Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,395
Reaction score
6,558
Uchambuzi wa kina

1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?"

Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani.

Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu mbalimbali.

Kifalsafa: Inaibua swali—Je, dini ni njia tofauti za kuelekea kwa Mungu mmoja? Au ni tafsiri za binadamu juu ya nguvu isiyoonekana?

2. "Mbona sheria zinapingana?"

Hii inahusu tofauti za maadili, sheria za kidini na sheria za kijamii au kitaifa.

Mfano: Katika dini moja jambo fulani ni haramu kabisa, lakini kwa jamii nyingine ni la kawaida.

Maswali ya kina: Sheria hizi ni sauti ya Mungu au ni tafsiri ya binadamu juu ya yale wanayodhani ni mapenzi ya Mungu?

3. "Nini hatima na hukumu ya watenda dhambi ikiwa kila dini na sheria yake?"

Swali la kiroho: Ikiwa kila dini ina mbingu na moto wake, je, hatima ya mtu inategemea dini aliyozaliwa au aliyoichagua?

Swali hili linaathiri wazo la haki ya kimungu na upendeleo. Je, Mungu anaweza kumhukumu mtu kwa kufuata njia aliyorithi bila kujua nyingine?

4. "Je ni kweli miungu ya Afrika haina nguvu au imepuuzwa?"

Kihistoria: Dini za Kiafrika zilitumika kabla ya ujio wa dini za Kimagharibi (Ukristo, Uislamu).

Swali la kiutambulisho: Je, kupuuzwa kwa miungu ya Kiafrika ni matokeo ya ukoloni wa kiroho?

Falsafa: Kama miungu hiyo ilikuwa na nguvu, je bado inafanya kazi, au miungu yao ilikuwa haina nguvu

Karibuni.
 
Mungu sahihi WA kuabudu NI mmoja tu LUCIFER maana yeye ameufanya Moyo wake kuwa sawa na Mungu hakijua sikosa kwasbabu imeandikwa ."Nanyi mtakuwa Kama Mungu ......"
Tena imeandikwa.Yesu akawaambia "Je sisemi kweli kuwa nyinyi NI Miungu ...."

Mpaka hapa Mungu WA kutumaini NI mmoja tu Lusifa.(Baba WA Miungu)

Kazi kwako
 
Kwa nini Mungu yeyote awe sahihi?
 
Kwa nini Mungu yeyote awe sahihi
Kwa kifupi, si kila dhana ya Mungu ni sahihi kwa logic. Kuna zile ambazo zina mantiki, na zile ambazo haziendani kabisa Na huwezi tu kusema Mungu yeyote ni sahihi bila kuchambua.

Hiyo ni kama kukubali kila jibu kwa swali moja kitu ambacho logic haiwezi kuruhu
 
Mungu sahihi WA kuabudu NI mmoja tu LUCIFER maana yeye ameufanya Moyo wake kuwa sawa na Mungu hakijua sikosa kwasbabu imeandikwa ."Nanyi mtakuwa Kama Mungu ......"
Tena imeandikwa.Yesu akawaambia "Je sisemi kweli kuwa nyinyi NI Miungu ...."

Mpaka hapa Mungu WA kutumaini NI mmoja tu Lusifa.(Baba WA Miungu)

Sio kila dini ina
Hii hadithi yako ukimsimlia mchina atakuelewa kweli?
 
Uchambuzi wa kina

1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?"

Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani.

Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu mbalimbali.

Kifalsafa: Inaibua swali—Je, dini ni njia tofauti za kuelekea kwa Mungu mmoja? Au ni tafsiri za binadamu juu ya nguvu isiyoonekana?
Ukweli ni kwamba Mungu hana dini na wala hajali kuhusu dini yoyote ile isipokuwa ni muhimu kwake kwamba wandamu wanaufahamu ukweli wake.
2. "Mbona sheria zinapingana?"

Hii inahusu tofauti za maadili, sheria za kidini na sheria za kijamii au kitaifa.

Mfano: Katika dini moja jambo fulani ni haramu kabisa, lakini kwa jamii nyingine ni la kawaida.

Maswali ya kina: Sheria hizi ni sauti ya Mungu au ni tafsiri ya binadamu juu ya yale wanayodhani ni mapenzi ya Mungu?
Ni mapungufu ya wanadamu kuelewa UKWELI. Pia ni strategy ya "shetani" kuleta mvurugano kati ya wanadamu.
3. "Nini hatima na hukumu ya watenda dhambi ikiwa kila dini na sheria yake?"

Swali la kiroho: Ikiwa kila dini ina mbingu na moto wake, je, hatima ya mtu inategemea dini aliyozaliwa au aliyoichagua?

Swali hili linaathiri wazo la haki ya kimungu na upendeleo. Je, Mungu anaweza kumhukumu mtu kwa kufuata njia aliyorithi bila kujua nyingine?
Hukumu itakuwa kwa kila mtu kadiri ya anachojua na kufanya. Kimsingi kila mtu anacho kitu moyoni mwake kama ubao wa sheria hivi na utahukumiwa kwa hicho na watu watashangaa sana kwamba dini kwa kiasi kikubwa ni hadaa!
4. "Je ni kweli miungu ya Afrika haina nguvu au imepuuzwa?"

Kihistoria: Dini za Kiafrika zilitumika kabla ya ujio wa dini za Kimagharibi (Ukristo, Uislamu).

Swali la kiutambulisho: Je, kupuuzwa kwa miungu ya Kiafrika ni matokeo ya ukoloni wa kiroho?

Falsafa: Kama miungu hiyo ilikuwa na nguvu, je bado inafanya kazi, au miungu yao ilikuwa haina nguvu

Karibuni.
Miungu ya Ki-africa? Kimsingi Mungu ni Mmoja aliye Mwenyezi na baada ya hapo ni miungu ambayo ni viumbe tu wa yule Mwenyezi. Na sio Waafrika pekee huabudu miungu, hata wazungu na wachina pia na hii huweza kuitwa mizimu na ndiyo imechukua sehemu kubwa Africa.

Ni kweli miungu hii haina nguvu ikilinganishwa na Mungu Mwenyezi. Hatupaswi kujiweka chini ya miungu hii dhaifu.
 
Kwa kifupi, si kila dhana ya Mungu ni sahihi kwa logic. Kuna zile ambazo zina mantiki, na zile ambazo haziendani kabisa Na huwezi tu kusema Mungu yeyote ni sahihi bila kuchambua.

Hiyo ni kama kukubali kila jibu kwa swali moja kitu ambacho logic haiwezi kuruhu
Mungu ni nini kwanza?
 
Unabidi kujua kuwa dini hazipo Ila Mungu yupo kwakuwa dini zimekuja juzi juzi hapa na zinatumika Kama njia ya kupotosha na sio kujenga .

Ukifatilia kiundani utagundua kuwa IPO nguvu moja Ila unaweza kuamua uitumieje .
 
Kiranga Hili limekaa vipi?
 
Mfano makisani huwa wanakemea pepo la umasikini n.k

Ila ukijuliza umasikini ni pepo au ni hali tu inayotokana na mazingira ya sehemu husika .

Na kuna umasikini wa bandia ambao hata ukipewa nini hauwezi kuumaliza .

Unakuta mchungaji anajipigia hela anavyotaka kwa kutoa pepo la umasikini Kama afanyavyo Mwamposa.
 
Back
Top Bottom