Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nikianzia namba 4. Sijaongelea ibada wala sadaka.1. We umeona Mungu mwingine ameona vitu vya kawaida katika nature, ukosaji wako wa maarifa ndo umekufanya uamini ni Mungu na sio vitu vya kawaida tu.
2. Uhai sio Kama Maji, hauwezi kuwekwa kwenye chombo hiki na kupelekwa kile. Uhai ni kama moto wa kiberiti, ukiuwasha ukizima huwezi uwasha Tena bila kutumia moto mwingine.
3. Mtu mawazo yake yote yapo kwenye ubongo, hence ubongo ukifa na mawazo hufa, unakua hujui chochote huoni chochote, na madoctor wameprove hivyo kwa watu wenye matatizo ya ubongo. Watu walioandika hizi story walikuwa wanajua moyo ndo unafikra, roho sijui Nini, ndo maana wakasema hivyo. Ila now tunajua hamna kitu Kama roho na ishakuwa disproven Mara kibao.
4. Kingine acha uwoga. Waliokutishia wanataka sadaka zako na kucontrol maisha yako?
3. Unaonesha mapungufu ya maarifa. Mawazo siyo uhai.
2. Wrong again
1. Inawezekana unalazimisha nadharia na siyo kujadili nadharia na facts.
Nimekuelezea nionavyo mimi, lakini sentensi ya kwanza ukaanza kuni degrade personal huo ni upungufu mkubwa kwenye meza ya mjadala.
Maoni yangu bado haujayajibu bali umekuja na hoja dhaifu tena za kukurupuka bila kujua unaongea nini.