You atheists are loosers. Sisi boldly tunamwamini Mungu na hatuoni aibu kusema hivyo. Ninyi mnaamini utupu ila mwaona aibu kukiri hivyo.Theists are looser bro, watu wanyongefu wasioweza kutatua matatizo yao wenyewe na kuface reality!
You atheists are loosers. Sisi boldly tunamwamini Mungu na hatuoni aibu kusema hivyo. Ninyi mnaamini utupu ila mwaona aibu kukiri hivyo.
Mmebaki na rhetorics zisizo na maana mkileta ngano visasili na hekaya badala ya kujibu hoja.
Na siwalaumu kwa sababu ni vigumu sana kupinga uwepo wa Mtu ambaye yupo!
Ila Dini yenu ya hakuna Mungu ndio tatizo maana haiwaruhusu vyovyote vile kukubaliana na uhalisia!
Hujajibu hoja hata moja tangu umeingia uzi huu.
Pole!
Zorrander, na kaburungu:
Kiukweli watu wengi hawana ufahamu huu lakini uko wazi katika Biblia.
Argument zote hizi ziko wazi na wala si mpya. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa biblia kumejaa utajiri wa Falsafa, sayansi, Mantiki na kila namna ya mawe ya thamani.
Ashukuriwe Mungu aliyetupa hakika kuwa Yupo na kwamba kuna siku tutakaa nae bila kutengana Milele.
Lazima tufanye juhudi kuwasaidia akina Kiranga, CYBERTEQ na wengineo waujue ukweli kama Neno linavyosema:
"And others save with fear, pulling them out of the fire; hating even the garment spotted by the flesh" - Jude 23
Kumbuka Biblia inatuonya:
"But sanctify the Lord God in your hearts: and be ready always to give an answer to every man that asketh you a reason of the hope that is in you with meekness and fear" - 2Peter 3:15
Mbarikiwe Nyote!
Utakuwa na utani na biblia wewe, hahahahaa!
Utakuwa na utani na biblia wewe, hahahahaa!
Uthibitisho wa uwepo wa mungu ni upi?
mtoa mada umeonesha madhaifu mengi na mapungufu japo umejitahidi kuandika mambo mengi.
kwanza kitendo cha kusema mungu wa biblia hapo ushawatenga watu wa madhehebu mengi na ni ubifsi tayari,kuna wahindi wanaabudu ng,ombe na huwaambiei kitu.acha waislam ambao hayamtambui mungu wenu mmoja wapo ,,yesu,,
kutoa vifungu kwenye bible ni kuonesha udhaifu kwamba unajadili kitu kwa refaa maandiko ambayo unajua waz yana mapungufu mengi na kiranga alisha yatoa humu sina haja ya kuyarudi
umeshindwa kutoa ufafanuzi mzuri kuhusu mungu wako huyo,mfano kwa nn anapendelea baadhi ya watu??,mfano hafithi za taifa teule,kuuwawa kwa watu zaidi ya bilion mbili wakati wa safar ya waizrael kutoka misri!!,,
Ile story maarufu ya uumbaji haina mashiko kwa sababu ni hadithi ya kutunga.
sasa naomba ujibu maswali hay
1.kwa nn biblia inaitwa kitabu kitakatifu?utakatifu wake ni upi hasa.??
2.Huoni kwamba uumbaji ni hadithi ya kutunga ambayo baadhi wa wasomi wa zamabi walikaa na kuandika jinsi walivokuwa wanahisi??
3.Ilikuwaje mungu akawaamuru waizrael waue kila kiumbe hata watoto namifugo katika safar yao ya kurudi kwao ??
4,Biblia inamaana gani inaposema na zibalikiwe koo 12 za wana wa izrael??na pia inamaana gan inaposema watu wa mataifa??
5.Una uhakika gani na story ya ufufuo wa yesu ??,huoni kwamba ni hadithi iliyobuniwa na mtume paul baada ya kufikiri kwamba haiwezekani asifufuke??,na kwa nn hadithi yak ufufka yesu haimo katika habar za vitabu vya zaman japo hadithi za yesu zimo na anaelezewa kama mwanaharakati??
6.Nini maana ya dogma katika ukristu,naje unaamini katika dini zingine kama uislam ?,
7asili ya mungu ni nn ??na unauhakika gani na unachokiamini??,na kwa nn dini yako inapinga uvumbuzi na sayansi na kwa nn walitaka kumuua mgunduz aliyesema dunia ni duara??,
8.Huon kwamba biblia inadanganya inaposema joshua akaona jua linazama kwenye matope!!,kisha akamuimva mungu asimamishe jua lisizunguke dunia ili awashinde wafilupino??,na je mungu alipomwambia kain
kwamba na watu wakikuona wasikuuu,na jeyote atakae kulaani nitlaani!!!..ni akina nani hao nakati dunia ilikuwa na watu watatu baada ya abel kufariki??
Kwanza ninaposema Mungu ninaongelea "Mungu kama anavyoelezwa ndani ya Biblia". Hapa hatutazungumzia (ktk mada hii) kuhusu Biblia, ila Mungu wa Biblia. Usiniulize kuhusu imani nyingine maana mimi nakubali Mungu wa Biblia na ninaweza kukujibu kuhusu Mungu kama inavyoeleza Biblia. Kwa habari ya imani nyingine, subiri wafungue uzi au fungua kuwauliza watakujibu vizuri tu (ninaamini hivyo).
sasa naomba ujibu maswali hay
1.kwa nn biblia inaitwa kitabu kitakatifu?utakatifu wake ni upi hasa.??
2.Huoni kwamba uumbaji ni hadithi ya kutunga ambayo baadhi wa wasomi wa zamabi walikaa na kuandika jinsi walivokuwa wanahisi??
5.Una uhakika gani na story ya ufufuo wa yesu ??,huoni kwamba ni hadithi iliyobuniwa na mtume paul baada ya kufikiri kwamba haiwezekani asifufuke??,na kwa nn hadithi yak ufufka yesu haimo katika habar za vitabu vya zaman japo hadithi za yesu zimo na anaelezewa kama mwanaharakati??
7asili ya mungu ni nn ??na unauhakika gani na unachokiamini??,na kwa nn dini yako inapinga uvumbuzi na sayansi na kwa nn walitaka kumuua mgunduz aliyesema dunia ni duara??,
8.Huon kwamba biblia inadanganya inaposema joshua akaona jua linazama kwenye matope!!,kisha akamuimva mungu asimamishe jua lisizunguke dunia ili awashinde wafilupino??,na je mungu alipomwambia kain
kwamba na watu wakikuona wasikuuu,na jeyote atakae kulaani nitlaani!!!..ni akina nani hao nakati dunia ilikuwa na watu watatu baada ya abel kufariki??
Umesoma mada ukaielewa wewe?
Mbona unaulizamaswali ambayo mtoa mada ametoa angalizo kuyahusu?
Wewe ni free ideas kweli?
ufafanuzi wenye lundo la limitations ni ufafanuzi mfu,kama nauliza kuhusu X,kisha mtu akaja na kunihakikishia kuwa ana majibu yote kuhusu X, then ananiambia kuwa maswali yangu yaishie kwenye C tu nisifike hata D achilia mbali hiyo X yenyewe,nitamuona huyo mtu kuwa ni mwongo tu! Wala sitamwamini tena.
ufafanuzi wenye lundo la limitations ni ufafanuzi mfu,kama nauliza kuhusu X,kisha mtu akaja na kunihakikishia kuwa ana majibu yote kuhusu X,then ananiambia kuwa maswali yangu yaishie kwenye C tu nisifike hata D achilia mbali hiyo X yenyewe,nitamuona huyo mtu kuwa ni mwongo tu! Wala sitamwamini tena.
Kwani kila swali lazima liulizwe ktk uzi huu? Na aliyekwaambia nina majibu yote nani?
Kisichokuwepo?
Kwa kipimo gani hakipo?
Kwa uchunguzi upi hakipo?
Anaesema hakipo
Really?
Insane ni yule anaepinga uwepo wa jambo au kitu ambacho hata yeye hana ushahidi wa kupinga
Kama unajua Juma hayupo nipe ushahidi kuwa hayupo sio kupiga blabla tu hapa
Suala la kudai kuwa kitu kisichokuwepo hakihitaji ushahidi ni kama vile tu mtu ameshindwa kwenda Mtwara kwa sababu hajui njia ya kwenda huko na akaanzisha ajenda ya kukana uwepo wa mji huo
Huo ni zaidi ya uzuzu
Unaambiwa Mtwara ipo na sababu umepewa halafu wewe unasema haipo ukidaiwa ushahidi wa hilo huna!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama sio kichaa hicho ni nini?