Wakuu Eiyer, JingalaFalsafa na Mleta mada hii na wachangiaji wote wanaokubali uwepo wa Mungu, Hawa akina Kiranga na wenzake hawana jipya Zaidi ya kubisha kwa hoja zao zilezile!
Na uthibitisho wa kutokuwepo kwake ni upi?
Kweli Mkuu Biblia ina utajiri wa Kila maarifa! Na majibu ya Kila kitu!
Ni wao kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho!
Kabla sijazungumzia chochote kuhusiana na maelezo yako ya ajabu hebu thibitisha kwanza hilo hapo
Unaweza kuwa hujanielewa
Yaani namaanisha utupe ushahidi wa hayo maneno yako hapo juu kuwa "complexity kubwa iliyoumba comlexity ndogo nayo ni lazima iumbwe"
Kisha utupe na njia uliyotumia kufikia hayo majibu yako
Maana inawezekana hata hujui unachoandika hapa!
Na ndipo tutajua mbwiga ni nani kati yako wewe na mkuu uliemquote!
Kuna kujibu na kubabaisha.
Ukitoa jibu lisilo sahihi hujajibu.
Umebabaisha.
Hii kauli yako inathibitisha kuwa umeshapewa jibuKwamba jibu lako si sahihi.
Nina wasiwasi hata ulichokiandika kama umekielewa!Premise imeanza "kama complexity ni lazima iumbwe".
Unajua kusoma wewe?
Una kifaduro cha ubongo?
Again, umepiga blaa blaa tu. Swali Kuu hapa ni: IWEJE MUNGU AACHILIE DHAMBI ITOKEE, THEN APANGE MPANGO MGUMU WA UKOMBOZI ULIOGHARIMU MAISHA YA MWANAYE WA PEKEE? UNAJUA SABABU HASA YA MUNGU KURUHUSU DHAMBI IINGIE? JE, KAMA ALIACHIA DHAMBI IINGIE, TUNA UHAKIKA GANI KUWA HAITAJIRUDIA TENA IWAPO NI MUNGU YULE YULE WA KALE, LEO NA HATA MILELE ZOTE? AU KABADILI MAWAZO NA MTAZAMO KUHUSU UHURU ALIOMPATIA MWANADAMU WA KWANZA? Au uhakika wako unaoutoa kwenye huo mkusanyiko wa novels mnaouita BIBLIA?
Ok,Kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa inayoumba complexity ndogo nayo ni lazima iumbwe.
Nina wasiwasi hata ulichokiandika kama umekielewa!
Kiranga hujaona kama kuna maswali unayotakiwa kujibu hapo?Ni sawa na kusema kama wewe unabisha kuwa risasi haiui na mimi nasema inaua inabidi mimi niruhusu unirarue nayo ili tuone kama inaua ama la!
Funny,isn't it?
Kwanini utoke kwenye msimamo wako?
Unataka tufanye majadiliano kutokakwenye msimamo fake,kwanini?
Kama unasema Mungu hayupo halafu ukapose kama gnostic inamaana wewe ni kigeugeu na hujui kama hujui Mungu yupo ama la!
Kwanini "tuseme Mungu yupo"?
Kwanini tufanye majadiliano kwa kutumia assumption?
Sisi hapa atu-assume bali tunaamini yupo kama wewe UNAVYOAMINI hayupo!
Haya ni maswali ambayo anatakiwa aulize mtu ambae anaamini Mungu yupo sio anae-assume Mungu yupo
Maswali yako hayana maana kwakuwa una-assume tu!
Sisi hatusemi let x be,sisi tunasema x ni ......
Wewe ndio unasema let x be ....
Huoni kuwa tuko nchi mbili tofauti?
Tutajadilije jambo ambalo hata uwepo wake hatujakubaliana?
Nimeshakujibu hii
How do you "distinguish" bad from good?
Unatumia kipimo gani?
Sio kweli
Kwanini hupendi?
Kwanini unapenda?
Umekosa tafakuri wewe
Ukishasema jema tayari umeshamtaja Mungu
Au na hili hujui?
Kwahiyo "wakijadili" tayari wanakuwa wamemfanya Mungu kutokuwepo?
Huoni hata hapa tunajadili?
AAu kwa mimi kujadili morality inayothibitisha kuwepo kwa Mungu nakuwa nimemthibitisha tayari,right?
Halafu Moral ni nini?
Imetoka wapi?
Kwanini tunayo?
Hebu tuambie kwanza baya na jema ni nini ili tujadili kama tunaweza kujua kama Kuna ubaya na wema nje ya Mungu
Maana naona unarukia mambo tu!
Mimi nasema hujaelewa ulichokiandikaWasiwasi unaruhusiwa kwenye lolote.
Swali ni, je unajua hilo?
Kama unajua toa ushahidi.
Ok,
First thing first,unakubali kuwa binadamu aliumbwa ili tuanze safari nyingie ya kutafiti kama aliyemuumba binadamu nae kaumbwa?
Mimi nasema hujaelewa ulichokiandika
Kama umeelewa thibitisha!
That follows from LOGIC, haiwezekani kitu rahisi kama kiberiti kitengenezwe halafu jitu kubwa na tata kama Air Bus / Boeing 747 iwe iliibuka tu from no where! Kama hadi hapa na kwa analogy hii simple kabis hutakuwa umeelewa basi sitakuwa na cha kukusaidia maana huenda hutaki tu kuelewa au huyo mungu wako hakufanikiwa kukupa akili yenye upeo mdogo tu wa kuelewa mambo marahisi kama hili! Hilo sasa halitakuwa kosa langu tena, you will need to consult your creator!Kabla sijazungumzia chochote kuhusiana na maelezo yako ya ajabu hebu thibitisha kwanza hilo hapo
Unaweza kuwa hujanielewa
Yaani namaanisha utupe ushahidi wa hayo maneno yako hapo juu kuwa "complexity kubwa iliyoumba comlexity ndogo nayo ni lazima iumbwe"
Kisha utupe na njia uliyotumia kufikia hayo majibu yako
Maana inawezekana hata hujui unachoandika hapa!
Na ndipo tutajua mbwiga ni nani kati yako wewe na mkuu uliemquote!
Swali la kwanini dhambi iwepo linatakiwa liulizwe na yule anaekubali uwepo wa Mungu
Wewe unaekana uwepo wake inabidi tukuulize ni kwanini unadhani kuna dhambi na ni kwa tafsiri ipi?
Hapo hakuna Ligi yoyote mkuu, maana kiukweli hakuna cha Timu A (Yesu) wala Timu B (Mungu), sasa hapo ligi itakuwa ni ya Nani V/s Nani?Mi natafungua ligi nyingine.Yesu ni MUNGU
Thibitisha hili na lile lingineWewe hata hujaelewa kama sijaelewa.
Kama ungeelewa usingeomba uthibitisho.
Hata hujaelewa kwamba sijaelewa kama sijaelewa.
Na hujaelewa tofauti ya kuelewa kwamba sijaelewa kama sijaelewa na kutoelewa kwamba sijaelewa kuwa nimeelewa.