Muogope sana mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,724
Reaction score
24,474
Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.

Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.

Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.

Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.

Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.

Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.

Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,

tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
 
Sawa Mkuu Graduate wa Mzumbe motivation speaker

Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela, tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
 
Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.

Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.

Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.

Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.

Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.

Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.

Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,

tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
Umetuandikia Upopoma, nakushauri kabla Jua halijazama wahi Kitanda chako kati ya Moja ya Hospitali hizi za Vichaa za Mirembe Dodoma au Lutindi Tanga ili ukaanze Matibabu yako na Akili zako zikurejee vyema.
 
Wewe bado hujawajua wanawake. Mwanamke amejaliwa na mwenyezi Mungu macho ya rohoni. Mwanamke anauwezo wa kujua huyu mwanaume mbeleni atatoboa au laah! Anajua kabisa hapa pana future na mbeleni mtakuwa na falanga za kutosha.
Kwa hiyo sisi tunaokataliwa na wanawake hatuna future?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acha woga wewe, mwanamke anaweza kupenda tu mambo unayompa sita kwa sita.

Wanawake wengine pesa wanazo.
Ni fact hiyo, lakini inafaa zaidi pia ukiwa na hela hasa km yeye hayuko poa kiuchumi. Vinginevyo utamteka kitandani pekee alafu fedha atazipata nje nakadhalika....
 
Live your life according to you na wewe nini unataka, Yaani sheria na kanuni za maisha yako zifuate kwa faida yako..., Ila usitake wewe au unachofanya wewe ndio kiwe standard ya maisha ya wengine...

Binadamu ni tofauti na wanachangamoto / matakwa tofauti..., Vipaumbele vina-differ pia ukiwa materialistic sana you will always be chasing an illusion

To each his/her own......
 
Huyo ni muongo kabisa ni sawa na mwanamke afungae akuombi pesa
 
Wewe bado hujawajua wanawake. Mwanamke amejaliwa na mwenyezi Mungu macho ya rohoni. Mwanamke anauwezo wa kujua huyu mwanaume mbeleni atatoboa au laah! Anajua kabisa hapa pana future na mbeleni mtakuwa na falanga za kutosha.
Wengi hapa wanapigwa changa iweje sasa mbeleni ujuta kuwakataa waliokuwa masikini zamani leo wanapesa
 
Yule jamaa aliona mbali..........Dem ninayemtaka manka wa kichaga jioni ukirudi anauliza " umeingiza sh ngapi!?"
 
Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.

Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.

Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.

Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.

Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.

Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.

Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,

tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
Pesa sio kila kitu.
 
Back
Top Bottom