaelezea kwa nini jamii zinazoamini sana Mungu zina maendeleo madogo ya kiuchumi (ukiondoa bahati ya natural resources kama oil, ambayo hata hiyo sehemu nyingine kama Nigeria inakuwa mismanaged) na jamii zisizoamini Mungu sana kama Northern Europe, zikiwa hazina natural resources watu wanajiongeza kielimu na kutumia human resources, na kwenye natural resources recently kama Norway, watu wamejipanga vizuri kuzitumia sio kupata utajiri tu, bali hata kuongeza quality of life, mambo kama elimu na afya vizuri.

Watu wamekaa chini wakajua hakuna Mungu, tunachotaka tutakifanyia kazi wenyewe, tutavumbua vitu, tutatatua matatizo yetu wenyewe.

Hii ni moja ya sababu wenzetu wanagundua vitu, sisi tunakuwa watumiaji tu. Wakati wenzetu wanatafuta chanjo za magonjwa, sisi tunakimbilia kuomba Mungu, a waste of time and energy.

Hao wenzetu wa Northern Europe washaona hizo imani za supernatural powers ni ujinga, zimebaki kwenye hadithi tu.Wanachunguza mambo kimantiki, kisayansi.

Sehemu ya pili ya post yako nimeijibu katika post number 469.
 
Si lazima uwe na ubongo kwa sababu tu wengine wanao ubongo. Kuna mtu alishawahi kufanyiwa upasuaji wa kichwa, kukakutwa maji tofauti na ilivyokuwa ikiaminika kuwa mtu asiye na ubongo hawezi kuishi.

Kama unaamini documents zilizoandikwa na mwanadamu ambaye yupo susceptible to errors, kwa nini usiziamimi na nyaraka zinazoweza kukusaidia katika maisha haya ya sasa na baada ya kuondoka duniani.
Hahaha kmk🤣nani Hana ubongo afu kaishi...😅afu si watu wazima sawa.
Siamini kwa sababu wamejitamkia, kwamba kitabu chao ndo Cha kweli na wanatumia vitisho ili watu waamini, 🤣daktari au serikali haikuambii utaungua usipoamini hiki cheti na watu wengi wanaamini, ukienda kuomba kazi unaenda na cheti Cha ufaulu na Cha kuzaliwa kwenye institution zingine, Biblia Ina makosa lakini haikubali Ina makosa, cheti Cha kuzaliwa chenye makosa kinabadilishwa Ila vitabu vyenu vya hekaya za mababu ndo mnasema Mungu ndo anataka tuishi hivyo Mungu anataka tuwe na watumwa, tuwatreat wanawake Kama ng'ombe, tuwapige watu mawe Kama mbwa afu ndo kitabu Cha Mungu mpendwa wote ..😅it shows kimeandikwa na wazee wasio na maarifa juu ya umuhimu wa binadamu na maisha duniani ndo maana wanawaza kufa kufa na pepo pepo tu ambalo halipo
 
Siyo kweli. Sijafuata mkumbo. Nafahamu, bila chembe ya mashaka kuwa Mungu yupo. Nafahamu, pasi na shaka yo yote kuwa Mungu ni Halisi, Naam, ni Halisi hata kuzidi ngozi ya mwili wangu.

Nimejithibitishia pasipo shaka yo yote ile, kuwa Mungu Yupo na ananifahamu kwa jina langu. Hata wewe anakufahamu, na angefurahi kujidhihirisha kwako kama utamruhusu.

Katika hilo la uwepo wa Mungu, sihitaji kushawishi. Ninafahamu.
Mungu angetaka watu wamwamini angewatokea watu wote at the same way. Sio huyu kaona hiki huyu kaambiwa hiki huyu sijui kaambiwa lugha hii... Sio kosa langu kutoamini. We unafata mkumbo coz we huamini Krishna au Zeus au kina James Smith unaamini particular Allah au Yahweh coz ndo dini ulizoletewa na wakoloni wako, usingeletewa ungeabudu miungu ya kabila lako na ungesema una uhakika nao wapo...na kila mtu wa kila dini anasema ana uhakika mungu wake yupo, anaongea nae, anajibu maombi, anafanya wepesi...🤣Sasa Mungu wako wangapi.... We mwenye uhakika mlete hapa tumwone
 
Wewe ni mvivu wa kusoma?

Fuata maelekezo niliyokupa. Ukifanya hivyo, utagundua kuwa ulikuwa umedanganywa.
Leta na vitabu vya dini zingine pia mbona unachagua viwili wakati vipo vingi...au kisa mtaani kwenu Kuna dini mbili tu ndo unajua ndo hivyo dunia nzima
 
Biblia ina contradictions kibao ambazo nikikupa hapa huwezi kuzitengua, hilo linaonesha Biblia ni kitabu kisicho na mantiki, kilichoandikwa na watu tu, tena zama za ujinga.

Kama unabisha naweza kuziweka hapa tuzichambue.
Ziweke please jamani
 
Kama mtu anaamini kweli Mungu yupo, na anahesabu dhambi, na atatoa adhabu, hawezi kufanya kinyume na maagizo ya Mungu huyo.Mungu huyo alivyojengwa kidhana ni mkubwa sana na ana nguvu sana kumuasi.

Watu kufanya dhambi ni aina fulani ya kupiga kura ya kutokuwa na imani ya uwapo wa huyo Mungu.

Bado actions speaks louder than words, whether consciously or subconsciously.

Yani hata wewe ukifikiri unaamini Mungu yupo, ukajua kakataza kuiba, halafu ukaiba, hiyo ni rebellion inayotoa statement kwamba huamini sana kwamba Mungu yupo na atakuadhibu kwenda kwenye moto wa milele kwa dhambi zako. Watu wengi sana hawaamini Mungu yupo, wangeamini, dunia ingekuwa tofauti sana na ilivyo sasa.

In any case, huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
😅I always say watu wanasema wanaamini Mungu ili jamii iwaone wema na coz wanaogopa kukufuru kisa moto...Ila in reality wanaishi Kama hayupo... And I'm happy...hata waislamu pia... I'm happy kuona watu wanaishi maisha Yao bila kujali sheria za waarabu wa kale au wayahudi miaka 3000 iliyopita...
 
Tatizo wewe unaleta hoja nyengine kabisa mimi sipo huko mkuu. Masuala ya mafuta sijui kuwa na partneship sio hoja yangu.
🤣Sasa unasema waislamu matajiri wakati statistics zinaonyesha Islamic countries Zina low level of socioeconomic development kuliko non Islamic countries.. fuatilia sio unaona Dubai na Saudi Arabia na Qatar unasema waislamu matajiri kisa Mungu sijui.
 
Hio ni Sheol...the bible itself imeiba concept kutoka kwa fiction na dini zingine . Zamani ilikuwa either eternal lyf au death wakaona watu hawaogopi kufaa waka introduce hell as a place of eternal fire ambayo ipo kwenye new testament tu...this shows waliotunga hizi story walikuwa wanasaka a way kutishia watu ndo wakatumia hell ..so mi ka mtu mzima hawanitishi
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwani mkuu watu wa dini wenye kuamini hivyo vitu si ndio wengine madaktari na wanasayansi? Sasa ni vp unaona hawawawazi vitu vya maana?
Hivi ushawahi kukaa na mtu aliyesoma kabisa Kama daktari au mwanasayansi ukaongea nae on a personal level. Utaskia "haya mambo hayana logic na sense, Ila usiache kuamini", Ila wanaelewa kwa elimu Yao kwa sababu wanajua logic na reasoning Sana...Ila hawawezi kupayuka Mungu hayupo coz
1. Kuogopa kukataliwa na jamii
2. Kuogopa moto wa kufikirika
Nchi za nje madoctor na wanasayansi wapo more free kutoamini Mungu na wanaandika vitabu Wana engage in debates...bongo huwezi fanya hivyo coz serikali inahitaji watu wawe na dini ili ifunction so utafungwa tu ...huwezi omba kazi ukasema huamini Mungu ukapata, hata Mimi nitasema mi mkristo kwenye interview buh doesn't mean I honestly believe in those things. Ma atheists kibao wako jamii coz wapo free Ila mtaani kwao sidhani Kama Kuna watu wanajua ni ma atheists. Ndo hivyo, knowledge is power ndo maana mzungu ambae ameweza kutengeneza bomu la kuharibu dunia Kama Sodom, ameweza kupaa na kwenda mwezini, Leo hii huwezi mwambia story za nyoka kuongea na kulisha watu matunda coz ana maarifa mengi na anafuatilia vitu vya maana katika maendeleo ya jamii.
 
Kwahiyo shida sio waafrika na waarabu kutokuwa na elimu ndio kunafanya waamini habari za uwepo wa Mungu bali ni kutokuwa na elimu hiyo kubwa ambayo wanayo jamii ya Northern Europe?

Kukubali(kuamini) uwepo wa Mungu usichanganye na kufuata maamrisho na makatazo ya huyo Mungu hadi utoe hitimisho la kuwa wenye kufanya matendo yaliyokatazwa na Mungu kuwa ni kwa sababu hawaamini Mungu.
😅🤣Hivi we hujiulizi Kama huyo Mungu yupo kila sehemu kwa Nini inabidi uletewe sheria zake na mtu ambae kaletewa na watu ambao wameletewa na watu wa sehemu fulani ndogo miaka 3000 iliyopita...mababu wa wayahudi kukatazana kuuana in a society that killing was normal na kulikuwa hamna police or legal system za maana so mtu anaweza kukufanya anachotaka so it was necessary utunge sheria uambie watu kwamba usipofata unaunguzwa...🤣Kodi ndo zilikuwa sadaka unalipia kwenda mbinguni... Ukifuatilia historia ya dini ni njama tu ya kucontrol binadamu Ila kweli hata Kama huyo Mungu angetengeneza dunia nzima na ulimwengu wote wenye sayari na nyota billions of billions ili juma asimwage nje coz atamind... Hebu😂
 
Waafrika wengi wanaamini sana uchawi na supernatural powers, false and wrong things, without logical consistency, ndiyo maana kuamini Mungu, kitu cha uongo, ni rahisi.

Imani ya Mungu pia inapaliliwa na uvivu, uvivu wa kufikiri, uvivu wa kufanya kazi.Tabia ya kutaka awepo mtu au kitu zaidi yako, ambacho kina control, ukiona mambo magumu unaomba unapewa unachotaka, hii saikolojia ya uvivu inachochea sana imani ya Mungu.

Unaondoa agency na responsibility kwako, unamuweka Mungu kama the ultimate one in charge.

Hili linaelezea kwa nini jamii zinazoamini sana Mungu zina maendeleo madogo ya kiuchumi (ukiondoa bahati ya natural resources kama oil, ambayo hata hiyo sehemu nyingine kama Nigeria inakuwa mismanaged) na jamii zisizoamini Mungu sana kama Northern Europe, zikiwa hazina natural resources watu wanajiongeza kielimu na kutumia human resources, na kwenye natural resources recently kama Norway, watu wamejipanga vizuri kuzitumia sio kupata utajiri tu, bali hata kuongeza quality of life, mambo kama elimu na afya vizuri.

Watu wamekaa chini wakajua hakuna Mungu, tunachotaka tutakifanyia kazi wenyewe, tutavumbua vitu, tutatatua matatizo yetu wenyewe.

Hii ni moja ya sababu wenzetu wanagundua vitu, sisi tunakuwa watumiaji tu. Wakati wenzetu wanatafuta chanjo za magonjwa, sisi tunakimbilia kuomba Mungu, a waste of time and energy.

Hao wenzetu wa Northern Europe washaona hizo imani za supernatural powers ni ujinga, zimebaki kwenye hadithi tu.Wanachunguza mambo kimantiki, kisayansi.

Sehemu ya pili ya post yako nimeijibu katika post number 469.
Man of facts
 
Ziweke please jamani
Naam, kwanza kabisa, kabla ya kwenda kwenye contradictions, tuanze kuangalia kwa wasomi na wanazuoni wa Biblia, je, Biblia imeandikwa vipi? Tunavyoisoma tunatakiwa tuisome vipi?

Hebu tumuangalie Professor James Kugel aliyefundisha Biblia mpaka Harvard, ameandika kitabu kizima kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture, Then and Now"


How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Ziweke please jamani
Contradictions 1


Biblical Contradictions​

It is a central dogma of all fundamental Christians that the Bible is without error. They teach this conclusion by “reasoning” that god cannot be the author of false meaning and he cannot lie. Is this true? If written by a perfect being, then it must not contradict itself, as a collection of books written by different men at different times over many centuries would be expected to contradict each other.
With this in mind, let us have a look at the Bible on several subjects.

The Sabbath Day​

“Remember the Sabbath day, to keep it holy.” — Exodus 20:8
“One man esteemeth one day above another: another esteemeth every day alike. Let every man be fully persuaded in his own mind.” — Romans 14:5

The Permanence of Earth​

“… the earth abideth for ever.” — Ecclesiastes 1:4
“… the elements shall melt with fervent heat, the earth also and the works that are therein shall be burned up.” — 2Peter 3:10

Seeing God​

“… I have seen God face to face, and my life is preserved.” — Genesis 32:30
“No man hath seen God at any time…”– John 1:18

Human Sacrifice​

“… Thou shalt not let any of thy seed pass through the fire to Molech, neither shalt thou profane the name of thy God…” — Leviticus 18:21
[In Judges, though, the tale of Jephthah, who led the Israelites against the Ammonoites, is being told. Being fearful of defeat, this good religious man sought to guarantee victory by getting god firmly on his side. So he prayed to god] “… If thou shalt without fail deliver the children of Ammon into mine hands, Then it shall be, that whatsoever cometh forth of the doors of my house to meet me, when I return in peace from the children of Ammon, shall surely be the LORD’s, and I will offer it up for a burnt offering” — Judges 11:30-31
[The terms were acceptable to god — remember, he is supposed to be omniscient and know the future — so he gave victory to Jephthah, and the first whatsoever that greeted him upon his glorious return was his daughter, as god surely knew would happen, if god is god. True to his vow, the general made a human sacrifice of his only child to god!] — Judges 11:29-34

The Power of God​

“… with God all things are possible.” — Matthew 19:26
“…The LORD was with Judah; and he drave out the inhabitants of the mountain; but could not drive out the inhabitants of the valley, because they had chariots of iron.” — Judges 1:19

Personal Injury​

“…thou shalt give life for life, Eye for eye, tooth for tooth, hand for hand, foot for foot. burning for burning, wound for wound, stripe for stripe. ” — Exodus 21:23-25
“…ye resist not evil: but whosoever shall smite thee on the right cheek, turn to him the other also.” — Matthew 5:39

Circumcision​

“This is my covenant, which ye shall keep, between me and you and thy seed after thee; Every man child among you shall be circumcised.” — Genesis 17:10
“…if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.” — Galatians 5:2

Incest​

“Cursed be he that lieth with his sister, the daughter of his father, or the daughter of this mother…” — Deuteronomy 27:22
“And if a man shall take his sister, his father’s daughter, or his mother’s daughter…it is a wicked thing….” — Leviticus 20:17
[But what was god’s reaction to Abraham, who married his sister — his father’s daughter?] See Genesis 20:11-12
“And God said unto Abraham, As for Sara thy wife…I bless her, and give thee a son also of her…” — Genesis 17:15-16

Trusting God​

“A good man obtaineth favour of the LORD…” — Proverbs 12:2
Now consider the case of Job. After commissioning Satan to ruin Job financially and to slaughter his shepherds and children to win a petty bet with Satan. God asked Satan: “Hast thou considered my servant Job, that there is none like him in the earth, a perfect and an upright man, one that feareth God, and escheweth evil? and still he holdeth fast his integrity, although thou movedst me against him, to destroy him without cause.” — Job 2:3

The Holy Lifestyle​

“Go thy way, eat thy bread with joy, and drink thy wine with a merry heart…” — Ecclesiastes 9:7
“…they that rejoice, as though they rejoiced not…” — 1 Corinthians 7:30

Punishing Crime​

“The son shall not bear the iniquity of the father…” — Ezekiel 18:20
“I the LORD thy God am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation…” — Exodus 20:5

Temptation​

“Let no man say when he is tempted, I am tempted of God: for God cannot be tempted with evil, neither tempteth he any man.” — James 1:13
“And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham…” — Genesis 22:1

Family Relationships​

“Honor thy father and thy mother…”– Exodus 20:12
“If any man come to me, and hate not his father, and mother, and wife, and children, and brethren, and sisters, yea, and his own life also, he cannot be my disciple. ” — Luke 14:26

Resurrection of the Dead​

“…he that goeth down to the grave shall come up no more. ” — Job 7:9
“…the hour is coming, in which all that are in the graves shall hear his voice, and shall come forth….” — John 5:28-29

The End of the World​

“Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom. ” — Matthew 16:28
“Verily I say unto you, This generation shall not pass away, till all be fulfilled. Heaven and earth shall pass away: but my words shall not pass away. ” — Luke 21:32-33
“And that, knowing the time, that now it is high time to awake out of sleep: for now is our salvation nearer than when we believed. The night is far spent, the day is at hand: let us therefore cast off the works of darkness, and let us put on the armour of light.” — Romans 13:11-12
“Be ye also patient; establish your hearts: for the coming of the Lord draweth nigh.” — James 5:8
“Little children, it is the last time: and as ye have heard that antichrist shall come, even now are there many antichrists; whereby we know that it is the last time.” — 1 John 2:18
“But the end of all things is at hand: be ye therefore sober, and watch unto prayer.” — 1 Peter 4:7
These words were written between 1800 and 1900 years ago and were meant to warn and prepare the first Christians for the immediate end of the world. Some words are those supposedly straight out of the mouth of the “Son of God.” The world did not end 1800 or 1900 years ago. All that generation passed away without any of the things foretold coming to pass. No amount of prayer brought it about; nor ever so much patience and belief and sober living. The world went on, as usual, indifferent to the spoutings of yet another batch of doomsday prophets with visions of messiahs dancing in their deluded brains. The world, by surviving, makes the above passages contradictions.

Conclusion​

What is incredible about the Bible is not its divine authorship; it’s that such a concoction of contradictory nonsense could be believed by anyone to have been written by an omniscient god. To do so, one would first have to not read the book, which is the practice of most Christians; or, if one does read it, dump in the trash can one’s rational intelligence — to become a fool for god, in other words.
To be an atheist, one need only be able to laugh when such obvious nonsense is offered as being “divine” truth.
All Bible quotes from the Authorized King James Version of the Bible (New York: Abradale Press, 1965)
This is an adaptation of an article originally written by former Interim President and current member of the Board of Directors Frank Zindler.
 
Ziweke please jamani
Contradictions 2.


101 Contradictions in the Bibles:

101 Clear Contradictions in the Bible

Shabir Ally

1. Who incited David to count the fighting men of Israel?


  • God did (2 Samuel 24: 1)
  • Satan did (I Chronicles 2 1:1)
2. In that count how many fighting men were found in Israel?

  • Eight hundred thousand (2 Samuel 24:9)
  • One million, one hundred thousand (I Chronicles 21:5)
3. How many fighting men were found in Judah?

  • Five hundred thousand (2 Samuel 24:9)
  • Four hundred and seventy thousand (I Chronicles 21:5)
4. God sent his prophet to threaten David with how many years of famine?

  • Seven (2 Samuel 24:13)
  • Three (I Chronicles 21:12)
5. How old was Ahaziah when he began to rule over Jerusalem?

  • Twenty-two (2 Kings 8:26)
  • Forty-two (2 Chronicles 22:2)
6. How old was Jehoiachin when he became king of Jerusalem?

  • Eighteen (2 Kings 24:8)
  • Eight (2 Chronicles 36:9)
7. How long did he rule over Jerusalem?

  • Three months (2 Kings 24:8)
  • Three months and ten days (2 Chronicles 36:9)
8. The chief of the mighty men of David lifted up his spear and killed how many men at one time?

  • Eight hundred (2 Samuel 23:8)
  • Three hundred (I Chronicles 11: 11)
9. When did David bring the Ark of the Covenant to Jerusalem? Before defeating the Philistines or after?

  • After (2 Samuel 5 and 6)
  • Before (I Chronicles 13 and 14)
10. How many pairs of clean animals did God tell Noah to take into the Ark?

  • Two (Genesis 6:19, 20)
  • Seven (Genesis 7:2). But despite this last instruction only two pairs went into the ark (Genesis 7:8-9)
11. When David defeated the King of Zobah, how many horsemen did he capture?

  • One thousand and seven hundred (2 Samuel 8:4)
  • Seven thousand (I Chronicles 18:4)
12. How many stalls for horses did Solomon have?

  • Forty thousand (I Kings 4:26)
  • Four thousand (2 chronicles 9:25)
13. In what year of King Asa's reign did Baasha, King of Israel die?

  • Twenty-sixth year (I Kings 15:33 - 16:8)
  • Still alive in the thirty-sixth year (2 Chronicles 16:1)
14. How many overseers did Solomon appoint for the work of building the temple?

  • Three thousand six hundred (2 Chronicles 2:2)
  • Three thousand three hundred (I Kings 5:16)
15. Solomon built a facility containing how many baths?

  • Two thousand (1 Kings 7:26)
  • Over three thousand (2 Chronicles 4:5)
16. Of the Israelites who were freed from the Babylonian captivity, how many were the children of Pahrath-Moab?

  • Two thousand eight hundred and twelve (Ezra 2:6)
  • Two thousand eight hundred and eighteen (Nehemiah 7:11)
17. How many were the children of Zattu?

  • Nine hundred and forty-five (Ezra 2:8)
  • Eight hundred and forty-five (Nehemiah 7:13)
18. How many were the children of Azgad?

  • One thousand two hundred and twenty-two (Ezra 2:12)
  • Two thousand three hundred and twenty-two (Nehemiah 7:17)
19. How many were the children of Adin?

  • Four hundred and fifty-four (Ezra 2:15)
  • Six hundred and fifty-five (Nehemiah 7:20)
20. How many were the children of Hashum?

  • Two hundred and twenty-three (Ezra 2:19)
  • Three hundred and twenty-eight (Nehemiah 7:22)
21. How many were the children of Bethel and Ai?

  • Two hundred and twenty-three (Ezra 2:28)
  • One hundred and twenty-three (Nehemiah 7:32)
22. Ezra 2:64 and Nehemiah 7:66 agree that the total number of the whole assembly was 42,360. Yet the numbers do not add up to anything close. The totals obtained from each book is as follows:

  • 29,818 (Ezra)
  • 31,089 (Nehemiah)
23. How many singers accompanied the assembly?

  • Two hundred (Ezra 2:65)
  • Two hundred and forty-five (Nehemiah 7:67)
24. What was the name of King Abijahs mother?

  • Michaiah, daughter of Uriel of Gibeah (2 Chronicles 13:2)
  • Maachah, daughter of Absalom (2 Chronicles 11:20) But Absalom had only one daughter whose name was Tamar (2 Samuel 14:27)
25. Did Joshua and the Israelites capture Jerusalem?

  • Yes (Joshua 10:23, 40)
  • No (Joshua 15:63)
26. Who was the father of Joseph, husband of Mary?

  • Jacob (Matthew 1:16)
  • Hell (Luke 3:23)
27. Jesus descended from which son of David?

  • Solomon (Matthew 1:6)
  • Nathan(Luke3:31)
28. Who was the father of Shealtiel?

  • Jechoniah (Matthew 1:12)
  • Neri (Luke 3:27)
29. Which son of Zerubbabel was an ancestor of Jesus Christ?

  • Abiud (Matthew 1: 13)
  • Rhesa (Luke 3:27) But the seven sons of Zerubbabel are as follows: i.Meshullam, ii. Hananiah, iii. Hashubah, iv. Ohel, v.Berechiah, vi. Hasadiah, viii. Jushabhesed (I Chronicles 3:19, 20). The names Abiud and Rhesa do not fit in anyway.
30. Who was the father of Uzziah?

  • Joram (Matthew 1:8)
  • Amaziah (2 Chronicles 26:1)
31. Who was the father of Jechoniah?

  • Josiah (Matthew 1:11)
  • Jeholakim (I Chronicles 3:16)
32. How many generations were there from the Babylonian exile until Christ?

  • Matthew says fourteen (Matthew 1:17)
  • But a careful count of the generations reveals only thirteen (see Matthew 1: 12-16)
33. Who was the father of Shelah?

  • Cainan (Luke 3:35-36)
  • Arphaxad (Genesis II: 12)
34. Was John the Baptist Elijah who was to come?

  • Yes (Matthew II: 14, 17:10-13)
  • No (John 1:19-21)
35. Would Jesus inherit Davids throne?

  • Yes. So said the angel (Luke 1:32)
  • No, since he is a descendant of Jehoiakim (see Matthew 1: I 1, I Chronicles 3:16). And Jehoiakim was cursed by God so that none of his descendants can sit upon Davids throne (Jeremiah 36:30)
36. Jesus rode into Jerusalem on how many animals?

  • One - a colt (Mark 11:7; cf Luke 19:3 5). And they brought the colt to Jesus and threw their garments on it; and he sat upon it.
  • Two - a colt and an ass (Matthew 21:7). They brought the ass and the colt and put their garments on them and he sat thereon.
37. How did Simon Peter find out that Jesus was the Christ?

  • By a revelation from heaven (Matthew 16:17)
  • His brother Andrew told him (John 1:41)
38. Where did Jesus first meet Simon Peter and Andrew?

  • By the sea of Galilee (Matthew 4:18-22)
  • On the banks of river Jordan (John 1:42). After that, Jesus decided to go to Galilee (John 1:43)
39. When Jesus met Jairus was Jairus daughter already dead?

  • Yes. Matthew 9:18 quotes him as saying, My daughter has just died.
  • No. Mark 5:23 quotes him as saying, My little daughter is at the point of death.
40. Did Jesus allow his disciples to keep a staff on their journey?

  • Yes (Mark 6:8)
  • No (Matthew 10:9; Luke 9:3)
41. Did Herod think that Jesus was John the Baptist?

  • Yes (Matthew 14:2; Mark 6:16)
  • No (Luke 9:9)
42. Did John the Baptist recognize Jesus before his baptism?

  • Yes (Matthew 3:13-14)
  • No (John 1:32,33)
43. Did John the Baptist recognize Jesus after his baptism?

  • Yes (John 1:32, 33)
  • No (Matthew 11:2)
44. According to the Gospel of John, what did Jesus say about bearing his own witness?

  • If I bear witness to myself, my testimony is not true (John 5:3 1)
  • Even if I do bear witness to myself, my testimony is true (John 8:14)
45. When Jesus entered Jerusalem did he cleanse the temple that same day?

  • Yes (Matthew 21:12)
  • No. He went into the temple and looked around, but since it was very late he did nothing. Instead, he went to Bethany to spend the night and returned the next morning to cleanse the temple (Mark I 1:1- 17)
46. The Gospels say that Jesus cursed a fig tree. Did the tree wither at once?

  • Yes. (Matthew 21:19)
  • No. It withered overnight (Mark II: 20)
47. Did Judas kiss Jesus?

  • Yes (Matthew 26:48-50)
  • No. Judas could not get close enough to Jesus to kiss him (John 18:3-12)
48. What did Jesus say about Peters denial?

  • The cock will not crow till you have denied me three times (John 13:38)
  • Before the cock crows twice you will deny me three times (Mark 14:30) . When the cock crowed once, the three denials were not yet complete (see Mark 14:72). Therefore prediction (a) failed.
49. Did Jesus bear his own cross?

  • Yes (John 19:17)
  • No (Matthew 27:31-32)
50. Did Jesus die before the curtain of the temple was torn?

  • Yes (Matthew 27:50-51; Mark lS:37-38)
  • No. After the curtain was torn, then Jesus crying with a loud voice, said, Father, into thy hands I commit my spirit! And having said this he breathed his last (Luke 23:45-46)
51. Did Jesus say anything secretly?

  • No. I have said nothing secretly (John 18:20)
  • Yes. He did not speak to them without a parable, but privately to his own disciples he explained everything (Mark 4:34). The disciples asked him Why do you speak to them in parables? He said, To you it has been given to know the secrets of the kingdom of heaven, but to them it has not been given (Matthew 13: 1 0-11)
52. Where was Jesus at the sixth hour on the day of the crucifixion?

  • On the cross (Mark 15:23)
  • In Pilates court (John 19:14)
53. The gospels say that two thieves were crucified along with Jesus. Did both thieves mock Jesus?

  • Yes (Mark 15:32)
  • No. One of them mocked Jesus, the other defended Jesus (Luke 23:43)
54. Did Jesus ascend to Paradise the same day of the crucifixion?

  • Yes. He said to the thief who defended him, Today you will be with me in Paradise (Luke 23:43)
  • No. He said to Mary Magdelene two days later, I have not yet ascended to the Father (John 20:17)
55. When Paul was on the road to Damascus he saw a light and heard a voice. Did those who were with him hear the voice?

  • Yes (Acts9:7)
  • No (Acts22:9)
56. When Paul saw the light he fell to the ground. Did his traveling companions also fall to the ground?

  • Yes (Acts 26:14)
  • No (Acts 9:7)
57. Did the voice spell out on the spot what Pauls duties were to be?

  • Yes (Acts 26:16-18)
  • No. The voice commanded Paul to go into the city of Damascus and there he will be told what he must do. (Acts9:7;22: 10)
58. When the Israelites dwelt in Shittin they committed adultery with the daughters of Moab. God struck them with a plague. How many people died in that plague?

  • Twenty-four thousand (Numbers 25:1 and 9)
  • Twenty-three thousand (I Corinthians 10:8)
59. How many members of the house of Jacob came to Egypt?

  • Seventy souls (Genesis 4 & 27)
  • Seventy-five souls (Acts 7:14)
60. What did Judas do with the blood money he received for betraying Jesus?

  • He bought a field (Acts 1: 18)
  • He threw all of it into the temple and went away. The priests could not put the blood money into the temple treasury, so they used it to buy a field to bury strangers (Matthew 27:5)
61. How did Judas die?

  • After he threw the money into the temple he went away and hanged himself (Matthew 27:5)
  • After he bought the field with the price of his evil deed he fell headlong and burst open in the middle and all his bowels gushed out (Acts 1:18)
62. Why is the field called Field of Blood?

  • Because the priests bought it with the blood money (Matthew 27:8)
  • Because of the bloody death of Judas therein (Acts 1:19)
63. Who is a ransom for whom?

  • The Son of Man came...to give his life as a ransom for many (Mark 10:45). Christ Jesus who gave himself as a ransom for all... (I Timothy 2:5-6)
  • The wicked is a ransom for the righteous, and the faithless for the upright (Proverbs 21:18)
64. Is the law of Moses useful?

  • Yes. All scripture is... profitable... (2 Timothy 3:16)
  • No. . . . A former commandment is set aside because of its weakness and uselessness... (Hebrews 7:18)
65. What was the exact wording on the cross?

  • This is Jesus the King of the Jews (Matthew 27:37)
  • The King of the Jews (Mark 15:26)
  • This is the King of the Jews (Luke 23:38)
  • Jesus of Nazareth, the King of the Jews (John 19:19)
66. Did Herod want to kill John the Baptist?

  • Yes (Matthew 14:5)
  • No. It was Herodias, the wife of Herod who wanted to kill him. But Herod knew that he was a righteous man and kept him safe (Mark 6:20)
67. Who was the tenth disciple of Jesus in the list of twelve?

  • Thaddaeus (Matthew 10: 1-4; Mark 3:13 -19)
  • Judas son of James is the corresponding name in Lukes gospel (Luke 6:12-16)
68. Jesus saw a man sitat the tax collectors office and called him to be his disciple. What was his name?

  • Matthew (Matthew 9:9)
  • Levi (Mark 2:14; Luke 5:27)
69. Was Jesus crucified on the daytime before the Passover meal or the daytime after?

  • After (Mark 14:12-17)
  • Before. Before the feast of the Passover (John 1) Judas went out at night (John 13:30). The other disciples thought he was going out to buy supplies to prepare for the Passover meal (John 13:29). When Jesus was arrested, the Jews did not enter Pilates judgment hail because they wanted to stay clean to eat the Passover (John 18:28). When the judgment was pronounced against Jesus, it was about the sixth hour on the day of Preparation for the Passover (John 19:14)
70. Did Jesus pray to The Father to prevent the crucifixion?

  • Yes. (Matthew 26:39; Mark 14:36; Luke 22:42)
  • No. (John 12:27)
71. In the gospels which say that Jesus prayed to avoid the cross, how many times did he move away from his disciples to pray?

  • Three (Matthew 26:36-46 and Mark 14:32-42)
  • One. No opening is left for another two times. (Luke 22:39-46)
72. Matthew and Mark agree that Jesus went away and prayed three times. What were the words of the second prayer?

  • Mark does not give the words but he says that the words were the same as the first prayer (Mark 14:3 9)
  • Matthew gives us the words, and we can see that they are not the same as in the first (Matthew 26:42)
73. What did the centurion say when Jesus dies?

  • Certainly this man was innocent (Luke 23:47)
  • Truly this man was the Son of God (Mark 15:39)
74. When Jesus said My God, my God, why hast thou forsaken Me ? in what language did he speak?

  • Hebrew: the words are Eloi, Eloi ..(Matthew 27:46)
  • Aramaic: the words are Eloi, Eloi .. (Mark 15:34)
75. According to the gospels, what were the last words of Jesus before he died?

  • Father, into thy hands I commit my spirit! (Luke 23:46)
  • "It is finished" (John 19:30)
76. When Jesus entered Capernaum he healed the slave of a centurion. Did the centurion come personally to request Jesus for this?

  • Yes (Matthew 8:5)
  • No. He sent some elders of the Jews and his friends (Luke 7:3,6)
77.

  • Adam was told that if and when he eats the forbidden fruit he would die the same day (Genesis 2:17)
  • Adam ate the fruit and went on to live to a ripe old age of 930 years (Genesis 5:5)
78.

  • God decided that the life-span of humans will be limited to 120 years (Genesis 6:3)
  • Many people born after that lived longer than 120. Arpachshad lived 438 years. His son Shelah lived 433 years. His son Eber lived 464 years, etc. (Genesis 11:12-16)
79. Apart from Jesus did anyone else ascend to heaven?

  • No (John 3:13)
  • Yes. And Elijah went up by a whirlwind into heaven (2 Kings 2:11)
80. Who was high priest when David went into the House of GOD and ate the consecrated bread?

  • Abiathar (Mark 2:26)
  • Ahimelech, the father of Abiathar (I Samuel 1:1; 22:20)
81. Was Jesus body wrapped in spices before burial in accordance with Jewish burial customs?

  • Yes and his female disciples witnessed his burial (John 19:39-40)
  • No. Jesus was simply wrapped in a linen shroud. Then the women bought and prepared spices so that they may go and anoint him [Jesus) (Mark 16: 1)
82. When did the women buy the spices?

  • After the Sabbath was past (Mark 16:1)
  • Before the Sabbath. The women prepared spices and ointments. Then, on the Sabbath they rested according to the commandment (Luke 23:55 to 24:1)
83. At what time of day did the women visit the tomb?

  • Toward the dawn (Matthew 28: 1)
  • When the sun had risen (Mark 16:2)
84. What was the purpose for which the women went to the tomb?

  • To anoint Jesus body with spices (Mark 16: 1; Luke 23:55 to 24: 1)
  • To see the tomb. Nothing about spices here (Matthew 28: 1)
  • For no specified reason. In this gospel the wrapping with spices had been done before the Sabbath (John 20: 1)
85. A large stone was placed at the entrance of the tomb. Where was the stone when the women arrived?

  • They saw that the stone was Rolled back (Mark 16:4) They found the stone rolled away from the tomb (Luke 24:2) They saw that the stone had been taken away from the tomb (John 20:1)
  • As the women approached, an angel descended from heaven, rolled away the stone, and conversed with the women. Matthew made the women witness the spectacular rolling away of the stone (Matthew 28:1-6)
86. Did anyone tell the women what happened to Jesus body?

  • Yes. A young man in a white robe (Mark 16:5). Two men ... in dazzling apparel later described as angels (Luke 24:4 and 24:23). An angel - the one who rolled back the stone (Matthew 16:2). In each case the women were told that Jesus had risen from the dead (Matthew 28:7; Mark 16:6; Luke 24:5 footnote)
  • No. Mary met no one and returned saying, They have taken the Lord out of the tomb, and we do not know where they have laid him (John 20:2)
87. When did Mary Magdelene first meet the resurrected Jesus? And how did she react?

  • Mary and the other women met Jesus on their way back from their first and only visit to the tomb. They took hold of his feet and worshipped him (Matthew 28:9)
  • On her second visit to the tomb Mary met Jesus just outside the tomb. When she saw Jesus she did not recognize him. She mistook him for the gardener. She still thinks that Jesus body is laid to rest somewhere and she demands to know where. But when Jesus said her name she at once recognized him and called him Teacher. Jesus said to her, Do not hold me... (John 20:11 to 17)
88. What was Jesus instruction for his disciples?

  • Tell my brethren to go to Galilee, and there they will see me (Matthew 2 8: 10)
  • Go to my brethren and say to them, I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God (John 20:17)
89. When did the disciples return to Galilee?

  • Immediately, because when they saw Jesus in Galilee some doubted (Matthew 28:17). This period of uncertainty should not persist
  • After at least 40 days. That evening the disciples were still in Jerusalem (Luke 24:3 3). Jesus appeared to them there and told them, stay in the city until you are clothed with power from on high (Luke 24:49). He was appearing to them during forty days (Acts 1:3), and charged them not to depart from Jerusalem, but to wait for the promise ... (Acts 1:4)
90. To whom did the Midianites sell Joseph?

  • To the Ishmaelites (Genesis 37:28)
  • To Potiphar, an officer of Pharaoh (Genesis 37:36)
91. Who brought Joseph to Egypt?

  • The Ishmaelites bought Joseph and then took Joseph to Egypt (Genesis 37:28)
  • The Midianites had sold him in Egypt (Genesis 37:36)
  • Joseph said to his brothers I am your brother, Joseph, whom you sold into Egypt (Genesis 45:4)
92. Does God change his mind?

  • Yes. The word of the Lord came to Samuel: I repent that I have made Saul King... (I Samuel 15:10 to 11)
  • No. God will not lie or repent; for he is not a man, that he should repent (I Samuel 15:29)
Yes. And the Lord repented that he had made Saul King over Israel (I Samuel 15:35). Notice that the above three quotes are all from the same chapter of the same book! In addition, the Bible shows that God repented on several other occasions:

i. The Lord was sorry that he made man (Genesis 6:6)

I am sorry that I have made them (Genesis 6:7)

ii. And the Lord repented of the evil which he thought to do to his people (Exodus 32:14).

iii. (Lots of other such references).

93. The Bible says that for each miracle Moses and Aaron demonstrated the magicians did the same by their secret arts. Then comes the following feat:

  • Moses and Aaron converted all the available water into blood (Exodus 7:20-21)
  • The magicians did the same (Exodus 7:22). This is impossible, since there would have been no water left to convert into blood.
94. Who killed Goliath?

  • David (I Samuel 17:23, 50)
  • Elhanan (2 Samuel 21:19)
95. Who killed Saul?

  • Saul took his own sword and fell upon it.... Thus Saul died... (I Samuel 31:4-6)
  • An Amalekite slew him (2 Samuel 1:1- 16)
96. Does every man sin?

  • Yes. There is no man who does not sin (I Kings 8:46; see also 2 Chronicles 6:36; Proverbs 20:9; Ecclesiastes 7:20; and I John 1:810)
  • No. True Christians cannot possibly sin, because they are the children of God. Every one who believes that Jesus is the Christ is a child of God.. (I John 5:1). We should be called children of God; and so we are (I John 3: 1). He who loves is born of God (I John 4:7). No one born of God commits sin; for Gods nature abides in him, and he cannot sin because he is born of God (I John 3:9). But, then again, Yes! If we say we have no sin we deceive ourselves, and the truth is not in us (I John 1:8)
97. Who will bear whose burden?

  • Bear one anothers burdens, and so fulfill the law of Christ (Galatians 6:2)
  • Each man will have to bear his own load (Galatians 6:5)
98. How many disciples did Jesus appear to after his resurrection?

  • Twelve (I Corinthians 15:5)
  • Eleven (Matthew 27:3-5 and Acts 1:9-26, see also Matthew 28:16; Mark 16:14 footnote; Luke 24:9; Luke 24:3 3)
99. Where was Jesus three days after his baptism?

  • After his baptism, the spirit immediately drove him out into the wilderness. And he was in the wilderness forty days ... (Mark 1:12-13)
  • Next day after the baptism, Jesus selected two disciples. Second day: Jesus went to Galilee - two more disciples. Third day: Jesus was at a wedding feast in Cana in Galilee (see John 1:35; 1:43; 2:1-11)
100. Was baby Jesus life threatened in Jerusalem?

  • Yes, so Joseph fled with him to Egypt and stayed there until Herod died (Matthew 2:13 23)
  • No. The family fled nowhere. They calmly presented the child at the Jerusalem temple according to the Jewish customs and returned to Galilee (Luke 2:21-40)
101. When Jesus walked on water how did the disciples respond?

  • They worshipped him, saying, Truly you are the Son of God (Matthew 14:33)
  • They were utterly astounded, for they did not understand about the loaves, but their hearts were hardened (Mark 6:51-52)
 
Back
Top Bottom