Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

Nimekuja mbio nikadhani umesena Mungu alipo kumbe ni porojo tu, where is he?
 
Nimekuja mbio nikadhani umesena Mungu alipo kumbe ni porojo tu, where is he?
Mbinguni, Duniani na ndani ya Mtu

Isaya 66:1 Bwana asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?
2 Maana mkono wangu ndio uliofanya hivi vyote, vitu hivi vyote vikapata kutokea, asema Bwana; lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu.

1 Wakorintho 3:16
Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?
 
Woi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…