Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

Unabidi kujua kuwa dini hazipo Ila Mungu yupo kwakuwa dini zimekuja juzi juzi hapa na zinatumika Kama njia ya kupotosha na sio kujenga .


Ukifatilia kiundani utagundua kuwa IPO nguvu moja Ila unaweza kuamua uitumieje .
Unaposema kitu kipo na kingine hakipo una maana gani?

Kuwepo ni nini?

Kwa nini unasema dini hazipo halafu unasema zimekuja juzi juzi hapa? Kitu ambacho hakipo kimekujaje juzi juzi hapa? Huoni kuwa hiyo ni contradiction?

Nguvu moja unayoisema ni ipi? Kwa nini ni moja si mbili, tatu au zaidi?

Thibitisha kimantiki Mungu yupo.
 
Pia binadamu wana uwezo wa Asili na katika huo uwezo ndo wajanja hujiita kuwa wamepakwa mafuta na wengine husema wana karama.

Huu uwezo ni. Wakupeleka mambo na kufanya mambo yanjongee au yawe namwendo.

Ila wengine wana uwezo wa kupeleka mambo juu na wengine wana uwezo wa kupeleka mambo chini..
 
Dah majibu ya haya maswali sijui niseme yanayohitaji tafakuru ya kina ama ukweli wa mambo🤔
 

Mungu yupo God exist na Mungu hauwezi ukasema yupo kwa kuthibitisha Ila ni Experience za MTU na MTU .

Katika logic , ili uweze kujua Mungu hayupo lazima utambue kila kitu kina chanzo kwahiyo Chanzo cha kuwepo binadamu n.k maana yake kuna Mamlaka iliyo juu yake huyo Binadamu.

Hata wewe bwana Kiranga IPO nguvu iliyo juu yako ambayo imekuwa ikiendesha maisha yako either kwa kujua au kutokujua ndo maana baadhi ya mambo unaweza kuona yanatokea tu pasiipo kuyazuia.

Kukataa Kuwa Hamna Mungu au nguvu iliyo juu yako ni kukataa Chanzo chako .

Wewe una chanzo chako Kama binadamu
 
Hii ni tafakuru ya kina sana 🤔 ndio maana mimi mda mwingine nafikiri mungu kwa umoja wake inaweza kuwa kila kitu katika muktadha tofauti tofauti , mawe, kinyesi milima mabonde , wafu , walio hai na kila aina ya kilichokuwepo na hata vinavyosadikika kutokuwepo , ila hii ni kwa akili zangu za kilevi tu🤔
 
Ikiwa Mungu hana dini huo ukweli wake tutaupata kupitia njia gani?
 
😁😁😁😁 inafikirisha Mkuu umetisha
 
Ikiwa Mungu hana dini huo ukweli wake tutaupata kupitia njia gani?

Mambo mengi ni Experience za watu ili ujue Mungu ni kitu real au fake inakubidi kuwa na Experience zako .

Ndo maana kuna watu hata apate elfu tano ataamini Mungu kambariki n.k


Spiritual life is someone experience.

Unabidi kujua sio kila kitu kina workout kwako .
 
Mungu ni nini kwanza?
... kwanza kabisa, watu hawana tafsiri moja ya Mungu. Kwa wengine, Mungu ni yule wa Biblia au Qur’an Muumba mwenye nguvu zote, anayejua kila kitu. Kwa wengine, ni nguvu tu ya asili, au hata hali fulani ya juu ya akili. Kwa hiyo kusema “Mungu yeyote” ni kama kusema “chochote kinaweza kuwa Mungu” – lakini hilo si rahisi kulieleza kwa mantiki.
 
MIUNGU ya Africa ilikuwa strong sema ilisimikwa kwenye vichwa vya wasio na akili ikasahaurika. Cultures dhaifu humezwa na Cultures strong ndo mfumo wa dunia ulivyo.
Africans ni viumbe dhaifu ki akili ukilinganisha na race nyingine mwarabu is next to us kwa wehu
 
Africa hawana tofauti Sana na wanyama wa kawaida wapo vision less .
 
Mungu anaye ongelewa na kutetewa na binadamu badala ya yeye kujitetea mwenyewe ni Mungu wa kutungwa na binadamu.

Mungu ni dhana uchwara iliyotungwa na binadamu ndio maana siku zote ni binadamu tu, wanahangaika kumwelezea, kumtetea na kumwongelea huyo Mungu wa kutunga.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo kujitetea mwenyewe, kujidhihirisha mwenyewe na kujiongelea mwenyewe.

Mungu ni fictional character.

Hakuna Mungu.
 
Naunga mkono hoja
 
Kiuhalisia Mungu ni wengi ila Muumba ni mmoja na hana dini na hapo wengi ndipo walipigwa chenga na mifumo na falme na mamlaka wasijue wanachokiabudu hata Yesu aliwaambia wana wa israel kuwa hawajui wanachokiabudu rejea Yohana 4:22.

Wengi hudhani unaposema Miungu ni tofauti na Mungu kumbe ni singular na plural tu,Ila unaposema Mungu wa kweli ndio wamaanisha Muumba yaani The real Source of all creation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…